Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Nashukuru mkuu nimebadilisha.Umeuliza maswali mazuri sana ila mpaka leo hujui kuwa usahihi ni MAABARA NA SIO MAHABARA.
Kwa nini una maswali mazuri alafu unakuwa hujui usahihi wa kuandika baadhi ya maneno mkuu ?
Umerudia zaidi ya mara moja kosa lile lile kuonesha kuwa unajua usahihi ndio huo,ilikuwaje, hili neno hukuwahi kuliona au shida nini mkuu ?
Baada ya kuandika "uko wapi" unaandika "huko wapi " kweli wewe unataka africa ibadilike wakati wewe haujabadili hata namna ya uandishi ?
Wewe itakuwa una damu ya kizungu ndio maana humuelewiNi nini logic ya raisi leo ni kwamba corona imetapakaa sana mitaani hadi katika mapapai na mafenesi?
Au
Corona hakuna nchini kwetu Tanzania isipokuwa hivi vipimo vya kichina ndio vinatudanganya?
Sent using Jamii Forums mobile app
ngoja niende google nione wazungu wamejiskiaje kusikia maiti zivikwe PEPNimesoma vyanzo mbali mbali vya dunia, hili suala limetembea sana. Na waandishi wa habari wao huchukua key points na kuandika, na waasomaji hu base hapo hapo, yaani ni aibu sana kwa nchi. Tz saiv ni maarufu sana
Hili gonjwa ni la wote, ndiyo maana lilianzia china ila leo liko kuwa mahali... Kusema kwamba sisi tumejitenga na dunia siyo kweli ikitokea wengine measures zimewavusha sisi bado hatujavuka ina maana tutakuwa tunawahatarisha na wao.Hii hotuba ya raisi ya jana ni kwaajili ya watanzania na sio wakenya wala hao uliowataja!!!! Watz tumemuelewa maana lugha aliyotumia niya Taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ndio pointi.Hii hotuba ya raisi ya jana ni kwaajili ya watanzania na sio wakenya wala hao uliowataja!!!! Watz tumemuelewa maana lugha aliyotumia niya Taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini aliwaita Waandishi wa Habari??Hii hotuba ya raisi ya jana ni kwaajili ya Watanzania na sio Wakenya wala hao uliowataja!!!! Watz tumemuelewa maana lugha aliyotumia ni ya Taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaah!! Ilikua wakati mzee Kigoda anaumwa yupo India watu wakawa wanamuulizia sana hawamuoni na hawajui anaendeleaje ndo mzee baba akasema ameongea akiwa ICU na kamwambia anaendelea viruzi.Ilikuwaje hii mkuu? Hahahaha
Sent using iphone pro max
What if aliyepeleka sample ya papai ana Corona? Huyo mbona hawamzungumzii?Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amewataka wananchi kutoitafsiri vibaya hotuba ya Rais Magufuli na kuacha kula mapapai.
Makonda amesema Rais Magufuli kama mkemia kitaaluma alihisi kuna tatizo kwenye matokeo yanayotangazwa hivyo akaamua kufanya utafiti wa ubora wa kipimo.
Sampuli zilizotumika ni kwa ajili ya kupima ubora wa kipimo na siyo virusi...