Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi tabia ya kukata gogo sehemu zisizostahili hujaacha tu?akiweka hadharani niambe nikakate gogo mtaa wa samora aliposimama yule sanamu mjeda mshamba
hiyo ni moja ya sababu ya kupotea kwa Ben Saanane.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nlfikiri unakunyaaaaakitoa hiyo salary slip nakojoaaaaaa "in mange voice"
Mnafiki ni yule aliyetwambia akishindwa urais anarudi kuchunga Monduli mpaka leo hajaendaAcha kukariri mashairi ya nyimbo za kilioni na kuzitumia ktk harusi.
Ukiwaza mbali, utagundua kwamba, mleta mada anatupa taarifa kua RAIS WETU NI UONGO, na sio kwamba anataka kujua mshshara wake.
Najua unajua kua UONGO ni sifa za mtu MNAFIKI, hivyo tuna Rais MNAFIKI. Hivi huoni kama kuna HASARA za kua na Rais MNAFIKI?
We jamaa vipi mbona unachanganya mada.hapa anazungumziwa magufuli sio mkapa
mkapa aliwaambia analipwa sh. ngapi per month?
bado hajamaliza tu kuilipa??????????Asisahau pia kuonesha makato ya ile 15% ya bodi ya mkopo.
Heri na kwako pia Madam Dr. Rebeka.sikukuu njema wana JF
Heri na kwako pia Madam Dr. Rebeka.