Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

kila siku anagawa tu, hapa mil 5, kule mil 10 kule mile 5, zinatoka fungu gani sijui
 
Anadanganya
Anahudumiwa kila kitu bure pale Ikulu. Milioni 9 ni pesa kiduchu sana.
 
Ni uongo mkubwa ndiyo sababu ameshindwa kutimiza ahadi yake. Alikuwa hata salary slip hajaiangalia, hivyo baada ya kuiangalia kagundua kauli yake ilikuwa ya uongo ndiyo sababu hizo salary slips zimeota mbawa. Mshahara wake kwa mwaka ni 400 million na hakatwi kodi.

Ziko wapi zile salary slip za Mkuu walizopewa clouds 360 kutuonyesha mkuu anakula Mill 9 kwa mwezi?
 
Mjadala kama huu hauna maana, inajulikana na kila mtu kuwa mkuu wa kaya mwongo. Nashauri tujadili issue zingine mfano maslahi ya watumishi wa umma hasa annual increment ambazo mpaka leo anadai eti watumishi hewa, wakati ni mzugaji mkubwa.
 
yaani huyo mkuu hata kama analipwa mil 5, bado ana malupulupu mpaka anausahau huo mshahara
 
Mshahara ndio huo ila haukatwi kodi! .

Nilishauri uongezwe ili na yeye akatwe kodi kama Watanzania wengine, haiwezekani raia na 1 na mhamasishaji Mkuu wa kulipa Kodi akawa halipi kodi! .

Pasco
 
Ni uongo mkubwa ndiyo sababu ameshindwa kutimiza ahadi yake. Alikuwa hata salary slip hajaiangalia, hivyo baada ya kuiangalia kagundua kauli yake ilikuwa ya uongo ndiyo sababu hizo salary slips zimeota mbawa. Mshahara wake kwa mwaka ni 400 million na hakatwi kodi.
Na wewe tuoneshe hizo salary slips zinazooneshs anapata milioni 400 kwa mwaka. Kwasababu, kama ni kuongea tu, basi ni kweli Mgombea wa UKAWA wa haraka haraka alikinunua chama kutoka kwa mwenyekiti na mkwe wake.
 
Bavichaa mnavyotoa povu inaonesha ngosha kawashika pabay...
 
Dah Mie wanipe milion moja tu zinanitosha asee duh kuna watu wanakula bata sana dunia hii yaani unalipwa milion 9? ?? Eeeeh Mungu nijaalie mja wako
milioni 9!!???? ni milioni 32(kwa mujibu wa taarifa za gazeti flani la nje) na haziikatwi kodi
 
Akili yako ndipo ilipoishia hapo. Huyo dikteta uchwara nchi imeshamshinda sasa kabaki kuropoka tu. Anatoa ahadi hadharani, "Baada ya mapumziko yangu Chato nitaweka salary slip yangu hadharani ili kuthibitisha kwamba mshahara wangu ni milioni 9.5" baada ya kugundua kwamba kalidanganya Taifa huyu mwenye kawaida ya kusema uongo kaamua kuuchuna tu.

Bavichaa mnavyotoa povu inaonesha ngosha kawashika pabay...
 
Taifa la kusadikika lina maajabu mengi sana nje ya sayari ya TATU (DUNIA),vituko,vitimbwi,vimbwanga, na kadha wa kadha ndivyo vimesheheni.
Mleta Thread usiumize kichwa ila tambua tu hakuna JIPYA ndani ya CCM ni ile ile mbele kwa mbele kama kale kawimbo cha kuzimu kanavyo sema au kukiri..
Utaumiza kichwa chako hapa, ni kujitahidi kujikomboa kieleimu na kuwakomboa Watz. wenzetu wanaoliwa sana hasa na yale maswahiba hasa yule swahiba MKUU UJINGA, maradhi,umasikini,ufisdai ...n.k. ili kunusuru TAifa letu.
Vinginevyo ni sawa na kumpgia mbuzi gitaaa, kwani ndiyo ADVANTAGE ya CCM inayotumia kwa kuhakikisha HATUNG"ATUI na hayo maswahiba na tubakie kuwa GIZANI.
Inasemekana hivi, ukitaka kumtawala mwana wa Adam DAIMA na MILELE mnyime ELIMU, then MPE CHAKULA hakika ankuwa mtumwa wako wa akili na kila kitu mazima.
Na ndiyo maana unaona hata wale vijana wa Buku 7/2 wanavyoteseka yaani hadi inatia huruma, vijana wanajivua ufahamu kabisa na unaweza sema ni laana toka kwa Mungu...kwani yaani hata kupinga au kuleta hoja ni very GOIGOI SANA hata Bungeni angalia TU hoja za Wapinzani na CCM utakundua kitu.Na wakati mwingine ni sababu TU ya maslahi binafsi mtu anaamua kujvua ufahamu kisa TUMBO LAKE TU.
Mafano mwingine wa kusikitisha sababu ya kutokuwa na ELIMU, mwnanchi anapewa T_SHIRT, au UNGA, au SUKARI au MAJI au ELFU 10 mtu natoa kura yake na mtafuta kula naye ansepa na kurudi baada ya miaka 5 anampa tena na ansepa tena....
My Take: ELIMU KWANZA KAMA ENL ALIVYO SEMA HAKIKA TUWEZA KUONDOKANA NA YALE YOTE IKIWEMO MARADHI,UMASIKINI N.K
 
Ndiyo matatizo ya kuwa na akili finyu. Dikteta uchwara alikanusha kwamba mshahara wake si $192,000 kwa mwaka ambazo ni juu kidogo ya milioni 400 kwa mwaka na pia hakatwi kodi.

Sasa kama aliahidi hivyo mbele ya kadamnasi na kushindwa kutimiza ahadi yake basi kwa mara nyingine tena alilidanganya Taifa kama ilivyo kawaida yake ya kusema uongo.

Back
Top Bottom