baro
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,129
- 4,028
Magazeti yametoa Rais analipwa mil 9.5, sasa tumuamin nan kati yako na vyanzo vya ikulu kupitia magazetiRais Magufuli analipwa Tshs. Milioni 43 kwa mwezi, na mshahara huu ni nyongeza ya Tshs. Milioni 7 ambapo mwaka 2014 mshahara wa rais ulikuwa Tshs. Milioni 36! Marais wastaafu yaani Mwinyi, Mkapa na Kikwete wao wanakula Tshs. Milioni 34 kila mmoja kwa mwezi iwe walale, watembee, wakae kuchwe jua, mvua. Wao ikifika mwisho wa mwezi account zinasoma hadi siku wanaingia ndani ya futi 6.
Kilichotokea jana ni kituo cha clouds kwa kujua fika kuwa ni siku ya wajinga duniani basi wakavamia kuifanya siku hiyo kufana zaidi kwa Tanzania.
Kwa kweli kwa sasa watanzania wamebadilika na au kubadiloshwa sana! Hawahoji tena mambo muhimu kama haya bali wanayapokea tu juu juu. Kila kitakachosemwa kumsifia Magufuli wao huitika "HAPA KAZI TU" Sasa wengi wamekuwa walemavu wa kufikiri.
MCC wametoa sababu za msingi za kuinyima Tanzania Tshs. Trilioni 1. 05 za miradi ya maendeleo Magufuli akatoa matamshi ambayo kimsingi ni kujipa faraja huku wakijua fika kuwa tumekosea wao wakaitika "HAPA KAZI TU"
Kama mshahara wa rais umepunguzwa hayo yangejulikana na vyombo husika tena kwa mujibu wa sheria na siyo kusemwa kwenye kipindi cha soga kwenye kituo cha TV kisha wakaita "official statement" hivi hatuoni kuwa tunajidharau wenyewe?
Hii vita ya mshahara mshashindwa tafuteni nyingine , na hapo atarudi bungeni sijui itakuaje huko naomba tumuunge mkono mh Rais
Naona anataka watu wajali taaluma na siasa soon siasa itakuwa hailipi