Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

Milioni 9 za nini wakati kila hiduma anapatiwa bure? Na hata akistaafu anapewa huduma., karibu milioni 100 na kitu kwa mwaka nchi maskini kama Tanzania
Milioni 9 ni ndogo sana kwa mtu aliyejitolea kupambania wanyonge, kulinda rasilimali za nchi, kurudisha heshima ya nchi kwa kusimamia miradi mikubwa yenye manufaa kwa kila raia.
 
Ukishakuwa Rais wa nchi, mshahara hauna kazi yoyote maana hata baada ya utumishi, serikali yaendelea kukutunza hata mauti
 
Naweza kusema huyu Anko ni mzalendo sana,sijui kama kuna Rais mwingine Afrika anayelipwa hela kama hii.

Anko Magu analipwa mil.9 tuu.kiasi ambacho ni kidogo kuliko hata mshahara wa wabunge ambao wao hulipwa mil 12.

Leo kwenye hafla ya kumwapisha Naibu waziri wa Madini Mh Rais alijikuta akitaja kiasi anacholipwa wakati akiongelea suala la mishahara ya watumishi waliokuwa TMA badae kubadilishiwa sekta watumishi hao ambao rais alidai waliboronga huko TMA wanapaswa wasilipwe mil 10 tena mishahara yao ipunguzwe na kuongeza kuwa asiyetaka aache kazi.Maana kuna wengine wanalipwa mishahara ya ajabu sana.

Kwa mshahara huo wa Magu watumishi wengi mno wenye mshahara kumzidi,nashawishika kusema kuwa Rais magu ana mabaya yake lakini ni Rais bora sana kwenye mambo mengi.
Mkuu hapa nae kakosea, kwamba anataka mshahara wake 9m wakati wapo wafanyakazi ,hulipwa laki 4, kweli yeye rais but vyema asingetaja,maana kawapa psychological trauma watu wengi Sana,not fair at all, maaana Kuna watu mwaka mzima ndo total ya mshahara wao, so mh ameona nipesa ndogo,? Wakati hupata kola kitu bure
So mh achana na kutaka mshahara wako public haisaidii bali inabomoa.
Watu watajiuliza mengi juu yako,hacha iyo
 
Naweza kusema huyu Anko ni mzalendo sana,sijui kama kuna Rais mwingine Afrika anayelipwa hela kama hii.

Anko Magu analipwa mil.9 tuu.kiasi ambacho ni kidogo kuliko hata mshahara wa wabunge ambao wao hulipwa mil 12.

Leo kwenye hafla ya kumwapisha Naibu waziri wa Madini Mh Rais alijikuta akitaja kiasi anacholipwa wakati akiongelea suala la mishahara ya watumishi waliokuwa TMA badae kubadilishiwa sekta watumishi hao ambao rais alidai waliboronga huko TMA wanapaswa wasilipwe mil 10 tena mishahara yao ipunguzwe na kuongeza kuwa asiyetaka aache kazi.Maana kuna wengine wanalipwa mishahara ya ajabu sana.

Kwa mshahara huo wa Magu watumishi wengi mno wenye mshahara kumzidi,nashawishika kusema kuwa Rais magu ana mabaya yake lakini ni Rais bora sana kwenye mambo mengi.
Kwani ma Rais walio pita walikuwa wanalipwa Tsh ngapi?
 
Ngoja tukusaidie mleta mada:

1. Mshahara wa Wabunge hauzidi mshahara anaolipwa Rais. Wabunge mishahara yao ni Tshs. 2,500,000. Ila sasa ukiweka hizo posho zao ndio inafika huko inakofika.

2. Rais alitaja mshahara wake siku nyingi tu. Cheki Youtube unaona video zake za miaka mingi akitaja mshahara. Ila hajawahi kutaja posho za Rais.

3. Hivyo kusema Rais amezidiwa mshahara na Wabunge ni kupotosha Umma.
 
sasa kama Mhe. Rais pamoja na majukumu mazito aliyo nayo analipwa 9millioni wewe ni nani unataka kulipwa ziadi ya hapo?!!!
nakubaliana na Rais kama hutaki mshahara wa milioni 7 au 5 kwa mwezi achia ngazi wapo wengi wapo tayari hata kulipwa 3millioni,
wananchi vijijini wanakosa maji, dawa halafu wewe unakula mihela kibao, hapana jamani hata Mungu hapendi hii kitu.
 
Na pia uzingatie changamoto anazopitia huyo mtu, usiangalie tu benefits. Kwa jinsi Rais wetu anavyotupambania ilitakiwa alipwe zaidi ya mara kumi ya mshahara wake wa sasa.
bila shaka wewe ni mke halali wa rais, kama sivyo basi utakuwa ni mke wa nje ya ndoa.
 
sasa kama Mhe. Rais pamoja na majukumu mazito aliyo nayo analipwa 9millioni wewe ni nani unataka kulipwa ziadi ya hapo?!!!
nakubaliana na Rais kama hutaki mshahara wa milioni 7 au 5 kwa mwezi achia ngazi wapo wengi wapo tayari hata kulipwa 3millioni,
wananchi vijijini wanakosa maji, dawa halafu wewe unakula mihela kibao, hapana jamani hata Mungu hapendi hii kitu.
kila kiongozi chini ya 8milion safi, fedha zingine ziende kutatua kero za maji na madawa hospitalini,
elimu yenyewe inatolewa bure lkn serikali inatoa pesa kibao! halafu bado wabunge wanalipwa 11milioni kwa mwezi halfu wakuu wengine wanalipwa hadi 15 milioni kwa mwezi...hakika hii si haki ni dhuluma ya wazi mnawadhulumu watanzania wanyonge. hii nchi sio ya kulipana mishahara mikubwa kiasi hicho wakati zaidi ya watanzania 50milioni wataabika
 
Rais hata asipolipwa mshahara pesa atakuwa nayo tu kwani ana uwezo wa kumpigia Gavana wa BOT hata saa nane usiku akamwambia niletee dola milion 3 au zaidi anamtelea mda huo huo vyanzo vyama kupata pesa kwake ni vingi mno
Umeongeaaaa minyoooo kabisaaaa.
 
bila shaka wewe ni mke wa rais.
Rais kama huyu hutokea mara moja ndani ya miaka 1000, tumebahatika kumpata 2015, angalia miradi mikubwa anavyopambana kuisimamia na kuhakikisha hakuna pesa inayoibwa, tena akilipwa mshahara mdogo kuliko hata wakurugenzi wengi wa taasisi mbali mbali waliopo serikalini. Sio binadamu wa kawaida anayeweza kuweka pembeni tamaa ya pesa na kupambania maendeleo ya nchi yake.
 
Huyu mzalendo ni mtamu aisee.
Pamoja na kupata 9 m tu bado anagawa hovyo maburungutu ya mamilioni huko mtaani. Sidhani kama huwaga zingine anajimegeaga mwenyewe - kama watu wanasema hivyo ni wazushi tu!

Nasikia na yale magari 30 anayotumia kwenye misafara yake anaya mantain mwenyewe 100%.
Pango ikulu anajilipia, hata ma house boys/girls, gardeners anawalipa mwenyewe hakiyanani.
Nguo pia anajinunulia huyu mzalendo. Ada za watoto analipa kutoka mfukoni mwake nasikia.
Halafu watu wanadai eti kamkataza CAG asim audit - watu wanapenda sana kumzushia kashfa mzalendo huyu bila za sababu za msingi!
Nimeipenda bure, Mzalendo wetu huyu eti
 
Naweza kusema huyu Anko ni mzalendo sana,sijui kama kuna Rais mwingine Afrika anayelipwa hela kama hii.

Anko Magu analipwa mil.9 tuu.kiasi ambacho ni kidogo kuliko hata mshahara wa wabunge ambao wao hulipwa mil 12.

Leo kwenye hafla ya kumwapisha Naibu waziri wa Madini Mh Rais alijikuta akitaja kiasi anacholipwa wakati akiongelea suala la mishahara ya watumishi waliokuwa TMA badae kubadilishiwa sekta watumishi hao ambao rais alidai waliboronga huko TMA wanapaswa wasilipwe mil 10 tena mishahara yao ipunguzwe na kuongeza kuwa asiyetaka aache kazi.Maana kuna wengine wanalipwa mishahara ya ajabu sana.

Kwa mshahara huo wa Magu watumishi wengi mno wenye mshahara kumzidi,nashawishika kusema kuwa Rais magu ana mabaya yake lakini ni Rais bora sana kwenye mambo mengi.
Rais Trump wa Marekani amekuwa analipwa Dollar 1 kwa mwezi kwa madai kuwa alikwenda Ikulu kuwaongoza Wamarekani wenzake siyo kufuata mishahara. Kama Rais wetu angekuwa anatoa kutoka kwenye mshahara wake mabulungutu anayozunguka nayo akigawa kwa maswaiba wake, naam angekuwa ndo Rais bora kuliko wote duniani lakini Hazina yote ya nchi iko mikono mwake ikisimamiwa na mpwa wake basi Mshahara wake nae ingefaa upunguzwe kwa sababu ana mahali pa kuchota ziada. Wafanyakazi wa Serikali kulipwa Mshahara mkubwa zaidi kuliko wa Rais ni udhaifu wa Serikali yake na kurekabisha siyo kupunguza mishahara bali kurekabisha mfumo wa mishahara ya wafanyakazi wa Umma iendane na majukumu ya kila mtumishi. Kwa kuwa Rais ndo mfanyakazi Mkuu wa Umma na anaridhika na Mshahara aliopangiwa, basi hicho ndo kiwe kiwango cha juu kabisa cha Mshahara wa Serikali ukifuatiwa na wa Makamu ukifuatiwa na wa Waziri Mkuu na kuendelea chini mpaka mhudumu wa ofisi ya Serikali. Hazina iwalipe tu mishahara wafanyakazi wote wa Umma pamoja na wa Hazina na kugharamia Miradi ya Umma na kulipa madeni ya Taifa. Wananchi ikihitajika wasaidiwe na Serikali yao siyo na mfanyakazi wa Umma binafsi isije ikatambulika kuwa ni rushwa.
 
Back
Top Bottom