Taifa la kusadikika lina maajabu mengi sana nje ya sayari ya TATU (DUNIA),vituko,vitimbwi,vimbwanga, na kadha wa kadha ndivyo vimesheheni.
Mleta Thread usiumize kichwa ila tambua tu hakuna JIPYA ndani ya CCM ni ile ile mbele kwa mbele kama kale kawimbo cha kuzimu kanavyo sema au kukiri..
Utaumiza kichwa chako hapa, ni kujitahidi kujikomboa kieleimu na kuwakomboa Watz. wenzetu wanaoliwa sana hasa na yale maswahiba hasa yule swahiba MKUU UJINGA, maradhi,umasikini,ufisdai ...n.k. ili kunusuru TAifa letu.
Vinginevyo ni sawa na kumpgia mbuzi gitaaa, kwani ndiyo ADVANTAGE ya CCM inayotumia kwa kuhakikisha HATUNG"ATUI na hayo maswahiba na tubakie kuwa GIZANI.
Inasemekana hivi, ukitaka kumtawala mwana wa Adam DAIMA na MILELE mnyime ELIMU, then MPE CHAKULA hakika ankuwa mtumwa wako wa akili na kila kitu mazima.
Na ndiyo maana unaona hata wale vijana wa Buku 7/2 wanavyoteseka yaani hadi inatia huruma, vijana wanajivua ufahamu kabisa na unaweza sema ni laana toka kwa Mungu...kwani yaani hata kupinga au kuleta hoja ni very GOIGOI SANA hata Bungeni angalia TU hoja za Wapinzani na CCM utakundua kitu.Na wakati mwingine ni sababu TU ya maslahi binafsi mtu anaamua kujvua ufahamu kisa TUMBO LAKE TU.
Mafano mwingine wa kusikitisha sababu ya kutokuwa na ELIMU, mwnanchi anapewa T_SHIRT, au UNGA, au SUKARI au MAJI au ELFU 10 mtu natoa kura yake na mtafuta kula naye ansepa na kurudi baada ya miaka 5 anampa tena na ansepa tena....
My Take: ELIMU KWANZA KAMA ENL ALIVYO SEMA HAKIKA TUWEZA KUONDOKANA NA YALE YOTE IKIWEMO MARADHI,UMASIKINI N.K