DAD'S SON
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 392
- 466
Sasa nKikanuni, lab tests zinapofanyika, sampuli husika huwa zinafanyika against quality control (QC) samples ili kuwa na uhakika na majibu unayotafuta. QC samples huwa majibu yake yanajulikana, kwa hiyo majibu ya QC yakiwa mabaya lazima majibu yote yatiliwe shaka. QC husaidia kujua aidha maabara nzima ni tatizo, au kifaa kinachotumika kufanya analysis ni mbovu, au wataalam ni mbumbumbu. Kwa maelezo hayo ya Rais, manake ni kwamba kama nchi hatuna maabara kwa ajili ya kupima COVID-19 na majibu yote yaliyotoka awali ni serious cheatings. Kwa nchi zenye uelewa Waziri wa afya na wataalam wake walitakiwa nyuma ya nondo siku nyingi sana.
Kwenye hili nimemwelewa vizuri Magufuli. Hata hivyo unapimaje kitu sensitive kama hii katika maabara ambayo hana ithibati kimataifa (internationally accredited lab)? Yaani unafanyaje vipimo katika maabara ambayo competency yake haijulikani kitaifa na kimataifa?! Kweli? Kila siku utamsikia Ummy Mwalimu akijinasibu ati ''tumepeleka sampuli kwenye maabara yetu ya Taifa kwa ajili ya uchunguzi zaidi''! Shit!
Hahaha mkuu em tuwe serious kidogo fuatilia vizuri acha kupotosha umma mahabara ya MNH imekidhi vigezo vyote unavyovijua wewe mpk pale ilipo(fuatilia) watu wamechukua ma PHD kupitia izo lab tena nje ya nchi ambayo leo tunasema haijawa accredited.Issue ya msingi ni hoja uliosema kuwa machine ni mbovu na kama machine ni mbovu ni jukumu la nani kufanya matengenezo na ukumbukwe tu kabla ya kuprocess sample the machine must be checked first ni lazima ili kupima ufanisi wake(fuatilia hilo).Kikanuni, lab tests zinapofanyika, sampuli husika huwa zinafanyika against quality control (QC) samples ili kuwa na uhakika na majibu unayotafuta. QC samples huwa majibu yake yanajulikana, kwa hiyo majibu ya QC yakiwa mabaya lazima majibu yote yatiliwe shaka. QC husaidia kujua aidha maabara nzima ni tatizo, au kifaa kinachotumika kufanya analysis ni mbovu, au wataalam ni mbumbumbu. Kwa maelezo hayo ya Rais, manake ni kwamba kama nchi hatuna maabara kwa ajili ya kupima COVID-19 na majibu yote yaliyotoka awali ni serious cheatings. Kwa nchi zenye uelewa Waziri wa afya na wataalam wake walitakiwa nyuma ya nondo siku nyingi sana.
Kwenye hili nimemwelewa vizuri Magufuli. Hata hivyo unapimaje kitu sensitive kama hii katika maabara ambayo hana ithibati kimataifa (internationally accredited lab)? Yaani unafanyaje vipimo katika maabara ambayo competency yake haijulikani kitaifa na kimataifa?! Kweli? Kila siku utamsikia Ummy Mwalimu akijinasibu ati ''tumepeleka sampuli kwenye maabara yetu ya Taifa kwa ajili ya uchunguzi zaidi''! Shit!
Kuhusu hoja kusema huenda wasomi wetu ni mambumbu umewakosea sana maana huwez run lab without knowing what you are doing simply because its very dangerous....na ujue kuwa waliochagulia kwenye kitengo cha covid19 ni wale highly qualified and competent.
Machine kutoa majibu ya uongo it depend on how the sample was handled huko ilipo toa na walio ipokea kama kulitokea any contamination majibu lazima yaje yasio sahihi.
Na kuhusu mafenesi sijui nini hatutakiwi kusikiliza upande mmoja ili bidi wataalamu nao waje waongee ndo tudraw conclusion.
Mfano unaweza chukua kipimo cha syphilis ukampima mtu kwa bahati mbaya ukatumia buffer ya hiv obvious expect kupata any result(positive/negative).That means kila kipimo kina kitu chake so ukimix tu majibu unaweza pata mengi so huenda walituma sample za fenes zikasoma positive na inwezekanaa kusoma hata negetive coz umeintroduce fluid japo sio husika.
Kwa kumalizia huu ni mwaka 2020 kuwa makini na kauli za wanasiasa,zichuje,zipime and then weka akilini mwako.
Saivi unaona wazi wanasiasa waingia adi kwenye taaluma za watu.
"A doctor can't represent you in a lawsuit....A lawyer can't perform brain surgery".Tubaki kwenye misingi yetu na tuwe na mipaka.
Asante.