Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watakuambia ni mzalendo mzalendo uanza kwa wengine kwanzaKama ambavyo amefanya ubinafsi wa hali ya juu, kwa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa katika kijiji chake cha Chatoooo!
Very hopeless opinionKupatanishwa na Lissu? Huyu mtu anayeuza nchi mchana kweupe? Labda kama kanisa halina kazi za kufanya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TrueIts too late, shauri limeishaletwa kwa mahakama yetu WANANCHI. Tutatoa hukumu ya haki kabisa juu ya ndugu hawa wawili.
SureTatizo mmoja ni anayewatesa viongozi wa dini kimyakimya wakiwemo wa dhehebu lake, kumbuka kuwaambia viongozi wetu wa dini wakathibitishe uraia wao kisa kumkosoa kuhusu katiba mpya.Lissu anaaminika zaidi kwa maneno na matendo kuliko jpm.
Na kura ziwe kwa TALNatamani siku moja niwaone wawili hawa wakikumbatiana kwa tabasamu pana lenye bashasha hakika itakuwa ni ushindi kwa taifa letu.
Amani iwe kwako Mh Rais Magufuli
Amani iwenkwako Mh Tundu Lissu
Amani iwe kwa wana CCM wote
Amani iwe kwa wana Chadema wote
Amani iwe kwa Watanzania wote
BeautifulSuperbug,
Hii ni nchi ya wote na ndicho Tundu Lissu anasema tena na tena na siyo suala la watu wawili yaani Magufuli vs. Lissu.
CCM Mpya mmevurugwa mawazo kiasi cha kutaka kuitoa nchi mmliyoikabidhi kwa mtu mmoja na sasa mawazo yenu mnataka kujenga nadharia anayoikataa Tundu Lissu kuwa nchi hii haiwezi kukabidhiwa kwa mtu mmoja au genge la watu wachache mfano maaskofu au masheikh n.k. kutupa muelekeo.
Muelekeo wenye afya njema kwa nvhi tutaupata kwa kupitia demokrasia pana ya kijamii kupitia vyama vingi, watawala kuwa wasikivu, bunge huru n.k
Tundu Lissu na waTanzania wengi wanapenda ushirikishwaji mpana wa wananchi katika kuamua mustakabali wa nchi yao.
Ushirikishwaji huo unaanzia mfano Halmashauri ya Chama NEC CCM, Kamati Kuu, iwe na uwezo wa kumdhibiti mgombea rais wao akiwa amepewa mamlaka ya kiuongozi.
Nchi kuwa na Bunge la kuiwajibisha serikali na Mahakama kuwa huru kutafsiri sheria bila kuingiliwa na dola/ serikali kuu, huo ndio msimamo wa Tundu Lissu, CHADEMA na watu-huru waTanzania na siyo mustakabali wa nchi "umilikishwe" kwa mtu au watu wawili au kikundi cha watu au chama kimoja.
WaTanzania wa 2020 wanaenda kukataa kurudisha ile dhana iliyopo ambayo ni ukweli kuwa sasa wamekuwa 'mateka tangu 2015' kwa vile wamepiga kura kumkabidhi mtu ofisi ya Urais.
WaTanzania wanataka uhuru Na kazi, Uhuru Na Maendeleo, Uhuru Na umoja na pia haki ya mlipa-kodi kutoa mapendekezo kodi yao itumike vipi na siyo kumkabidhi mtu mmoja aamue kutumia pesa za walipa kodi itakavyompendeza kama ilivyo sasa.
Kardinali Pengo ndio amelinajis Kanisa Katoliki alipoutangazia umma kuwa Wakatoliki wote hawampendi Lissu na wanampenda Magufuli. Wala hakuzungumza lolote hata Lissu aliposhambuliwa. Yeye alichukua jembe na kuipalilia chuki kwa mapenzi yake kwa ccm zaidi na rais wake.Natamani siku moja niwaone wawili hawa wakikumbatiana kwa tabasamu pana lenye bashasha hakika itakuwa ni ushindi kwa taifa letu.
Amani iwe kwako Mh Rais Magufuli
Amani iwenkwako Mh Tundu Lissu
Amani iwe kwa wana CCM wote
Amani iwe kwa wana Chadema wote
Amani iwe kwa Watanzania wote
Mtakatifu bila kufanya utakatifu jina haliwezi saidiaMkatoliki yeyote wa ukweli huwa na jina la mtakatifu . Magufuli jina lake John anatumia jina la mtakatifu John mbatizaji
Katik historia ya ukatoliki hakuna mtakatifu mwenye jina la Tundu
Tundu Lisu Ni mpagani mwenye jina la kipagani la kwanza la Tundu angekuwa mkatoliki angetumia jina la mtakatifu
Huwezi patanisha mpagani Tundu na mtakatifu John
Magufuli hayupo tayari kukaa meza moja Tundu Lisu kwa sababu hajazoea kukaa karibu na watu wanaoweza kumkosoa waziwaziNatamani siku moja niwaone wawili hawa wakikumbatiana kwa tabasamu pana lenye bashasha hakika itakuwa ni ushindi kwa taifa letu.
Amani iwe kwako Mh Rais Magufuli
Amani iwenkwako Mh Tundu Lissu
Amani iwe kwa wana CCM wote
Amani iwe kwa wana Chadema wote
Amani iwe kwa Watanzania wote
Mrema alikua habari ingine by that time hakuna social media hakuna coverage kubwa ya radio ila akifika ndo unajua kuna watu kweli kila kitu ni enziHakuna tatizo la kupelekea kanisa kuingilia ili kuwapatanisha. Tatizo ni ninyi hamjawahi kushuhudia siasa.
Angekuw hai mzee Benjamin Mkapa ungemuuliza akwambie shughuli aliyokua anaipata kutoka kwa akina Lyatonga Mrema.