Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Unadhani ni kwanini hasa wanafanya uchunguzi?
Kwasababu tunamashaka na hizo takwimu... haziwezi kuwa za kweli, mtu anaumwa presha na mafua tu yaliyotokana na vumbi la kawaida wanasema eti ana ugonjwa.... pole sana waziri wa afya, utakuwa unapitia magumu mengi mno, pole sana... pengine hata chozi linamtoka kwa uozo wa watendaji wake wa afya
 
Korona hupimwa kwa kimiminika chochote katika mwili wa binadamu, kuanzia mate hadi damu
Kwanza sio kimiminika chochote, kuna baadhi ya body fluids kama CSF, sweat, Urine, Vaginal secretions huwezi pata Novel coronavirus.

Pili aina ya sample unayo chukua ndio ita determine kipimo gani utumie, ikiwa utatumia hizi rapid (serological tests) utahitaji damu ili upate serum kisha uone kama mwili una Ant-COVID antibodies huwezi tumia vimiminika visivyo na cell kama makamasi.

Kama unatumia molecular techniques kama Polymerase chain reaction (PCR) bronchial/nasal secretions hutumika preferably sababu kuna uwezekano mkubwa wa kupata actual COVID particle katika significant number.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ilikuwa ni Mwaka wa 1991 ndani ya maabara za Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam. Shikia hapo hapo katika mapambano haya ya COVID 19. Tunakuamini na vibaraka wa mabeberu wataimba sana! Mungu azidi kukubariki na kukuonyesha maono.
 

Attachments

  • FB_IMG_1588663159666.jpg
    FB_IMG_1588663159666.jpg
    48.3 KB · Views: 1
Mwambie achague kuua uchumi ili aokoe watu. Izi porojo porojo zake kwa sasa hazina maana yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lock down itaua watu wengi zaidi kuliko Corona. Tuna optiion mbili tu za kuchagua, kati ya shetani anayeweza kuua idadi ndogo ya watu, na shetani anayeweza kuua idadi kubwa ya watu.Hatuna option ya shetani ambaye hataua kabisa watu, hiyo hatuna.

Lockdown haonyeshi kama ni shetani anayeweza kuua watu wengi zaidi, ila utamjua ukishamkaribisha, na utamjua akiwa tayari ameshafanya kazi yake!
 
Serikali inatakiwa itoe ufafanuzi zaidi kuhusu mapapai kukutwa na virusi vya covid-19,kwa sababu watu tumelima mapapai mashamba makubwa sana na ukizingatia wananchi walio wengi hawakumuelewa mheshiwa kamaanisha nini,basi wao moja kwa moja walielewa kwamba mapapai yana corona jambo linalopelekea biashara ya mapapai kudorora.

Watu tulio lima mapapai hatuna soko tena kwa sababu walaji wanaogopa yana corona.Hivyo ni wajibu kwa serikali kuja na ufafanuzi zaidi ili wananchi walio wengi waelewe na biashara ziendelee kama kawaida.
 
Serikali inatakiwa itoe ufafanuzi zaidi kuhusu mapapai kukutwa na virusi vya covid-19,kwa sababu watu tumelima mapapai mashamba makubwa sana na ukizingatia wananchi walio wengi hawakumuelewa mheshiwa kamaanisha nini,basi wao moja kwa moja walielewa kwamba mapapai yana corona jambo linalopelekea biashara ya mapapai kudorora.Watu tulio lima mapapai hatuna soko tena kwa sababu walaji wanaogopa yana corona.Hivyo ni wajibu kwa serikali kuja na ufafanuzi zaidi ili wananchi walio wengi waelewe na biashara ziendelee kama kawaida.
Tatizo mnadhani kila jambo huwekwa adharani hii Ni inji si banda la kuku wako wa kinyeji Apo uwani,nyie tulieni serikali inakazi kubwa sana inafanya basi tuuh amfahamu
 
Hiyo clarification atoe yeye aliyeleta hivyo vihoja, mambo yasiwe mengi.
 
Nashangaa anawalaumu waliokuwa wanapima kule maabara ya kitaifa kuwa wanamhujumu, kwa kutoa matokeo positive Ya corona, anadai kuwa walionekana ni positive ni uongo, eti alipeleka sample Ya Mbuzi, papai, na vitunguu eti wale watu Wa maaabara ya taifa walimuhujumu...

Huwezi kumuelewa kwa kuwa akili yako ilichukua vile ilivyotaka kuvisikia kutoka kwake na kuacha vingine
 
Back
Top Bottom