Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,683
Labda wehu tu ndio macho yao yako kwa LissuMacho na Masikio ya Wa- Tanzania kwa LISSU tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wehu tu ndio macho yao yako kwa LissuMacho na Masikio ya Wa- Tanzania kwa LISSU tu
Turudishe hapo kwa Bella kumpigia kampeni mgombea wa ccm! Nec wanasoma hapa na wanamuona raia wa kigeni asiyeruhusiwa kisheria lakini wamenyamaza Kama kwamba Sheria za uchaguzi zinaruhusu na wewe kwa uzwazwa unaofanania na huo wa nec unashangilia pasi na shaka!
PAYE imeshuka tayari. Watumishi wengi wamefurahishwa na hili. Wewe siyo mtumishi wa umma inaelekea.
PAYE imeshuka tayari. Watumishi wengi wamefurahishwa na hili. Wewe siyo mtumishi wa umma inaelekea.
Wacha uongo wewe.Walipita jana usiku na vipaza sauti kututangazia kuwa tuhudhurie huu uzinduzi raia wakaanza kuwazomea.
Acha kazi,umelazimishwa.Kwa taarifa yako, mimi ni mtumishi wa umma na niko kwenye wizara moja nyeti sana. Lakini simpendi Meko kwa huu udhalimu anaotufanyia.
Kha!kha!,ndo hivyo mkuuDesperation can be read from his face, hizi kampeni ziishe tu. Wanamtesa sana huyu mzee. Uzinduzi hata miradi ambayo haijaisha
Kwakweli ni kituo kikubwa na cha kisasa kabisa Afrika Mashariki na kati. Ni Lango kuu la kukuza Uchumi wa Tanzania, hongera sana Rais JPM.
Ulitaka azindue kwa Zoom?Hata mimi nilidhani kituo cha bus ni kitu kidogo sana kwa rais wa nchi ya jirani kuja kuweka jiwe la msingi.
Anyway pengine ni u-layman wangu wa kutokujua hizi mambo.