Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika gani?Ni kweli
DuhNingekua mimi ningelipwa 20 million
Kwa hiyo hamtaki kuamini?Nga'choka mie.....[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Ndiounauhakika gani?
Mhh, kama sijakuelewa vile, una maana gani ati?Kalipe sh 500000/= maadili ya viongozi utaona. Ukae ofisi ukisoma majalada ya JPM. Utakuta sh 9000000/=
Hata tukiamini bado ni pesa kubwa mnoo maana mpaka chupi yake sasa hivi tunaigharamia watanzania, kila Kitu anapata bure na ndio maana ana jeuri ya kuwajeurikia watumishi wenye mishahara ya laki 2 mbili hadi 5Kwa hiyo hamtaki kuamini?
Mimi au Sisi...[emoji34]Kwa hiyo hamtaki kuamini?
Duh, ndio jinsi ilivyo kumbe?Hili kuangali file la kiongozi unatakiwa kulipia pesa upewe hili file. Ofisi za maadili. Na uape Na pesa utoe.
Heheeeeeeee mnamlipa MIRIONI TISA TU harafu mnategemea yeye ataishije???????Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametaja mshahara wake kuwa ni Tsh mil 9.5, huku akiahidi atatoa Salary slip zake punde akitoka mapumzikoni Chato.
Hiyo imetokea wakati wa kipindi cha magazeti leo tarehe 01/04/2016 ambapo watangazaji walisoma habari iliyoandikwa na gazeti la nipashe kuwa Zitto na Lissu waomba ataje Mshahara wake na ukatwe kodi.
Wakiwa katika mjadala huo, walipokea taarifa kuwa Rais kawasikia na katuma taarifa ofisi za Clouds kujuza mshahara wake kuwa ni mil 9.5 na atatoa stakabadhi zake akirudi Dar.
Chanzo: Clouds 360 Asubuhi hii
==========
Kutoka Gazeti la Mwananchi: