beberu_mzalendo
Senior Member
- Dec 11, 2020
- 129
- 103
Milioni 9 ni ndogo sana kwa mtu aliyejitolea kupambania wanyonge, kulinda rasilimali za nchi, kurudisha heshima ya nchi kwa kusimamia miradi mikubwa yenye manufaa kwa kila raia.Milioni 9 za nini wakati kila hiduma anapatiwa bure? Na hata akistaafu anapewa huduma., karibu milioni 100 na kitu kwa mwaka nchi maskini kama Tanzania