Watu wengine wachimvi sana. Hivi ukiujua mshahara was Rais utapata faida gani. Frankly mambo mngine unaonekana mwenye busara ukinyamaza.Wadau kipindi mkulu yupo mapumzikoni Chato mwaka jana aliahidi akirudi Dar angeonyesha salary slip yake ili watanzania tujue analipwa shilingi ngapi.
Sasa nadhani sababu ya majukumu mengi amesahau, nlikua nawaomba wasaidizi wake wamkumbushe mkulu ili watanzania tujue mkuu wetu analipwa shilingi ngapi. Cha kushangaza ni kwamba tunaujua mshahara wa Rais wa marekani lakini wa Rais wetu hatuujui.
Alivyosema anatuonyesha ni ili tupate faida gani? kinachozungumziwa hapa na ahadi za uongoWatu wengine wachimvi sana. Hivi ukiujua mshahara was Rais utapata faida gani . Frankly mambo mngine unaonekana mwenye busara ukinyamaza.
Mungu sio mjomba akoPIGA HESABU ZA 2025 SIO 2020........
na kofia ako ya ccm.Mungu sio mjomba ako
Nimeitoa mkuu hapo nilikuwa na njaa sana miaka ya nyuma hiyo vp niliyowekana kofia ako ya ccm.
hahahahaa...hapo safi mkuu..Nimeitoa mkuu hapo nilikuwa na njaa sana miaka ya nyuma hiyo vp niliyoweka
Yeye kama alikua na busara kwa nini alisema atonyesha salary slip yake. Muulize kwanza hilo swali bosi wako kabla hujaja humu kutupigia makelele yakoWatu wengine wachimvi sana. Hivi ukiujua mshahara was Rais utapata faida gani . Frankly mambo mngine unaonekana mwenye busara ukinyamaza.
weka kwanza salary slip yako wewe, ukijua mshahara wa mtu utakusaidiaje wewe kimaisha. fanya kaziYeye kama alikua na busara kwa nini alisema atonyesha salary slip yake. Muulize kwanza hilo swali bosi wako kabla hujaja humu kutupigia makelele yako