Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

[emoji16][emoji16][emoji16]waTz bhana, unaweza kuta hta mshahara wa wazaz wako milele hukuwahi kuujua,leo unatapka wa rais wa marekani..ayaa,akiwaskia atawapa,ila isje siku mkataka ad risit zake za shopping
 
ukipiga fiksi hupaswi weka viambatanishi utaumbuliwa...kauka ivoivoo bhana utamwumbua font fedi asee
 
Acha kukariri mashairi ya nyimbo za kilioni na kuzitumia ktk harusi.
Ukiwaza mbali, utagundua kwamba, mleta mada anatupa taarifa kua RAIS WETU NI UONGO, na sio kwamba anataka kujua mshshara wake.
Najua unajua kua UONGO ni sifa za mtu MNAFIKI, hivyo tuna Rais MNAFIKI. Hivi huoni kama kuna HASARA za kua na Rais MNAFIKI?
Mnafiki ni yule aliyetwambia akishindwa urais anarudi kuchunga Monduli mpaka leo hajaenda
 
John Magufuli
Rais Tanzania
Kuzaliwa: Tanzania 1959
Oa/Olewa
Watoto: 5
Mwaka: TZS 429.686.943,00
Kwa Mwezi: TZS 35.807.245,00
Kwa Wiki: TZS 8.263.210,00
Kwa Siku: TZS 1.177.225,00.

Huo hapo.

Source: Mywage.com

Kumbuka pia kisheria haukatwi kodi.
 
Asisahau pia kuonesha makato ya ile 15% ya bodi ya mkopo.
 
tafteni hela ninyi acheni kulilia mshahara wa mwenyewe.
Hivi hii mambo ya watu wazima kulia lia huku kwa mitandao mbona inashika kasi hivi aisee
 
Poleni wote mliochangia mada kwani hamkujua ilitoka tarehe ngapi na saa ngapi. Ilikuwa rasmi kwaajili yenu wajinga. Fool's day.
 
Dereva wa basi kapiga weupe wa mbali..ishara ya mambo safi
 
Sidhani kama ni hoja muhimu kujadili mshahara wa Raisi. Matatizo ya watanzania sioni kama mojawapo ni mshahara wa Raisi kwamba ama mdogo au mkubwa.maana raisi ni kila kitu na kwamba kama ataamua hata Ku acha mshahara akaanza kutumia ikulu kwa maslahi binafsi basi dili moja tu linaweza Ku cover mshahara wa kipindi chote cha utumishi na pengine pesa yake itaweza kutosha kula maisha yake yote na ukoo wake mzima.
Ni vema tukakumbushana kwamba ilifikia Wakati tulihitaji raisi wa aina hii ambaye hata wapinzani ahadi zao ilikuwa kuinyoosha nchi. Je wangewezaje kuinyoosha pasipo kuumiza baadhi ya watu. Ukinyoosha maana yake lazima u-strain na kwa kufanya hivyo lazima Kuwe na maumivu.
Kumbuka kuwa tunazungumzia kunyoosha na sio kurekebisha. Maana ukitekebisha unaweza ukawa unapita mlemle. Hatutaki hilo.
Ni ukweli kwamba maisha yamepanda gharama. Unga, sukari, maharage, MAFUTA, nk lakini ukiwa kwenye mpito lazima mtikisiko utokee. Naamini katika mafanikio. Jpm atatufanikishia hata kama tunapitia magumu.
 
Back
Top Bottom