Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Kikanuni, lab tests zinapofanyika, sampuli husika huwa zinafanyika against quality control (QC) samples ili kuwa na uhakika na majibu unayotafuta. QC samples huwa majibu yake yanajulikana, kwa hiyo majibu ya QC yakiwa mabaya lazima majibu yote yatiliwe shaka. QC husaidia kujua aidha maabara nzima ni tatizo, au kifaa kinachotumika kufanya analysis ni mbovu, au wataalam ni mbumbumbu. Kwa maelezo hayo ya Rais, manake ni kwamba kama nchi hatuna maabara kwa ajili ya kupima COVID-19 na majibu yote yaliyotoka awali ni serious cheatings. Kwa nchi zenye uelewa Waziri wa afya na wataalam wake walitakiwa nyuma ya nondo siku nyingi sana.
Kwenye hili nimemwelewa vizuri Magufuli. Hata hivyo unapimaje kitu sensitive kama hii katika maabara ambayo hana ithibati kimataifa (internationally accredited lab)? Yaani unafanyaje vipimo katika maabara ambayo competency yake haijulikani kitaifa na kimataifa?! Kweli? Kila siku utamsikia Ummy Mwalimu akijinasibu ati ''tumepeleka sampuli kwenye maabara yetu ya Taifa kwa ajili ya uchunguzi zaidi''! Shit!
Sasa n

Hahaha mkuu em tuwe serious kidogo fuatilia vizuri acha kupotosha umma mahabara ya MNH imekidhi vigezo vyote unavyovijua wewe mpk pale ilipo(fuatilia) watu wamechukua ma PHD kupitia izo lab tena nje ya nchi ambayo leo tunasema haijawa accredited.Issue ya msingi ni hoja uliosema kuwa machine ni mbovu na kama machine ni mbovu ni jukumu la nani kufanya matengenezo na ukumbukwe tu kabla ya kuprocess sample the machine must be checked first ni lazima ili kupima ufanisi wake(fuatilia hilo).
Kuhusu hoja kusema huenda wasomi wetu ni mambumbu umewakosea sana maana huwez run lab without knowing what you are doing simply because its very dangerous....na ujue kuwa waliochagulia kwenye kitengo cha covid19 ni wale highly qualified and competent.

Machine kutoa majibu ya uongo it depend on how the sample was handled huko ilipo toa na walio ipokea kama kulitokea any contamination majibu lazima yaje yasio sahihi.

Na kuhusu mafenesi sijui nini hatutakiwi kusikiliza upande mmoja ili bidi wataalamu nao waje waongee ndo tudraw conclusion.

Mfano unaweza chukua kipimo cha syphilis ukampima mtu kwa bahati mbaya ukatumia buffer ya hiv obvious expect kupata any result(positive/negative).That means kila kipimo kina kitu chake so ukimix tu majibu unaweza pata mengi so huenda walituma sample za fenes zikasoma positive na inwezekanaa kusoma hata negetive coz umeintroduce fluid japo sio husika.

Kwa kumalizia huu ni mwaka 2020 kuwa makini na kauli za wanasiasa,zichuje,zipime and then weka akilini mwako.
Saivi unaona wazi wanasiasa waingia adi kwenye taaluma za watu.
"A doctor can't represent you in a lawsuit....A lawyer can't perform brain surgery".Tubaki kwenye misingi yetu na tuwe na mipaka.
Asante.
 
Haha ila watu wanaendelea kufa kwa ugonjwa wa kupumua kwa hiyo ataongea sana ila ukweli upo palepale nenda makaburini tu uone waliozikwa usiku
Tupia kapicha au kavideo ka hayo makaburi au mazishi tuone please!
 
What if hayo mapapai yalikuwa contaminated na mtu aliyechukua sample ?Sidhani kama alifuata sheria zote za kuchukua vipimo kama inavyotakiwa. Alivaa gloves n.k. Ikute alichukua sample huku mwenyewe akiwa positive na akaliambukiza papai.

We utakuwa n mbishi na upo upande wa kutokukubali Jambo jipya kichwan kwako "Sasa Kama alichukua sample na hakujikinga alkua na maana gan kufanya hvyo?"

Kila kitu kinachangamoto zake hvyo lazima uzielewe ili maisha yaende mbona hujiuliz kwann kondoo hakukutwa navyo na alichukua sample hakujikinga?

Shida ya wengi humu hamjiongez kwenye kufikiria mnaanza ligi bila kujua mnagombea nn

Wengi humu n wale ambao hawataki na hawajaruhusu kusikia jema kutoka kwa JPM na akiona mtu anacomment positive na JPM anaamini n mshirika kumbe uyo mtu kaamua kuchanganya zake na zakuambiwa ili kupata ukweli hata yeye Rais kasema Kuna shida mahala either watalamu, vifaa au Kuna uwalakini hvyo tukianza kuona pale anapoona yeye tutagundua ukweli.

Ukiwa unafanya research ya kitu tegemea information nyingi kutoka sehemu sahihi pia chambua data zako alafu utaona ipi n ukweli ipi n uongo.

Kama huko kwenye mahospitali tuu kupata huduma sahihi ilkua n shida vipi saiv kwenye kipindi kugumu hiki?

Waelewe ndugu zako pia sie wabongo n wavivu na tunapenda kupitia au kuishi kwenye excuse za kijinga ndo Mana hatuend mbele tunaxunguka mbuyu kilasiku JPM kaja kuonyesha nn tunatakiwa kufanya ili twende mbele nasio kulialia haitotusaidia kitu.
 
Kikanuni, lab tests zinapofanyika, sampuli husika huwa zinafanyika against quality control (QC) samples ili kuwa na uhakika na majibu unayotafuta. QC samples huwa majibu yake yanajulikana, kwa hiyo majibu ya QC yakiwa mabaya lazima majibu yote yatiliwe shaka. QC husaidia kujua aidha maabara nzima ni tatizo, au kifaa kinachotumika kufanya analysis ni mbovu, au wataalam ni mbumbumbu. Kwa maelezo hayo ya Rais, manake ni kwamba kama nchi hatuna maabara kwa ajili ya kupima COVID-19 na majibu yote yaliyotoka awali ni serious cheatings. Kwa nchi zenye uelewa Waziri wa afya na wataalam wake walitakiwa nyuma ya nondo siku nyingi sana.
Kwenye hili nimemwelewa vizuri Magufuli. Hata hivyo unapimaje kitu sensitive kama hii katika maabara ambayo hana ithibati kimataifa (internationally accredited lab)? Yaani unafanyaje vipimo katika maabara ambayo competency yake haijulikani kitaifa na kimataifa?! Kweli? Kila siku utamsikia Ummy Mwalimu akijinasibu ati ''tumepeleka sampuli kwenye maabara yetu ya Taifa kwa ajili ya uchunguzi zaidi''! Shit!
Mkuu hii maabara ni ya pili kuwa accredited baada ya ile ya hospitali ya rufaa Mbeya.
Binafsi siwezi kusema chochote Kwa sasa, nasikilizia tu. Kuna shida kwenye maabara na wataalam wetu na shida kubwa ipo kwenye bajeti ya uendeshaji wa hizi maabara na kutowajibika ipasavyo kwa baadhi ya wataalam katika utendaji kazi kwa kutozingatia standard operating procedures zinavyotaka.
 
Sampuli km hizo zilipaswa kupelekwa maabara advanced na zenye security km SA alafu tulinganishe ourcomes kabla ya publicity ya huo mkanganyiko.
Ndugu zangu lazima tuwe na uhakika na vitu tunavyofanya.
Huwezi ukasema papai linakorona.
Wakati si kweli.
Huu ni mtihani maabara ya taifa wamepewa na wamefeli.
Hawata aminika tena.

Allah kariim

Sent using Jamii Forums mobile app
 
!

Ni upumbavu, narudia tena ni upumbavu kuapisha waziri kwenye makazi binafsi ya Rais wakati Ikulu ipo Geita, Mwanza.

Taasisi ya urais sio mali ya mtu binafsi.
Sema CHATO, GEITA
 
In fact wewe

in fact bila kupepesa wewe ndie mwongo unaepotosha umma kwa ambao hawajamsikiliza.
Ulichokiandika si alichozungumza, ni tafsiri yako kwa uelewa wako.
next time unapoandika tafadhali andika kama kilivyozungumzwa na si kutafsiri watu wajadili tafsiri yako, huu ndio ule unaoitwa upotoshaji
Mkuu naona upo makini sana.
Hapa hatujadili alichosema mhusika bali mwandishi ambaye anamtazamo wake.
Ukifatikia habari za hapa mtanadoni unakufa na presha. Hazina ukweli bali ni siasa chonganishi
 
Rais alichosema kina maana sana
Coronavirus: Countries reject Chinese-made equipment
Countries reject Chinese-made equipment

A number of European governments have rejected Chinese-made equipment designed to combat the corona virus outbreak.
Thousands of testing kits and medical masks are below standard or defective, according to authorities in Spain, Turkey and the Netherlands.
 
Kwamba vipimo vyetu ni fake vinabambikiza watu Corona ilhali ni malaria? Ama wataalamu ndo zero katika kuvitumia??
Au pia vyote vizima ila tu Kuna "Subortage"
 
Can my plants catch the flu? Plant viruses and transmission to hosts - UF/IFAS Extension Pasco County

Ukifanya google search kidogo unapata all sorts of articles and journals zitakazo kwambia ni kawaida sana animal virus kuingia kwenye plants isipokuwa adhina madhara; likewise ni kawaida sana plant virus kuingia kwenye mwili wa wanyama with similar outcome.

Kuhusu virus ya viumbe kuingilia wanyama wengine ndio kawaida sana mpaka sasa COVID 19 keshakutwa kwa tiger and in most domestic pets. Lakini animal virus zinapoenda kwa wanyama wengine they are not always harmful mpaka sasa tiger, paka na mbwa wailopimwa na kukutwa na COVID 19 aiwazuru.

Sanasana duniani tunaonyesha jinsi tulivyoweka vilaza kama washauri wa raisi who can’t conduct even a simple research to justify their position; huu mfumo wa elimu yetu lazima utakuwa na matatizo makubwa sana if people don’t even know how to argue rationally.
 
Hii ni conspiracy theory.

Hivi itakuwaje na sisi tukihisi kuwa watu wake wanezickntaminate samples.

Technically, the possible explanation ni criss contamination au kuna contamination kwenye lab. Hapa na assume kuwa test inayotumika in molecular based technique.
 
Back
Top Bottom