macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Ndiyo tatizo la nyie mnaochangia kwa ushabiki na siyo facts. Ukiwa unachangia kishabiki utakuwa unaunga mkono upende mmoja tu regardless unafanya upumbavu. Na ndiyo walivyo watu wengi hapa. Lakini mimi huwa nakosoa pale mtu anapokosea na kusifia pale mtu anapofanya vizuri. Hii suala la corona Magufuli anatuangamiza. Sasa hivi kuna vifo vingi mno. Wanaficha. Halafu kwa upumbavu wake bado anahamasisha watu waendeleze mukusanyiko kwa hoja za kijinga kabisa. Unataka nimsifie?