Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia akili yako vizuri kaa usikilize kilichosemwa sio kuhemuka hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Brother usiumize kichwa. Hizi tuhuma za rais ni fixion tu katika harakati za kuonesha kuwa tatizo la covid hapa nchini halipo bali ripoti ni za uongo unaolenga kuhujumu nchi.Kiuhalisia ugonjwa wa COVID-19 upo na kuchukua tahadhari ni muhimu. Ila kitu kinachoshangaza ni kwamba hili tatizo linakuzwa zaidi kuliko uhalasia ambacho si kitu kizuri...
Na lengo la Mh. Rais halikuwa kubeza juhudi za wataalamu wetu kama baadhi ya watu wanavyosema huko mitandaoni, lengo lilikuwa kuangalia je? wataalamu wetu wako makini na kile wanachokifanya? Na niende mbali zaidi huwenda matokeo yale yametokana na uzembe wa wataalamu wetu ambapo wameishia ku contaminate sampuli hizo walizoletewa hivyo kupata matokeo matokeo hayo...
Huenda yalionesha dalili za covid-19 yaani changamoto ya kupumua, homa Kali, kikohozi kikavu, Mafua makali nk.Kwa hiyo rais anapima mafenesi kama yana korona?
Yawezekana ni kweli akili zangu ndogo ndio maana nimeomba msada ili niende na mdundo wa raisi kipindi hichi cha coronaRais Magufuli anaeleweka kwa watu wenye akili timamu tu
[emoji2][emoji2][emoji2] raisi ni Kama anadai vile vipimo ukipeleka mkojo wa mwanaume ukapimwe majibu yatatoka ana mimba[emoji2]Yawezekana ni kweli akili zangu ndogo ndio maana nimeomba msada ili niende na mdundo wa raisi kipindi hichi cha corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama siyo Zuzu usitegemee kuelewa. Mbuzi na Mafenesi tu havimuelewi itakuwa wewe na busara zako.?Ni nini logic ya raisi leo ni kwamba corona imetapakaa sana mitaani hadi katika mapapai na mafenesi?
Au
Corona hakuna nchini kwetu Tanzania isipokuwa hivi vipimo vya kichina ndio vinatudanganya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hilo la kwanza, na ndio maana hatuamini waliokufa ni 16 tu. Korona mpaka kwenye matunda?!Ni nini logic ya raisi leo ni kwamba corona imetapakaa sana mitaani hadi katika mapapai na mafenesi?
Au
Corona hakuna nchini kwetu Tanzania isipokuwa hivi vipimo vya kichina ndio vinatudanganya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi dokta alisomea nini vileee korosho ?Maswali ni:
Mpaka lini tutaendelea kulalamika kuhusu kuuziwa/kupewa vitu visivyo bora?
Kwa nini tusitengeneze vipimo vyetu wenyewe kwa ushirikiano wetu wa Umoja wa nchi za Afrika?
Hatuna mahabara? Kuna mahabara ya Umoja wa nchi za Africa hili iwe ina shughulikia magonjwa yetu na ya mlipuko pamoja na kuendelea kufanya utafiti?
Hatuna wana sayansi? Kama wapo serikali zetu lini zitawapa ushirikiano?
Hatuamini mfumo wa elimu zetu? Kama hatuamini,wako wapi wale wanafunzi waliosomeshwa nje ya nchi kwa hela za kodi?
Kwanini kila kitu tutegemee wengine?; alafu wakitaka kujaribu dawa, chanjo, vipimo vyao kwetu tunakuwa wakali na kulalamika na kusema ni ubaguzi.
Mchango wetu kwenye sayansi barani kwetu na duaniani huko wapi?
Mbona wana sayansi wetu wanatumiwa na hizo nchi za nje ambazo tunawategemea kila kitu?
Kwa nini sisi tusiwatumie?
Kuna tatizo mahali na ni muhimu tuamke sasa hili mbeleni tuwe tumejiandaa.Tatizo wasomi sisi wengi ni uchwara. Vyeti tunavyo lakini kufanya tafiti za kisayansi hatuwezi kwasababu hata Thesis zetu tuli copy copy idea za watu (plagiarism).
Kiujumla hatuwezi. Kenya walikuwa wataalamu mda sana wanajaribu kutengeneza Rapid Test Kit huku kwetu ilikuwa kimya.
Maswali ni:
Mpaka lini tutaendelea kulalamika kuhusu kuuziwa/kupewa vitu visivyo bora?
Kwa nini tusitengeneze vipimo vyetu wenyewe kwa ushirikiano wetu wa Umoja wa nchi za Afrika?
Hatuna mahabara? Kuna mahabara ya Umoja wa nchi za Africa hili iwe ina shughulikia magonjwa yetu na ya mlipuko pamoja na kuendelea kufanya utafiti?
Hatuna wana sayansi...