MAGAMBA MATATU
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 646
- 1,199
Jamani hiyo habari ni ya kweli sio sikukuu ya wajinga iliyopo kwenye TV acheki sasa hivi clouds tv
Hiyo habari ni kweli maana hata clouds wamesema kama japo leo ni siku ya wajinga Ila kwa hili suala kama wao kituo cha tv hawawezi kuongea uongo maana hili ni suala linalomhusu Rais na linahitaji usiriasi kulitaja na hauna mamlaka kutaja hata kama ni siku ya wajinga,,, So wameconfirm kuwa ni kweli maana Rais mwenyewe ndo kawapigia na akirudi toka Likizo ataliweka hadharani zaidi na kutoa salary slip yake...