MAGAMBA MATATU
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 646
- 1,199
Jamani hiyo habari ni ya kweli sio sikukuu ya wajinga iliyopo kwenye TV acheki sasa hivi clouds tv
WATU WENGINE SIJUI MMEPANDISHIWA ROHO ZA SHETANI.MIJIROHO MIBOVU KAMA MAGAIDI.NADHANI MNAMUOMBEA AFE KABISA ILI MFURAHI.AKILI ZA BAVICHAA NI AKILI ZA AJABU SANA.anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Per year 114,000,000
Per 5 years 570,000,000
Per 10 years 1,140,000,000
HAPA KAZI TU
Ni kweli sio sikukuu ya wajinga subiri kesho au magazeti ya alasirihuu uzamwamwa unasemaje mambo ya kitaifa kwenye private media nyeti kama hayo ila kumbukeni leo 1/4
Ya kweli haya?! yule jamaa yetu wa msoga yeye alikuwa anakunja 192m us dollar kwa mwaka sawa 36 m tsh kwa mwezi!. basi magufuli ni mzalendo
Hamuachi fitina!! Raisi kulipwa 9M huoni ni uzalendo? wakati wakuu wa taasisi wanalipwa 36M.anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Hivi Watanzania tunataka nini????????? Akifanya hili shida, akinyamaza shida, jamani hii ni shida tupu.hata kama kweli rais ni taasisi kubwa unatoa taarifa kwenye private media??
Leo ni 1/04/2016
Sikukuu ya wajinga
Hata mie nahisi hivyo.....!1/4/2016
FOOLISH DAY
Tatizo la wengi wetu tunatoa tu maoni bila hata kujiuliza katiba yetu na sheria zetu zinasemaje.......! Hivi ukimlipa rais 400,000 unadhani atamwajibishaje yule anayelipwa 15,000,000? Na je, wastaafu wenzake wataishije? Sometimes we need to think and re-think before we comment, unless we believe that our comments are non-sense, so material less.....anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Nini unyeti wa mshahara wa Rais? Mshahara wake unahusiana vipi na mambo ya kitaifa? Wrong perception!!!huu uzamwamwa unasemaje mambo ya kitaifa kwenye private media nyeti kama hayo ila kumbukeni leo 1/4