Rais Magufuli: Maalim Seif ni Kiongozi kweli, aliacha 'interest' zake na kutanguliza za Wazanzibari

..Na baada ya Tundu Lissu kuondoka, si Maalim Seif, wala Zitto Kabwe, wanaozungumza kuhusu suala la Mashekhe wa Uamsho.
Tundu aliwaomba mumchague awe rais awatoe mashehe wako hamkumchagua, Sasa mnataka ambao hawakuahidi kuwatoa waongee Nini?
 
Viva CCM, Vivaaaaa
 
" Maalim Seif in kiongozi mzuri, aliacha interest zake na kuweka mbele interest za Wazanzibari" Haya maneno inasemekana yalitamkwa na Magufuli huko Chatto alipokutana na Mwinyi akiongazana na Maalim Seif!!! Sasa kama ni kweli anaamini alichokisema na yeye aige na kuweka kipaumbele cha maendeleo kwa sehemu zote za bara badala ya kuendeleza sahemu ya kwao TU!!!
 
Kwani kuna koona mbona tunafanyia kazi
tokea nyumbani kijijini? Kama mtu uko likizo ofisi siunamwachia makamu kwani unaendanayo kwenu?? Je naviongozi wengine wafanye hivyo au kuna ze spesho endi ze onli wani aliyejuu ya sheria na taratibu?
 
Hawamjui Lisu hawa.
Kam lisu ni mshabiki Wa yanga na bado hataki rangi ya kijani nyumbani kwake kwa sababu inafanana na rangi ya ccm.
Ije kuwa kuwa anatishika na maalim kukutana na waliomfikisha ubeligiji kwa matibabu.
Lisu alipofika tu ubelgiji alisema lazima Magufuli afanye maridhiano ya kitaifa, ndio kusema kwamba Lisu alikuwa anataka Magufuli awaite ili awagawie vyeo kama ilivyofanyika Zanzibar, na kama ingetokea pale chadema hakuna wa kukataa na leo hii Lisu pengine angekuwa waziri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maalim sasa na yeye akajenge Kijijini kwao kuwe kama jiji lipya la kitalii CHATU.
 
Maalim anadhihakiwa au ndiyo ukweli. Anyway, anaesema hivyo yeye binafsi amefanya nini kuhakikisha kuwa Wapinzani wanapunguza kinyongo juu yake...!!
Wao wapinzani ndio wafanye juhudi kuondoa hicho kinyongo
 
Maalim ni kada wa zamani wa CCM.

Kuna mazungumzo yake Maalum na Nyerere mpaka leo hatujaambiwa walijadili nini.

Na Nyerere kashatangulia.

Na Maalim kashasema hatasema walijadili nini.

Food for thought.

You do the dishes.
 
Tundu aliwaomba mumchague awe rais awatoe mashehe wako hamkumchagua, Sasa mnataka ambao hawakuahidi kuwatoa waongee Nini?

..mbona Jiwe aliwatoa kifungoni wale walawiti watoto ingawa wakati wa uchaguzi hakuahidi kuwatoa.

..tena walawiti watoto wakapokelewa / wakaalikwa ikulu na kupiga picha na Jiwe.

..Je, machoni mwa Jiwe walawiti watoto ni afadhali kuliko Mashekhe wa Uamsho?
 
Mashehe wako ni magaidi
 
Unafiki wa kiwango cha lami
Huyu alimsema angemnyima pesa Kama angekuwa yeye. Kwakuwa alikataa kumpa mkono shein, leo hii mzuri
 
Km kuna ukweli hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…