mobutu seseseko nguku wa za bangaKwani mtu akiongea jambo anatakiwa kuchukuliwa hatua??? Jibuni hoja acheni ubabe!!
Ni raisi gani aliwai kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini kwao????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mobutu seseseko nguku wa za bangaKwani mtu akiongea jambo anatakiwa kuchukuliwa hatua??? Jibuni hoja acheni ubabe!!
Ni raisi gani aliwai kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini kwao????
HAWA NI WAGOMBEA SIO MAADUI, WAPATANISHWE KWA LIPI? MBONA NYIE WATU HAMUELEWEKI?Ni jambo lililo wazi kwamba hawa watu wawili wana mengi yanayofanana na kukinzana.
Wote ni public figures na wanasiasa tofauti ni kwamba mmoja ni rais wa nchi na mwingine ni mwanasiasa anayependwa sana kwa sasa.
Wote hawa ni Wakatoliki wazuri sana na wanaoijua imani yao vema.
Kwasababu ambazo sioni haja ya kuzieleza hapa, hawa wote wana tofauti kubwa hasa kwa mambo yalivyokuwa kwa kipindi cha miaka mitatu nyuma mpaka sasa.
Swali langu kwa kanisa Katoliki:
Je, halioni umuhimu wa kuwapatanisha Hawa waumini wake wawili? Je kanisa linafurahishwa na Hali iliyopo kwa sasa baina ya wawili hawa?
Nini mchango wa kanisa katika kubeba hisia za Lissu na kumtuliza? Na ni nini mchango wa kanisa katika kumpa Mh Rais Magufuli tulizo la moyo linalotokana na cheche za Lissu?
Mwisho wa siku sisi ni Watanzania.
Usiku mwema.
Kavaa kanga umpikie mmeoKupatanishwa na Lissu? Huyu mtu anayeuza nchi mchana kweupe? Labda kama kanisa halina kazi za kufanya.
Mwacheni jiwe achomwechomwe kila saa jeuri sanaIts too late, shauri limeishaletwa kwa mahakama yetu Wananchi. Tutatoa hukumu ya haki kabisa juu ya ndugu hawa wawili.
Unata watanishwe bila ugonviNi jambo lililo wazi kwamba hawa watu wawili wana mengi yanayofanana na kukinzana.
Wote ni public figures na wanasiasa tofauti ni kwamba mmoja ni rais wa nchi na mwingine ni mwanasiasa anayependwa sana kwa sasa.
Wote hawa ni Wakatoliki wazuri sana na wanaoijua imani yao vema.
Kwasababu ambazo sioni haja ya kuzieleza hapa, hawa wote wana tofauti kubwa hasa kwa mambo yalivyokuwa kwa kipindi cha miaka mitatu nyuma mpaka sasa.
Swali langu kwa kanisa Katoliki:
Je, halioni umuhimu wa kuwapatanisha Hawa waumini wake wawili? Je kanisa linafurahishwa na Hali iliyopo kwa sasa baina ya wawili hawa?
Nini mchango wa kanisa katika kubeba hisia za Lissu na kumtuliza? Na ni nini mchango wa kanisa katika kumpa Mh Rais Magufuli tulizo la moyo linalotokana na cheche za Lissu?
Mwisho wa siku sisi ni Watanzania.
Usiku mwema.
Yote huna ushahidi; ni speculations tu. Kuna msemo kuwa "...give a dog a bad name and hang it..." Ndiyo wengi hapa wanafanya, yaani kutoa sababu zisizothibitishwa ili "dog awe na bad name". Mwishoni mwa miaka ya sabini na themanini kulikuwa na utekaji wa Mumiani na baadaye kukawa wachuna ngozi ambao walikuwa wanafanya hivyo kama njia ya kupatia utajiri; miaka ya hivi karibuni tukawa na matukio ya albino kukatwa maungo kwa sababu hizo hizo. Mila na imani zetu nyingine huleta matukio ya ajabu lakini watu kama wewe badala ya kuwa objective wanarukia simple conclusions tu. kwamba mtu akitekwa, basi ni serikali imemteka, au mtu akipotea basi ni serikali ndiyo imempoteza. Inatakiwa kuwa na uhusiano mzuri kati ya serikali na raia, siyo raia kuwa na confrotation na serikali kila wakati hata pasipohusika. Tunakuwa tunatukana maana ya multiparty system.roma mkatoliki, mo dewj, ben saanane, azori, nondo, kanguye...kwa uchache sana.
Hakuna kitu kama hiyo... labda mmojawapo kati ya hao(hasa jiwe) atokewe na malaika...!Natamani siku moja niwaone wawili hawa wakikumbatiana kwa tabasamu pana lenye bashasha hakika itakuwa ni ushindi kwa taifa letu.
Amani iwe kwako Mh Rais Magufuli
Amani iwenkwako Mh Tundu Lissu
Amani iwe kwa wana CCM wote
Amani iwe kwa wana Chadema wote
Amani iwe kwa Watanzania wote
Jinga kweli kweli wewe.Mkatoliki yeyote wa ukweli huwa na jina la mtakatifu . Magufuli jina lake John anatumia jina la mtakatifu John mbatizaji
Katik historia ya ukatoliki hakuna mtakatifu mwenye jina la Tundu
Tundu Lisu Ni mpagani mwenye jina la kipagani la kwanza la Tundu angekuwa mkatoliki angetumia jina la mtakatifu
Huwezi patanisha mpagani Tundu na mtakatifu John
Hilo jina lake la ubatizo ni lipi?Ndio alikana jina lake la ubatizo na kulibadili akajipa la kipagani la Tundu
Una ushahidi? Hiz ndizo theory za Lissu na CHADEMA ambazo zinaleta friction isiyokuwa ya lazima. Aliposhambukliwa tu wakaingiza siasa, na hivyo kulifanya tukio lote liwe la kisiasa; eti kwa vile kamera zilizimwa basi ilikuwa ni maagizo ya Magufuli, wakati kila mara kamera zile zilikuwa zinazimika kwa kuwa hazikuwa na uwezo wa kufanya kazi 24/7. Hata kumtibu likawa ni jambo la kichama tu. Hiyo inaweza kuwa strategy nzuri ya kusentionalize wafuasi kisiasa, lakini inaweza isitatue tatizo lenyewe kwani wale mahasidi wake bado wataende;lea kuwapo na huenda bado wanamtafuta na inawezekana pia hawana uhusiano kabisa na serikali. Hapo inakuwa ni mwazno wa machafuko yasiokuwa na tija nchini. Hata Mbowe alipoteleza kwenye ngazi akiwa amelewa akatenguka mguu naye alianza kwa kutangaza kuwa alishambuliwa na watu "wasiojulikana" mpaka alipoumbuliwa ndipo akanyamaza.
Kuna kachero mmoja Evaristi Chahali alichambua tukio lile vizuri sana na kunifanya niambini kuwa maadui wa Lissu walikuwa ni watu wasiokuwa na uhusiano na serikali kwa sababu za kiufundi wa kikachero kama alivyozitoa. Chahali alikuwa mmoja wa makachero wa Tanzania waliobobea sana kabla ya kuhamia uskochi.
Hiyo namba ni kweli ilikuwa imesajiliwa au ilikuwa ni namba ya kutengezwa tu? Ni kama hujui maana ya uhaini. Yaani unaamini kuwa mhaini atakuja kwako kukudhuru wa kutumia gari ambayo namba namba zake zimesajiliwa kihalali!! Hebu jaribu kuangalia vipindi kwenye True Crime Network, FBI files na Forensic Files ujue jinsi uharifu unavyoshughulikiwa na wenzetuLissu alishatoa make namba Ya gari kwa IGP🤣 huwezi kibadilisha historia Lissu kasha wasamee lakini wasiko omba msamaha watakufa wakiwa wa kujilaumu
😂😂😂 na mwisho wake ulikuwaje???mobutu seseseko nguku wa za banga
Mmoja wapo ni mkatoliki katili (Rosa mistika) na mwingine ni mkatoliki mwenye hurumaNi jambo lililo wazi kwamba hawa watu wawili wana mengi yanayofanana na kukinzana.
Wote ni public figures na wanasiasa tofauti ni kwamba mmoja ni rais wa nchi na mwingine ni mwanasiasa anayependwa sana kwa sasa.
Wote hawa ni Wakatoliki wazuri sana na wanaoijua imani yao vema.
Kwasababu ambazo sioni haja ya kuzieleza hapa, hawa wote wana tofauti kubwa hasa kwa mambo yalivyokuwa kwa kipindi cha miaka mitatu nyuma mpaka sasa.
Swali langu kwa kanisa Katoliki:
Je, halioni umuhimu wa kuwapatanisha Hawa waumini wake wawili? Je kanisa linafurahishwa na Hali iliyopo kwa sasa baina ya wawili hawa?
Nini mchango wa kanisa katika kubeba hisia za Lissu na kumtuliza? Na ni nini mchango wa kanisa katika kumpa Mh Rais Magufuli tulizo la moyo linalotokana na cheche za Lissu?
Mwisho wa siku sisi ni Watanzania.
Usiku mwema.
bad name mmejipa wenyewe, mmetangaza hadharani kuwa mkakati wenu ni kuufuta upinzani na baada ya hapo ndo matukio hayo mfulilizo. kwa hiyo tuhumu zote hizo serikali imeshindwa kuchunguza hata moja ili ithibitishe hizo speculations? huoni na wewe unaspeculate tu kuwa ninaspeculate?...Yote huna ushahidi; ni speculations tu. Kuna msemo kuwa "...give a dog a bad name and hang it..." Ndiyo wengi hapa wanafanya, yaani kutoa sababu zisizothibitishwa ili "dog awe na bad name". Mwishoni mwa miaka ya sabini na themanini kulikuwa na utekaji wa Mumiani na baadaye kukawa wachuna ngozi ambao walikuwa wanafanya hivyo kama njia ya kupatia utajiri; miaka ya hivi karibuni tukawa na matukio ya albino kukatwa maungo kwa sababu hizo hizo. Mila na imani zetu nyingine huleta matukio ya ajabu lakini watu kama wewe badala ya kuwa objective wanarukia simple conclusions tu. kwamba mtu akitekwa, basi ni serikali imemteka, au mtu akipotea basi ni serikali ndiyo imempoteza. Inatakiwa kuwa na uhusiano mzuri kati ya serikali na raia, siyo raia kuwa na confrotation na serikali kila wakati hata pasipohusika. Tunakuwa tunatukana maana ya multiparty system.