Uchaguzi 2020 Rais Magufuli na Tundu Lissu wote ni Wakatoliki wazuri. Je, Kanisa halioni umuhimu wa kuwapatanisha?

Hakuna umuhimu. Tundu Lissu ana mdomo mchafu. Hana jipya zaidi ya kuzungumzia watu vibaya badala ya kujadili hoja na mipango. Sisi vijana wa Hai.
 
HAWA NI WAGOMBEA SIO MAADUI, WAPATANISHWE KWA LIPI? MBONA NYIE WATU HAMUELEWEKI?
 
Unata watanishwe bila ugonvi
 
roma mkatoliki, mo dewj, ben saanane, azori, nondo, kanguye...kwa uchache sana.
Yote huna ushahidi; ni speculations tu. Kuna msemo kuwa "...give a dog a bad name and hang it..." Ndiyo wengi hapa wanafanya, yaani kutoa sababu zisizothibitishwa ili "dog awe na bad name". Mwishoni mwa miaka ya sabini na themanini kulikuwa na utekaji wa Mumiani na baadaye kukawa wachuna ngozi ambao walikuwa wanafanya hivyo kama njia ya kupatia utajiri; miaka ya hivi karibuni tukawa na matukio ya albino kukatwa maungo kwa sababu hizo hizo. Mila na imani zetu nyingine huleta matukio ya ajabu lakini watu kama wewe badala ya kuwa objective wanarukia simple conclusions tu. kwamba mtu akitekwa, basi ni serikali imemteka, au mtu akipotea basi ni serikali ndiyo imempoteza. Inatakiwa kuwa na uhusiano mzuri kati ya serikali na raia, siyo raia kuwa na confrotation na serikali kila wakati hata pasipohusika. Tunakuwa tunatukana maana ya multiparty system.
 
Hakuna kitu kama hiyo... labda mmojawapo kati ya hao(hasa jiwe) atokewe na malaika...!
 
Upatanishe mtu mwenye matundu ya risasi kama neti hapo sijui utatumia lugha gani au Zaburi gani?LISSU ANACHOJIFEEL NI HALALI YAKE MI SIMLAUMU
 
Jinga kweli kweli wewe.
Sasa Kanisa Katoliki liliruhusu vipi mpagani au mwenye jina la kipagani kuwa muumini wake??!!
 

Lissu alishatoa make namba Ya gari kwa IGP🤣 huwezi kibadilisha historia Lissu kasha wasamee lakini wasiko omba msamaha watakufa wakiwa wa kujilaumu
 
Lissu alishatoa make namba Ya gari kwa IGP🤣 huwezi kibadilisha historia Lissu kasha wasamee lakini wasiko omba msamaha watakufa wakiwa wa kujilaumu
Hiyo namba ni kweli ilikuwa imesajiliwa au ilikuwa ni namba ya kutengezwa tu? Ni kama hujui maana ya uhaini. Yaani unaamini kuwa mhaini atakuja kwako kukudhuru wa kutumia gari ambayo namba namba zake zimesajiliwa kihalali!! Hebu jaribu kuangalia vipindi kwenye True Crime Network, FBI files na Forensic Files ujue jinsi uharifu unavyoshughulikiwa na wenzetu
 
Mmoja wapo ni mkatoliki katili (Rosa mistika) na mwingine ni mkatoliki mwenye huruma
 
bad name mmejipa wenyewe, mmetangaza hadharani kuwa mkakati wenu ni kuufuta upinzani na baada ya hapo ndo matukio hayo mfulilizo. kwa hiyo tuhumu zote hizo serikali imeshindwa kuchunguza hata moja ili ithibitishe hizo speculations? huoni na wewe unaspeculate tu kuwa ninaspeculate?...

mkuu haki huinua taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…