Uchaguzi 2020 Rais Magufuli na Tundu Lissu wote ni Wakatoliki wazuri. Je, Kanisa halioni umuhimu wa kuwapatanisha?

Kweli kabisa.
Kanisa lina mapsychotherapists wazuri saana.
Lissu kapona physically tu, lakini psychologically amechanganyikiwa kabisa.
 
Kama ambavyo amefanya ubinafsi wa hali ya juu, kwa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa katika kijiji chake cha Chatoooo!
watakuambia ni mzalendo mzalendo uanza kwa wengine kwanza
 
Hakuna tatizo la kupelekea kanisa kuingilia ili kuwapatanisha. Tatizo ni ninyi hamjawahi kushuhudia siasa.
Angekuw hai mzee Benjamin Mkapa ungemuuliza akwambie shughuli aliyokua anaipata kutoka kwa akina Lyatonga Mrema.
 
Mkatoliki yeyote wa ukweli huwa na jina la mtakatifu . Magufuli jina lake John anatumia jina la mtakatifu John mbatizaji

Katik historia ya ukatoliki hakuna mtakatifu mwenye jina la Tundu
Tundu Lisu Ni mpagani mwenye jina la kipagani la kwanza la Tundu angekuwa mkatoliki angetumia jina la mtakatifu

Huwezi patanisha mpagani Tundu na mtakatifu John
 
Tatizo mmoja ni anayewatesa viongozi wa dini kimyakimya wakiwemo wa dhehebu lake, kumbuka kuwaambia viongozi wetu wa dini wakathibitishe uraia wao kisa kumkosoa kuhusu katiba mpya.Lissu anaaminika zaidi kwa maneno na matendo kuliko jpm.
 
Sure
 
Na kura ziwe kwa TAL
 
Beautiful
 
Kardinali Pengo ndio amelinajis Kanisa Katoliki alipoutangazia umma kuwa Wakatoliki wote hawampendi Lissu na wanampenda Magufuli. Wala hakuzungumza lolote hata Lissu aliposhambuliwa. Yeye alichukua jembe na kuipalilia chuki kwa mapenzi yake kwa ccm zaidi na rais wake.
 
Mtakatifu bila kufanya utakatifu jina haliwezi saidia
 
Magufuli hayupo tayari kukaa meza moja Tundu Lisu kwa sababu hajazoea kukaa karibu na watu wanaoweza kumkosoa waziwazi
 
Hakuna tatizo la kupelekea kanisa kuingilia ili kuwapatanisha. Tatizo ni ninyi hamjawahi kushuhudia siasa.
Angekuw hai mzee Benjamin Mkapa ungemuuliza akwambie shughuli aliyokua anaipata kutoka kwa akina Lyatonga Mrema.
Mrema alikua habari ingine by that time hakuna social media hakuna coverage kubwa ya radio ila akifika ndo unajua kuna watu kweli kila kitu ni enzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…