Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Ahahhahahahahaa leo ndio kanichekesha ni kama ze comedy show huyu mzee anaongea huku haamini alichotamka yani ili mradi tu upoyoyo huu jamani hahahhaha.Cha msingi watu washampuuza saiz
 
Mkuu ilikuwa inachukuliwa "swab" kama unaangalia tv za wenzetu utaona wanawapitisha kijiti chenye pamba puani! kwahiyo hawapeleki damu mkuu!
" Swab" ni mtindo wa kuchukua vinasaba au sampuli kupitia puani au mdomoni na siyo ndiyo kinachochukuliwa. Sasa kilichokuwa kinachukuliwa kwenye koo kinafanana na mananasi? Yaani ukiweka umajimaji (Fluids) toka kwenye koo na maji maji ya nanasi vinafanana?
 
Ahahhahahahahaa leo ndio kanichekesha ni kama ze comedy show huyu mzee anaongea huku haamini alichotamka yani ili mradi tu upoyoyo huu jamani hahahhaha.Cha msingi watu washampuuza saiz
Watu waache kuwapuuza wanaotaka kukimbia majukumu yao bungeni, wampuuze Rais mtetezi wa kweli wa wanyonge
 
😱😱😱😱😱😱 hari inatisha kwakweli hadi kwenye papai na mbuzi, it seems like we have advanced technology than any developed country
 
Ameyasema hayo leo wakati wa kumuapisha Waziri wa Sheria na katiba kuwa vyombo vya usalama vilipenyeza sampuli kutoka kwenye mananasi, mafenesi, mbuzi, kondoo, nk kwa siri na kuzifanya ni za binadamu. Jambo la kushangaza matokeo ya baadhi ya sampuli hizo au yalionyesha yana maambukizi ya corona.
Mambo ni mengi ngija niweke clip ya video!
Chanzo ITV....

Inawezekana akawa anasema kweli kwa sababu nchi nyingi zilizoendelea (uk ikiwa moja wapo) walikuwa hawana vifaa vya kupimia ugonjwa huu (corona kit) na walipoanza kuwa nazo walikuwa careful sana kutumia kupima kila anaeshukiwa kuwa na virus kwa sababu kits ni ghali sana. kila kit moja inawagharimu £200+. Kadhalika upimaji wa corona unafanywa kwa kuchua swab ndani ya mdomo wa mtu anaeshukiwa kuwa na ugonjwa na sio damu.

Nasikia maabara yetu wanapima ugonjwa huu kwa kuchukua damu tu!
 
Back
Top Bottom