LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Mwenzio jpm kwa sasa muda wote kawakusanya viongozi wa dini ili wampe kura.Mmeanza kuuzungumza udini mchana kweupe.
Kumbe ni mpagani? π²Mkatoliki yeyote wa ukweli huwa na jina la mtakatifu . Magufuli jina lake John anatumia jina la mtakatifu John mbatizaji
Katik historia ya ukatoliki hakuna mtakatifu mwenye jina la Tundu
Tundu Lisu Ni mpagani mwenye jina la kipagani la kwanza la Tundu angekuwa mkatoliki angetumia jina la mtakatifu
Huwezi patanisha mpagani Tundu na mtakatifu John
Ndio alikana jina lake la ubatizo na kulibadili akajipa la kipagani la TunduKumbe ni mpagani? π²
Asilimia kubwa kama sio wote, viongozi wale ni wafanya biashara, wanajua fika kuwa waumini wanaowaongoza ni wafuasi wa vyama tofauti vya kisiasa. Na kama ambavyo serikali inavyojinasibu kuwa haina dini, na wao hawapaswi kuwalazimisha wafuasi wao kuchagua chama fulani cha kisiasa. Lakini kwa kulinda maslahi ya biashara zao zisijetoweka lazima wajipendekeze kwa haya ya kidunia.Mwenzio jpm kwa sasa muda wote kawakusanya viongozi wa dini ili wampe kura.
Mshahamisha Goli tena???ππππLisu alilikana jina la kikatoliki la ubatizo alilobatiziwa akaamua kujipa jina la kienyeji kukufuru ukatoliki kuwa hauko sahihi kutaka watoto wapewe majina ya ubatizo ya watakatifu
Kitendo Cha Lisu kulikana jina la mtakatifu kukitumia Ni dharau kwa imani Katoliki
Wewe vipi? Kanisa Katoliki liwapatanishe Lissu na Magufuli kwa lipi? Kwani wana ugomvi?Ni jambo lililo wazi kwamba hawa watu wawili wana mengi yanayofanana na kukinzana.
Wote ni public figures na wanasiasa tofauti ni kwamba mmoja ni rais wa nchi na mwingine ni mwanasiasa anayependwa sana kwa sasa.
Wote hawa ni Wakatoliki wazuri sana na wanaoijua imani yao vema.
Kwasababu ambazo sioni haja ya kuzieleza hapa, hawa wote wana tofauti kubwa hasa kwa mambo yalivyokuwa kwa kipindi cha miaka mitatu nyuma mpaka sasa.
Swali langu kwa kanisa Katoliki:
Je, halioni umuhimu wa kuwapatanisha Hawa waumini wake wawili? Je kanisa linafurahishwa na Hali iliyopo kwa sasa baina ya wawili hawa?
Nini mchango wa kanisa katika kubeba hisia za Lissu na kumtuliza? Na ni nini mchango wa kanisa katika kumpa Mh Rais Magufuli tulizo la moyo linalotokana na cheche za Lissu?
Mwisho wa siku sisi ni Watanzania.
Usiku mwema.
Nitagusia tuhuma za uongozaji wa kanisa Katoliki katika mauwaji ya mbari huko Rwanda 1994Unalisema Kanisa Katoliki hilihili lililo simamia utekeleza mauaji ya Kimbari ya huko Rwanda 1994? Au unasema Katoliki ipi? Hilihili la akina Pengo na Methodius Kilaini? Linaloshindwa kukemea viongozi wa kisiasa kwa mambo wanayoyafanya yasiyokuwa mema machoni pa binadamu?
Unalisemea Katoliki hili ambalo wazazi wkitenda kosa linamgharimu na mtoto au mtoto akitenda kosa linagharimu na wazazi?
Hivi ni hii Katoliki yetu ambayo usipolipa michango ya jumuia hupewi huduma ya Kanisa? Unalisema hili ambalo ibada ya marehemu tajiri anaenda Padri/Askofu na kwa maskini wanaenda Makatekista?
Au sijakusikia vizuri uongeze sauti mkuu.
Anayebwatuka kila siku ni Lissu, sijamsikia Magufuli kila anapoenda anataja Lissu Lissu.Ni jambo lililo wazi kwamba hawa watu wawili wana mengi yanayofanana na kukinzana.
Wote ni public figures na wanasiasa tofauti ni kwamba mmoja ni rais wa nchi na mwingine ni mwanasiasa anayependwa sana kwa sasa.
Wote hawa ni Wakatoliki wazuri sana na wanaoijua imani yao vema.
Kwasababu ambazo sioni haja ya kuzieleza hapa, hawa wote wana tofauti kubwa hasa kwa mambo yalivyokuwa kwa kipindi cha miaka mitatu nyuma mpaka sasa.
Swali langu kwa kanisa Katoliki:
Je, halioni umuhimu wa kuwapatanisha Hawa waumini wake wawili? Je kanisa linafurahishwa na Hali iliyopo kwa sasa baina ya wawili hawa?
Nini mchango wa kanisa katika kubeba hisia za Lissu na kumtuliza? Na ni nini mchango wa kanisa katika kumpa Mh Rais Magufuli tulizo la moyo linalotokana na cheche za Lissu?
Mwisho wa siku sisi ni Watanzania.
Usiku mwema.
Ni jambo lililo wazi kwamba hawa watu wawili wana mengi yanayofanana na kukinzana.
Wote ni public figures na wanasiasa tofauti ni kwamba mmoja ni rais wa nchi na mwingine ni mwanasiasa anayependwa sana kwa sasa.
Wote hawa ni Wakatoliki wazuri sana na wanaoijua imani yao vema.
Kwasababu ambazo sioni haja ya kuzieleza hapa, hawa wote wana tofauti kubwa hasa kwa mambo yalivyokuwa kwa kipindi cha miaka mitatu nyuma mpaka sasa.
Swali langu kwa kanisa Katoliki:
Je, halioni umuhimu wa kuwapatanisha Hawa waumini wake wawili? Je kanisa linafurahishwa na Hali iliyopo kwa sasa baina ya wawili hawa?
Nini mchango wa kanisa katika kubeba hisia za Lissu na kumtuliza? Na ni nini mchango wa kanisa katika kumpa Mh Rais Magufuli tulizo la moyo linalotokana na cheche za Lissu?
Mwisho wa siku sisi ni Watanzania.
Usiku mwema.
Walioiuza Tanzania kwa wanaoitwa wawekezaji, huwajui ?!. Lissu alifunga nao mkataba gani mbovu ?!.Kupatanishwa na Lissu? Huyu mtu anayeuza nchi mchana kweupe? Labda kama kanisa halina kazi za kufanya.
CCM waache kuonewa wapinzani wao kwa kutumia vyombo vya dola.Natamani siku moja niwaone wawili hawa wakikumbatiana kwa tabasamu pana lenye bashasha hakika itakuwa ni ushindi kwa taifa letu.
Amani iwe kwako Mh Rais Magufuli
Amani iwenkwako Mh Tundu Lissu
Amani iwe kwa wana CCM wote
Amani iwe kwa wana Chadema wote
Amani iwe kwa Watanzania wote