Kwasababu tunamashaka na hizo takwimu... haziwezi kuwa za kweli, mtu anaumwa presha na mafua tu yaliyotokana na vumbi la kawaida wanasema eti ana ugonjwa.... pole sana waziri wa afya, utakuwa unapitia magumu mengi mno, pole sana... pengine hata chozi linamtoka kwa uozo wa watendaji wake wa afyaUnadhani ni kwanini hasa wanafanya uchunguzi?
Kwanza sio kimiminika chochote, kuna baadhi ya body fluids kama CSF, sweat, Urine, Vaginal secretions huwezi pata Novel coronavirus.Korona hupimwa kwa kimiminika chochote katika mwili wa binadamu, kuanzia mate hadi damu
Lock down itaua watu wengi zaidi kuliko Corona. Tuna optiion mbili tu za kuchagua, kati ya shetani anayeweza kuua idadi ndogo ya watu, na shetani anayeweza kuua idadi kubwa ya watu.Hatuna option ya shetani ambaye hataua kabisa watu, hiyo hatuna.Mwambie achague kuua uchumi ili aokoe watu. Izi porojo porojo zake kwa sasa hazina maana yoyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aende tu itakua type ya kina gambo, sabaya,hapi,musiba,bashite,chalamla et al.....Ndio anaenda Mtwara mjini!
Tatizo mnadhani kila jambo huwekwa adharani hii Ni inji si banda la kuku wako wa kinyeji Apo uwani,nyie tulieni serikali inakazi kubwa sana inafanya basi tuuh amfahamuSerikali inatakiwa itoe ufafanuzi zaidi kuhusu mapapai kukutwa na virusi vya covid-19,kwa sababu watu tumelima mapapai mashamba makubwa sana na ukizingatia wananchi walio wengi hawakumuelewa mheshiwa kamaanisha nini,basi wao moja kwa moja walielewa kwamba mapapai yana corona jambo linalopelekea biashara ya mapapai kudorora.Watu tulio lima mapapai hatuna soko tena kwa sababu walaji wanaogopa yana corona.Hivyo ni wajibu kwa serikali kuja na ufafanuzi zaidi ili wananchi walio wengi waelewe na biashara ziendelee kama kawaida.
Nashangaa anawalaumu waliokuwa wanapima kule maabara ya kitaifa kuwa wanamhujumu, kwa kutoa matokeo positive Ya corona, anadai kuwa walionekana ni positive ni uongo, eti alipeleka sample Ya Mbuzi, papai, na vitunguu eti wale watu Wa maaabara ya taifa walimuhujumu...
Yeye ndio mchafu,hakuna mwanasayansi toka chatoMagu Yuko hapo si bahati mbaya, alijiaandaa, aliijiua michezo michafu, iwe ya Nje ama ndani na anajua kucheza nayo,
Bahati mbaya tu kwamba, Nchi anayoiongoza raia wake wengi ni Masikini,
Mungu Ibariki Tanzania na Mungu Ibariki Africa