Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Watu wengine wachimvi sana. Hivi ukiujua mshahara was Rais utapata faida gani. Frankly mambo mngine unaonekana mwenye busara ukinyamaza.Wadau kipindi mkulu yupo mapumzikoni Chato mwaka jana aliahidi akirudi Dar angeonyesha salary slip yake ili watanzania tujue analipwa shilingi ngapi.
Sasa nadhani sababu ya majukumu mengi amesahau, nlikua nawaomba wasaidizi wake wamkumbushe mkulu ili watanzania tujue mkuu wetu analipwa shilingi ngapi. Cha kushangaza ni kwamba tunaujua mshahara wa Rais wa marekani lakini wa Rais wetu hatuujui.