Uchaguzi 2020 Rais Magufuli na Tundu Lissu wote ni Wakatoliki wazuri. Je, Kanisa halioni umuhimu wa kuwapatanisha?

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli na Tundu Lissu wote ni Wakatoliki wazuri. Je, Kanisa halioni umuhimu wa kuwapatanisha?

Imekosekana suluhu ya bunge laivu ijeipatikae sukuhu ya pyupyupyuu hatutaki suluhu
 
Lisu alilikana jina la kikatoliki la ubatizo alilobatiziwa akaamua kujipa jina la kienyeji kukufuru ukatoliki kuwa hauko sahihi kutaka watoto wapewe majina ya ubatizo ya watakatifu

Kitendo Cha Lisu kulikana jina la mtakatifu kukitumia Ni dharau kwa imani Katoliki
 
Mkatoliki yeyote wa ukweli huwa na jina la mtakatifu . Magufuli jina lake John anatumia jina la mtakatifu John mbatizaji

Katik historia ya ukatoliki hakuna mtakatifu mwenye jina la Tundu
Tundu Lisu Ni mpagani mwenye jina la kipagani la kwanza la Tundu angekuwa mkatoliki angetumia jina la mtakatifu

Huwezi patanisha mpagani Tundu na mtakatifu John
Kumbe ni mpagani? 😲
 
Hilo Kanisa kabla yakuwapatanisha lilipaswa litoe japo mstari wa neno kuhusu kupigwa risasi kwa muumini wao Bwana Lisu.
Makanisa(Viongozi wa dini baadhi) yalitakiwa yawe kipaza sauti cha wananchi lakini yamegeuka watetezi wa serekali.
 
Mwenzio jpm kwa sasa muda wote kawakusanya viongozi wa dini ili wampe kura.
Asilimia kubwa kama sio wote, viongozi wale ni wafanya biashara, wanajua fika kuwa waumini wanaowaongoza ni wafuasi wa vyama tofauti vya kisiasa. Na kama ambavyo serikali inavyojinasibu kuwa haina dini, na wao hawapaswi kuwalazimisha wafuasi wao kuchagua chama fulani cha kisiasa. Lakini kwa kulinda maslahi ya biashara zao zisijetoweka lazima wajipendekeze kwa haya ya kidunia.
 
Kwani wana ugomvi binafsi hadi kanisa kuingilia? Kila mmoja yupo kutetea maslahi ya chama chake, Kanisa linaingia vipi hapo, ni mtizamo wangu tu
 
Tangu nasoma mpaka sasa sijawahi ona hasi na chanya vikikaa sehemu moja kwa ushirikiano
 
Kwa hili, naweza kuchangia hivi:
1. Ni kweli wote ni Wakatoliki.
2. Kanisa linaweza kuwapatanisha kama ni maadui wanaotaka kupatanishwa.
3. Lakini sioni kama ni maadui, bali ni wenye itikadi, mitazamo na 'approaches' tofauti za kisiasa.
 
Hawana ugomvi ila wana tofauti za kimtizamo na kimkakati. Kama watu wana mitizamo tofauti huwezi kuwapatanisha, Kwa mfano inawezekana mmoja anaamini kuwa ana mamlaka ya kufanya lolote analoona ni jema (wewe unaweza usione kama ni jema) na kweli kikatiba anayo mamlaka, na mwingine anaona si sawa kutumia mamlaka hayo hivyo, na hivyo anafikiri katiba ifanyiwe marekebisho ili hayo mamlaka yapunguzwe au yawekewe utaratibu wa kuyatumia. Katika hali hiyo Kanisa linaweza kuingiliaje?
Kuna tofauti ambazo kanisa linaweza kuingilia na kusuluhisha kama vile ugomvi halisi, kuumizana, nk. Na ili kanisa liweze kufanya hivyo, lazima lisiwe na upande wowote iwe kwa kulaumu au kwa kusifia.
Lisu na Magufuli wakikutana kanisani watapeana mkono wa kutakiana amani ila wakipanda kwenye ulingo wa kisiasa - ni tofauti
 
Lisu alilikana jina la kikatoliki la ubatizo alilobatiziwa akaamua kujipa jina la kienyeji kukufuru ukatoliki kuwa hauko sahihi kutaka watoto wapewe majina ya ubatizo ya watakatifu

Kitendo Cha Lisu kulikana jina la mtakatifu kukitumia Ni dharau kwa imani Katoliki
Mshahamisha Goli tena???😂😂😂😂

Daaah!!! Lissu kweli anawavuruga Lumumba
 
Ni jambo lililo wazi kwamba hawa watu wawili wana mengi yanayofanana na kukinzana.

Wote ni public figures na wanasiasa tofauti ni kwamba mmoja ni rais wa nchi na mwingine ni mwanasiasa anayependwa sana kwa sasa.

Wote hawa ni Wakatoliki wazuri sana na wanaoijua imani yao vema.

Kwasababu ambazo sioni haja ya kuzieleza hapa, hawa wote wana tofauti kubwa hasa kwa mambo yalivyokuwa kwa kipindi cha miaka mitatu nyuma mpaka sasa.

Swali langu kwa kanisa Katoliki:
Je, halioni umuhimu wa kuwapatanisha Hawa waumini wake wawili? Je kanisa linafurahishwa na Hali iliyopo kwa sasa baina ya wawili hawa?

Nini mchango wa kanisa katika kubeba hisia za Lissu na kumtuliza? Na ni nini mchango wa kanisa katika kumpa Mh Rais Magufuli tulizo la moyo linalotokana na cheche za Lissu?

Mwisho wa siku sisi ni Watanzania.

Usiku mwema.
Wewe vipi? Kanisa Katoliki liwapatanishe Lissu na Magufuli kwa lipi? Kwani wana ugomvi?
 
Unalisema Kanisa Katoliki hilihili lililo simamia utekeleza mauaji ya Kimbari ya huko Rwanda 1994? Au unasema Katoliki ipi? Hilihili la akina Pengo na Methodius Kilaini? Linaloshindwa kukemea viongozi wa kisiasa kwa mambo wanayoyafanya yasiyokuwa mema machoni pa binadamu?

Unalisemea Katoliki hili ambalo wazazi wkitenda kosa linamgharimu na mtoto au mtoto akitenda kosa linagharimu na wazazi?

Hivi ni hii Katoliki yetu ambayo usipolipa michango ya jumuia hupewi huduma ya Kanisa? Unalisema hili ambalo ibada ya marehemu tajiri anaenda Padri/Askofu na kwa maskini wanaenda Makatekista?

Au sijakusikia vizuri uongeze sauti mkuu.
Nitagusia tuhuma za uongozaji wa kanisa Katoliki katika mauwaji ya mbari huko Rwanda 1994
Kanisa Katoliki halikusimamia mauaji ya kimbari ya Rwanda wacha kupotosha, waumini na wanaoahasimiana tena kwa sababu mbalimbali wengine hawakuwa hata wakristo walikimbimbilia kanisani

Mauwaji yalifanywa na kundi la MRND likiwa chini ya Theoneste Bagosora na Mkuu wa Redio Mille Collines mr Kabuga Felicien

Kuna baadhi ya wanaanchi waliuawa na kwenye Mto Kagera je utaulaumu Mto Akagera? kushirikianana kuuwa Wananchi wa Rwanda.

"Evil is inside us" lakini kama ilivyo hulka ya mwanadamuhuwa tunatafuta wa kumtwisha lawama

Yale mauaji ya Rwanda 1994 yalikuwa ya ni yakikabila hayakuwa ya kidini hata kidogo
 
Ni jambo lililo wazi kwamba hawa watu wawili wana mengi yanayofanana na kukinzana.

Wote ni public figures na wanasiasa tofauti ni kwamba mmoja ni rais wa nchi na mwingine ni mwanasiasa anayependwa sana kwa sasa.

Wote hawa ni Wakatoliki wazuri sana na wanaoijua imani yao vema.

Kwasababu ambazo sioni haja ya kuzieleza hapa, hawa wote wana tofauti kubwa hasa kwa mambo yalivyokuwa kwa kipindi cha miaka mitatu nyuma mpaka sasa.

Swali langu kwa kanisa Katoliki:
Je, halioni umuhimu wa kuwapatanisha Hawa waumini wake wawili? Je kanisa linafurahishwa na Hali iliyopo kwa sasa baina ya wawili hawa?

Nini mchango wa kanisa katika kubeba hisia za Lissu na kumtuliza? Na ni nini mchango wa kanisa katika kumpa Mh Rais Magufuli tulizo la moyo linalotokana na cheche za Lissu?

Mwisho wa siku sisi ni Watanzania.

Usiku mwema.
Anayebwatuka kila siku ni Lissu, sijamsikia Magufuli kila anapoenda anataja Lissu Lissu.
Magufuli Hana muda na huyo poyoyo.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Magufuli hawezi kukubali ataonekana anamnyenyekea ,hata hao watakaotoa wazo hilo watafakari vizuri yasije yakawakuta
Ni jambo lililo wazi kwamba hawa watu wawili wana mengi yanayofanana na kukinzana.

Wote ni public figures na wanasiasa tofauti ni kwamba mmoja ni rais wa nchi na mwingine ni mwanasiasa anayependwa sana kwa sasa.

Wote hawa ni Wakatoliki wazuri sana na wanaoijua imani yao vema.

Kwasababu ambazo sioni haja ya kuzieleza hapa, hawa wote wana tofauti kubwa hasa kwa mambo yalivyokuwa kwa kipindi cha miaka mitatu nyuma mpaka sasa.

Swali langu kwa kanisa Katoliki:
Je, halioni umuhimu wa kuwapatanisha Hawa waumini wake wawili? Je kanisa linafurahishwa na Hali iliyopo kwa sasa baina ya wawili hawa?

Nini mchango wa kanisa katika kubeba hisia za Lissu na kumtuliza? Na ni nini mchango wa kanisa katika kumpa Mh Rais Magufuli tulizo la moyo linalotokana na cheche za Lissu?

Mwisho wa siku sisi ni Watanzania.

Usiku mwema.
 
Kupatanishwa na Lissu? Huyu mtu anayeuza nchi mchana kweupe? Labda kama kanisa halina kazi za kufanya.
Walioiuza Tanzania kwa wanaoitwa wawekezaji, huwajui ?!. Lissu alifunga nao mkataba gani mbovu ?!.
 
Natamani siku moja niwaone wawili hawa wakikumbatiana kwa tabasamu pana lenye bashasha hakika itakuwa ni ushindi kwa taifa letu.

Amani iwe kwako Mh Rais Magufuli
Amani iwenkwako Mh Tundu Lissu
Amani iwe kwa wana CCM wote
Amani iwe kwa wana Chadema wote
Amani iwe kwa Watanzania wote
CCM waache kuonewa wapinzani wao kwa kutumia vyombo vya dola.

Kwanza Magufuli si aliambiwa akatubu na Askofu Kakobe ameshatubu ???

Utapatana vipi na mtu ambaye amegoma kutubu?
 
Back
Top Bottom