Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

we si team lumumba [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo tatizo la nyie mnaochangia kwa ushabiki na siyo facts. Ukiwa unachangia kishabiki utakuwa unaunga mkono upende mmoja tu regardless unafanya upumbavu. Na ndiyo walivyo watu wengi hapa. Lakini mimi huwa nakosoa pale mtu anapokosea na kusifia pale mtu anapofanya vizuri. Hii suala la corona Magufuli anatuangamiza. Sasa hivi kuna vifo vingi mno. Wanaficha. Halafu kwa upumbavu wake bado anahamasisha watu waendeleze mukusanyiko kwa hoja za kijinga kabisa. Unataka nimsifie?
 
"Either vipimo Ni defective au wataalamu hawana uzoefu ama Kuna uzembe.
Hili la vipimo kuwa defective limetokea nchi mbalimbali na Kuna vipimo ilibidi viwekwe pembeni,
Kwahiyo mheshimiwa Yuko sawa kabisa watu tu ndo wazito kuadopt ukweli,
Hajasema korona haipo"

Copy and paste

Sent using Jamii Forums mobile app
Tutajie nchi mojawapo na uweke chanzo sahihi Cha hiyo taarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In short ni kwamba kuna uwezekano wa hivyo vipimo kua na hitilafu pia...

Pia inawezekana vikaja huku tayari vikiwa na maambukizi... yote yanawezekana...

Sababu walishatutabiria Africa Covid19 inatupiga vibaya sana...



Cc: mahondaw

Ndio alichosema rais pia
 
Duuuh! sasa mananasi na mafenesi yana damu au hizo sampuli zake zilipenyezwa vipi ina maana hao waliokuwa wakipima walikuwa hawaoni na hawajui kuwa hizi sampuli siyo za binadamu jamani??

This dude seem to be so naive and ignorant!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama uliona vile mkui wa mkoa kilimanjaro anachukuliwa sample usingesema juu ya damu.
Tunaendelea kuelimika hata mimi nilijuwa najua damu kama maralia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana CCM hebu mwambie huyo mzee aache siasa kwenye maisha ya watu....

Akiona hayupo kwenye trending analeta mzaha...Rais wa Brazil alileta mzaha kama yeye sasa hali mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hajasema hivyo ameweka hoja takafakarishi
1. Je ni mbinu za kibeneru?
2. Je ni mashine
3. Je ni vifaa vya kupimia eg pamba
4. Je ni utaalam mdogo?
5. Je wataalam wamehongwa?
Kwahiyo ameleta maswali kujiuliza, kama papai lina corona je shida ni nini? Je virus wapo kwenye vitu tofauti? Usije ukawa umevaa barakoa na vingine na kuji lockdown 100% halafu ukala papai ukawa na corona.
Tutumie akili sio kumpinga tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mfuasi wake lakini raisi makini hawezi kuongea vile ameleta mkanganyiko mkubwa sana kwenye jamii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la watanzania au Africa tunapenda kupinga kila kitu tunapenda kumyattack mtu kuliko kitu " hicho alichosema president na watu wa usalama n mtihan kwa watu wa maabara aliowapa ili kujua n kweli au lah na hii ndo tabia yake ya kufanya personal investigation bila kujua rejea alipokuwa waziri jinsi alivyokuwa anawatokea watu wa mizani au Kule kwenye barabara jinsi alivyokuwa anakusanya taarifa halisi na kuja kuwasuprise wahusika"

Njoo kwenye swala la kumuondoa mganga mkuu wa serikali pia yule mama aliemtibu DODOMA baada ya kupewa sumu kamtoa katibu afya na kumpeleka sijui wap huko na Kama anavyosemaga ukiona amekubadilisha position kipindi muda huo ofisi yako ndo inakuhitaj Basi ujue Kuna shida pahala.

Mie napambana na maneno ya JPM inawezekana Kuna watu wameamua kuizoea Kaz Yan wanarahisisha Mambo muda uende, sikatai hili tatizo Kama halipo lakin mamlaka za vipimo huenda hazipo makini kwa watumushi/vifaa kulingana na maelezo ya JPM.

Tujifunze kuattack sms nasio mtu binafsi " Jilinde uwalinde wengine Chukua tahadhari kwa umakini uwe salama.
Mkuu hujajibu swali langu nikikuletea hizo utashindwa kuzitofautisha hata kwa macho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikumbukwe kwamba Tanzania ni ya pili kwa upelelezi duniani🙂cool:😉)so wazee wa intelejensia wakafanya yao kuwatega vibaraka wa mabeberu pale maabara,yaani wale wanaochukua dollars toka kwa MABEBERU ili kuwatia hofu wananchi kuhusu coron wajifungie ndani wasifanye kazi ili uchumi wetu ushuke ,ikumbukwe Tanzania kabla ya corona ilikuwa ya pili kwa ukuaji wa uchumi barani africa na ya 9 duniani.
Rais wetu mendwa kiboko ya mabeberu,jemedari aliyeko mstari wa mbele kwenye vita ya corona na kiuchumi leo katoa siri jinsi sample za mapapai,fenesi,mbuzi na oil zilivyotmwa maabara kwa majina ya binadamu na majibu yakarudishwa naomba niambatanioshe picha jinsi mbuzi wanavyoambukizwa corona hapa bongoland
Imagine hayo maji majitu kama MAGONJWA MTAMBUKA,BIA YETU yamenawa hapo halafu virusi ngangari vya corona havijafa maana hiyo ni kama sabuni ya kuoshea vyombo tu then mbuzi wanajihudumia hayo maji unajua nini kinafata?huyo mbuzi ukituma sample yake kwa wale VIBARAKA WA MABEBERU HUKO MAABARA wataona ni positive
Have a lovely sunday ladies and gentlemen ,my name is Nzagambadume from ushirombo kanda pendwa kabila pendwa .
MBUZI.jpg
 
Nashangaa anawalaumu waliokuwa wanapima kule maabara ya kitaifa kuwa wanamhujumu, kwa kutoa matokeo positive Ya corona, anadai kuwa walionekana ni positive ni uongo, eti alipeleka sample Ya Mbuzi, papai, na vitunguu eti wale watu Wa maaabara ya taifa walimuhujumu, eti na hizo sample hao wa maaabara Walisema ni positive aiseee anaone kuwa hakuna corona anasema hata ligi ya mpira atairuhusu iendelee aisee huyu mzeee akishindwa Jambo anasingizia mabeberu na kuwa anazungukwa, yani hahahahaha, Halafu nashangaaa anaenda anasema corona kweli ipo halafu anasema vipimo ni vya uongo watu waliokuwa wanapima wachunguzwe yani mmmmh simwelewi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu andika habari kwa kumnukuu kama alivyosema.
Ulichofanya hapa ni kupotosha mengi kwa kujaribu kutafsiri alichosema.
Angalia unaweza kujikuta matatizoni ikitokea ukaandika hivi sehemu nyingine ambazo wanaweza kukupata.

Hapa kwa uandishi kama huu hauchomoki ukifikishwa kwenye mahakama yoyote ya kisheria duniani.
Nakushauri mnukuu neno kwa neno na siyo hivi.
 
Katika yote aliyosema nimependa zaidi hapo kwenda kufata mzigo Madagascar. Kama hiyo dawa ni kweli inasaidia iletwe fasta tupewe ili amani irudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi test za papai na fenesi ni hadithi za kutunga kama zile za fisi na sungura.Mzee anapiga fix tu hapa maana sayansi zetu wafrika ni za kukariri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijajua ni nani aliyemshauri Rais kuyatamka haya hadharani.

Matamshi yake yanatoa picha mbaya zaidi na yanazidisha taharuki badala ya ahueni kwa watu wenye kufuatilia muenendo wa janga hili.

Kuwa na majibu feki ya kitu kama virusi inatoa tafsiri kuu tatu.
1. Huna vifaa vya uhakika
2. Huna wataalamu wanaoweza tafsiri matokeo sahihi ya vipimo
3. Unao wataalam na unavyo vifaa lakini unapindisha ukweli wa matokeo

Sasa katika yote haya, ina maana hadi sasa hatuna uhakika kwa kiwango gani COVID-19 imeathiri watu.

Wengi wa Watanzania kwa kadiri ninavyofahamu tabia zetu za kupuuzia, wataanza kujiachia wakiamini janga si kubwa hivyo.

Lakini kwa upande mwingine kuna mambo ya kujiuliza zaidi, je wale Watanzania na wasio Watanzania waliopimwa nchi jirani wakitokea Tanzania, majibu ya vipimo vyao nayo ni ya kutilia shaka?
 
Back
Top Bottom