Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Huyu mtu ni kama anamkakati fulani hivi kwamba, hata watu wakiangamia haimuhusu......Naomba wandugu niambieni hapa anaposema alipeleka sample za papai alilipeleka zikiwa katikarangi gani?

Naomba Mods msiunganishe huu uzi tupeane ufahamu...nhci ni yetu sote tunapaswa kuondoa mashaka yote

Huna lolote ujinga tu
 
Hii corona ya Tanzania ni kiboko!! Sasa matunda yana corona
 
Ni rahisi kutengeneza sample inayofanana na damu kwa muonekano. Kuna food colors nyingi hivyo unaweza kuchukua sample solution yako ya nanasi halafu una add artificial food colours then si rahisi mtu kiustukia. Ila wasiwasi wangu ni kuwa inawezekana mtengeneza hizo sample nae ni muathirika so anaweza kuzi-contaminates. Lakini hii itakuwa possible tu kama vipimo vinapima directly the virus. Ingawa vipimo Vingi vya virus huwa wanàngalia presence of the antibodies against a particular virus.
Tunahitaji Jamiiforum ya watu kama nyie mkuu,,,yani kuna watu wanakera humu,badala ya kuhitaji hata maelezo kitabibu wanasikiliza kina kigogo ni hatari saana hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani kama mtu siyo beberu hawezikukasirika wala kuichukia kauli hii,ila kama mtu ni mtumwa wa mabeberu au ni beberu mwenyewe,lazima achukizwe na kauli hii.
 
Serikali imegawanyika

1. Team meko
2. Team waziri mkuu
3. Team makamu wa Rais

Team meko ameongezeka mwigulu,

Team waziri mkuu yupo pm mwemyewe na ummy

Team makamu wa Rais haitaki kuongea

Team meko ina pambana na kura za 2020 hata kwa damu, hata mfe mil 2 watasema hakuna aliye kufa.

Team waziri mkuu wanajua wanapangiwa kusema wasiyo yaamini, ndio maana sometimes wanajaribu kusema ukweli.


Team makamu wa Rais inaumia sana kupna watanzania wanapoteza maisha kwa sababu ya tamaa za uongozi ya team.meko

Jana ameongea ukweli.kwamba kila kukicha watanzania wanakufa.
Hotuba imenifikirisha kufika hatua ya kuwaza kwamba watanzania ni maboya mnoo
Wataalamu wa Maabara si mpo huku ndani? Internal Quality Control (IQC) na External Quality Control (EQC) huwa zinafanyikaje? Si unapeleka Known POSITIVE na Known NEGATIVE sample then kuona kama utapata majibu accordingly Hii yakupeleka sample za oil chafu si kutaka kuua machine[emoji28]

Naendelea kuchili Zangu makazi mapya, si Urussi Tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu Lissu alishasema “tuna Rais wa ajabu haijawahi kutokea “.
"Either vipimo Ni defective au wataalamu hawana uzoefu ama Kuna uzembe.
Hili la vipimo kuwa defective limetokea nchi mbalimbali na Kuna vipimo ilibidi viwekwe pembeni,
Kwahiyo mheshimiwa Yuko sawa kabisa watu tu ndo wazito kuadopt ukweli,
Hajasema korona haipo"


Wewe hebu soma maelezo ya kitabibu acha kuwashwa washwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana akawa anasema kweli kwa sababu nchi nyingi zilizoendelea (uk ikiwa moja wapo) walikuwa hawana vifaa vya kupimia ugonjwa huu (corona kit) na walipoanza kuwa nazo walikuwa careful sana kutumia kupima kila anaeshukiwa kuwa na virus kwa sababu kits ni ghali sana. kila kit moja inawagharimu £200+. Kadhalika upimaji wa corona unafanywa kwa kuchua swab ndani ya mdomo wa mtu anaeshukiwa kuwa na ugonjwa na sio damu.

Nasikia maabara yetu wanapima ugonjwa huu kwa kuchukua damu tu!

Asante, nadhani sasa watu wataelewa.
Kwenye damu tuna Fanya C-reactive protein. Ukikuta numba iko juu Kwa kuzingatia dalili(clinical symptoms) tuna jua kua kinga ya mwili imeteteleshwa na vimelea vya magonjwa. Ila hatuna uhakika Kama ni covid 19.
Confirmatory test ndo hio ya kuchukua deep nasal swab ama makamasi mengine na kupima Kama ilivo elezwa na mdau.
 
Anasema mapapai yana corona
Hajaielewa nafasi yake kwa kauli anazotoa kuwa watu wanamwamini yeye kwa kuwa ni Mkuu wa nchi. Kauli hizi za mapapai, mafenesi, mbuzi nk zinaweza kuharibu soko la papai na hivyo vingine kwa dakika moja na hivyo kuathiri mapato ya wafanyabiashara.

Ili uamini kwamba FALSE is True lazima kuwe na FALSE mbili kwa kitu kile kile(kwa logic), kuwa hizo samples zingepimwa tena na kipimo kingine zitoe jibu hilo hilo moja kwa logic tungesema it is TRUE. Otherwise kama ni true na mara ya pili kwa mashine nyingine ni true kwa logic pia itakuwa true though still unaweza kuendelea kuconfirm kwa vipimo zaidi ya viwili.

Ni vema kama nchi tungejielekeza kupata vipimo ambavyo vinatoa majibu kwa muda mfupi na kuweza kupima watu wengi zaidi kuliko kuanza tena ku doubt kazi za wataalamu wetu wanaofanya kazi kwenye mazingira magumu. Tulisikia kuwa Tz inapima watu 500 kwa siku lakini hapa juzi wenzetu waKenya wamepata vipimo vipya ambavyo vina uwezo wa kupima watu elfu 35 kwa siku. Badala ya kubeza kazi za wataalamu wetu pengine kwa vipimo vya kizamani ambavyo hutoa majibu baada ya saa 72, tungewatia moyo na kuonesha mipango ya haraka ya kuwaboreshea vifaa pamoja na motisha kwa kipindi hiki kigumu.
 
Ni rahisi kutengeneza sample inayofanana na damu kwa muonekano. Kuna food colors nyingi hivyo unaweza kuchukua sample solution yako ya nanasi halafu una add artificial food colours then si rahisi mtu kiustukia. Ila wasiwasi wangu ni kuwa inawezekana mtengeneza hizo sample nae ni muathirika so anaweza kuzi-contaminates. Lakini hii itakuwa possible tu kama vipimo vinapima directly the virus. Ingawa vipimo Vingi vya virus huwa wanàngalia presence of the antibodies against a particular virus.
Mkuu kwani wanapima damu?
Tuanzishe hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijakata ila kama wewe ni Eng huwezi kutofautisha sample ya choka na cement hata kama utaletwa maji maji yaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
This guy is one of the dumbest president in our planet. Hivi anajua corona inapimwaje? Kupeleka sample ya papai na kutoa positive siyo conclusion kuwa hamna corona au kuna surbotage. 1. Tanzania ni nchi inayofikika kwa kuwa kutokuwa makini hivyo kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwa hao wapimaji walikosea. 2. Inawezekana testkit zinazotumika hazina viwango kwa sababu aliyezinunua alinunua sehemu isiyoaminika. 3. Reaction ya mpapai na hizo dawa inaweza kabisa kutoa positive kwani vipimo tunavyotumia haviangalii wale virus kama wako bali vinaangalia reaction ya chemicals na sample. Kuna sababu nyingi sana na huu upuuzi alioelezea just unaonyesha alivyo mweupe kichwani.
 
Hivi hao waliotuambia muda ambao Corona anaweza kuishi kwenye materials mbalimbali eg plastic,mbao,chuma,wali-test vipi?

Samples zao zilikuwa nini au walifanyaje?

#BushScientists!
 
Back
Top Bottom