Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Hili jambo linapaswa kujibiwa Na wataalamu kiuhalisia.Huu Ni wakati wa waandishi Wa habari kuuliza maswali ya msingi kwa wataalamu Wa Afya.
 
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amewataka wananchi kutoitafsiri vibaya hotuba ya Rais Magufuli na kuacha kula mapapai.

Makonda amesema Rais Magufuli kama mkemia kitaaluma alihisi kuna tatizo kwenye matokeo yanayotangazwa hivyo akaamua kufanya utafiti wa ubora wa kipimo...
Nani anamsikiliza huyu mpumbavu? Ni wapumbavu wenzake tu.
 
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amewataka wananchi kutoitafsiri vibaya hotuba ya Rais Magufuli na kuacha kula mapapai.

Makonda amesema Rais Magufuli kama mkemia kitaaluma alihisi kuna tatizo kwenye matokeo yanayotangazwa hivyo akaamua kufanya utafiti wa ubora wa kipimo.
Sampuli zilizotumika ni kwa ajili ya kupima ubora wa kipimo na siyo virusi...
hapo kwenye source ndio umeniacha hoi, eti ayotb duuhh...
 
Back
Top Bottom