Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Mi nashangaa wanatoa gawio serikalini huku mtandao wao ukiwa na huduma mbovu ya intaneti kuliko mitandao yote, yaani nipo Dar tu ila kufungua hata picha ya Whatsapp ni mtihani kwa TTCLNamba hazidanganyi,
Kindamba kaikuta TTCL mahututi mbapaka sasa inatoa gawio serikalini. Tatizo kuu lilikua ni mtaji na hakupewa,anafanya maboresho kutokana na mtaji mdogo uliopo,hata awekwe mwingine hataweza kufanya zaidi ya huyu Kindamba.
Pia sijui Kama ni kwangu tu, bando zao zinaisha haraka sana kulikoni matumizi harisiShalom,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Mh Rais tunaomba umtumbue boss wa TTCL haiwezekani tangu apewe uongozi mwaka 2016 mpaka leo kampuni ipo ovyo.
Kampuni haijiongezi na pia huyo boss sio mbunifu kabisa.
Yaani 52% wa watumiaji wa TTCL hawajui menyu ya kuangalia salio ipoje.
Kampuni haina ofa kwa wateja wake utadhani inauza nyanya.
Watoa huduma wa Costumer Care ndiyo ovyo baba, ukimpigia simu anakujibu oke, sawa, yes mpaka sometimea nafikiria kuwatongoz baba.
Huduma mbovu haziridhishi kabisa. Mtu yupo tu ofisini anapunga upepo hana hata hadhi ya kuongoza kampuni kama hiyo.
Tafadhali tunaomba umpe uongozi mtu mwingine mwenye huruma na Watanzania.
Mbaya zaidi mtu mwenyewe anamiliki hisa zake huko kwenye kamouni ya SMILE. TTCL ipo tangu 1993 hadi leo huduma ovyo.
Halotel wamekuja juzi tu hapa lakini wamekiwasha balaa mpaka wanyonge tunakimbilia kule.
Waziri Kindamba OUT
Unaiharibu TTCL yetu.
Yaani watoa huduma baada ya kutufuata sisi wao ndio wanataka sisi tuwafuate.
Asanteni
Mpaka mwenye hisa aamue sio kindambaHizo hela kwa nini wasitumie kuboresha?
Nensa kwa wakala na Tsh 1050 tu kisha irushe kwenye Tigo Pesa yako then hamisha kutoka tigopesa kwensa T Pesa unakatwa tsh 15Huu ndio Upumbavu walionishauri...... Nataka kuweka 1000... Naenda MPesa kuwaomba waniwekee Buku, buku nahamishia TTCL inakuwa tena ni Buku???
Kampuni zote wana Vocha kasoro TTCL pekee ndio hawana Vocha........
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mteja wa TTCL kwa miaka mingi, ninatumia simu ya mezani, natumia MI-FI na mobile
kuangalia salio kwa mobile iko standard kwa wote piga *102# kuona salio lako au kwa upande wa vifurushi piga *148*30# select number 9
Bado nyie mabenkitela
Hawana plan ya kujipanua na kuleta ushindani wakati kila kitu wanachoUko sahihi ila bado haujasema TTCL wanafeli wapi? Offers, Miundombinu, teknolojia, Bundles, Customer care service? Hebu orodhesha vitu wanavyofeli jamaa toa facts hata uongozi wakisoma wajue kweli wamefeli ukicompare with others kwenye ushindani.
List them all.
Binafsi naona upande wa bundles wako fair mnoo.. bei chee speed ya 4G tena ukiwa na laini ya chuo unaweza hisi unamiliki kampuni nzima😂🙌🏽 hongera sana Boss wa TTCL kwa hili, ila network yao haiko strong baadhi ya maeneo Dar Es Salaam hii hii 🥺. Yaani hilo gawio walilotoa ni bora wangetumia kutengeneza minara strong ya 4G kuliko kututesa wateja wao.
Huyu Waziri Kindamba ni kada wa CCM, bado yupo yupo sana, vumilieni tu. Ila biasharaTTCL ni kubwa kuliko ubongo wake.Shalom,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Mh Rais tunaomba umtumbue boss wa TTCL haiwezekani tangu apewe uongozi mwaka 2016 mpaka leo kampuni ipo ovyo.
Kampuni haijiongezi na pia huyo boss sio mbunifu kabisa.
Yaani 52% wa watumiaji wa TTCL hawajui menyu ya kuangalia salio ipoje.
Kampuni haina ofa kwa wateja wake utadhani inauza nyanya.
Watoa huduma wa Costumer Care ndiyo ovyo baba, ukimpigia simu anakujibu oke, sawa, yes mpaka sometimea nafikiria kuwatongoz baba.
Huduma mbovu haziridhishi kabisa. Mtu yupo tu ofisini anapunga upepo hana hata hadhi ya kuongoza kampuni kama hiyo.
Tafadhali tunaomba umpe uongozi mtu mwingine mwenye huruma na Watanzania.
Mbaya zaidi mtu mwenyewe anamiliki hisa zake huko kwenye kamouni ya SMILE. TTCL ipo tangu 1993 hadi leo huduma ovyo.
Halotel wamekuja juzi tu hapa lakini wamekiwasha balaa mpaka wanyonge tunakimbilia kule.
Waziri Kindamba OUT
Unaiharibu TTCL yetu.
Yaani watoa huduma baada ya kutufuata sisi wao ndio wanataka sisi tuwafuate.
Asanteni
calm down man! Relax!Shalom,

Ujinga ni pale TTCL inatowa gawio kwa Serikali la Tsh 1.0 Bilion halafu baada ya siku 60 inakwend kwa Treasury Registrar kupeleka maombi ya Tsh 360 Bilion kwa ajili ya kuboresha miundombinuNamba hazidanganyi,
Kindamba kaikuta TTCL mahututi mbapaka sasa inatoa gawio serikalini. Tatizo kuu lilikua ni mtaji na hakupewa,anafanya maboresho kutokana na mtaji mdogo uliopo,hata awekwe mwingine hataweza kufanya zaidi ya huyu Kindamba.
Hujui accounts and financing ndio.maana unaona ni ujingaUjinga ni pale TTCL inatowa gawio kwa Serikali la Tsh 1.0 Bilion halafu baada ya siku 60 inakwend kwa Treasury Registrar kupeleka maombi ya Tsh 360 Bilion kwa ajili ya kuboresha miundombinu
Shalom,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Mh Rais tunaomba umtumbue boss wa TTCL haiwezekani tangu apewe uongozi mwaka 2016 mpaka leo kampuni ipo ovyo.
Kampuni haijiongezi na pia huyo boss sio mbunifu kabisa.
Yaani 52% wa watumiaji wa TTCL hawajui menyu ya kuangalia salio ipoje.
Kampuni haina ofa kwa wateja wake utadhani inauza nyanya.
Watoa huduma wa Costumer Care ndiyo ovyo baba, ukimpigia simu anakujibu oke, sawa, yes mpaka sometimea nafikiria kuwatongoz baba.
Huduma mbovu haziridhishi kabisa. Mtu yupo tu ofisini anapunga upepo hana hata hadhi ya kuongoza kampuni kama hiyo.
Tafadhali tunaomba umpe uongozi mtu mwingine mwenye huruma na Watanzania.
Mbaya zaidi mtu mwenyewe anamiliki hisa zake huko kwenye kamouni ya SMILE. TTCL ipo tangu 1993 hadi leo huduma ovyo.
Halotel wamekuja juzi tu hapa lakini wamekiwasha balaa mpaka wanyonge tunakimbilia kule.
Waziri Kindamba OUT
Unaiharibu TTCL yetu.
Yaani watoa huduma baada ya kutufuata sisi wao ndio wanataka sisi tuwafuate.
Asanteni
Halafu wale wazee wamama wanafanya nini pale,Atuwekee chuchu konzi aone kama kampuni haijafanya vizuri ndani ya muda mfupi.......msione wengine tunavyojazana katika majengo ya Tigo kule tunaendaga kuona fahari za macho,vizuri vinajiuzaAinisha ubovu wa huduma za TTCL.Tuanzia hapo kamanda!