Kwa akili yako wewe kila tukio la kipuuz serikali inatakiwa ilete wataalam toka nje?Hahahahhah. Kwa lipi zaidi?Huyo saa 8 alikua ni nani na ana tishio gani kwa mamlaka?OK tufanye amejipoteza mwenyewe..
Waziri Mkuu alikataa bungeni kuleta wataalam kutoka nje ya nchi..
Alisema sisi wenyewe tuna vikosi vyenye uwezo wa hali ya juu wa kuchunguza.. Mwaka wa tano huu.. Tunaendelea kusubiri
Kwelii, hakika mtu hawezi kuichezea Tanzania na akabaki hai...[emoji123]Yah now democracy imerudi, hakuna kubambikiza kesi wala nini.Huduma za kijamii zimerudi sehemu nzuri. Maji,umeme, Afya na vingine now viko vizuri mno kuliko wakati wa dikteta Magufuli.
Hakuwa na nguvu yoyote wala tishio lolote kwa mamlaka..Kwa akili yako wewe kila tukio la kipuuz serikali inatakiwa ilete wataalam toka nje?Hahahahhah. Kwa lipi zaidi?Huyo saa 8 alikua ni nani na ana tishio gani kwa mamlaka?
Kuna kitu anajua huyuHalafu wewe TunainEl inaonekana kuna jambo unalijua ili likija kutokea useme si unaona sasa " nilisema mimi"
Tupe mifano mkuu.Hata ukiwa kwenye vyama vya Siri vya kichawi mfano freemason,au umaarufu,au utajiri wa kujitoa kafara,nk nk.
Mda wako wa kifo ukifika huwa unajua na unaambiwa kabisa mwaka huu zamu yako au kafara lijalo ni wewe.
Ipo njia ya kujinasua ukiwa na shida hii tafuta msaada utaupata si kwamba wao Wana nguvu zaidi kuliko upande wa pili,wengi tu waliyavunja maagano yao na wakatoka huko na leo wako huru wazima kabisa.
Unakosea kujikweza kwa kipawa Cha kupewa na Maulana, mpe yeye sifa na utukufu.Nina uwezo wa ajabu sio vingine. Naukifuwata ninacho shauri huwezi juta.
[emoji23][emoji23][emoji23]Alijua hali yake dhohofu bin hali, Kibatari kipo kwenye upepo na mafuta hayatoshi
✔️❎Nasikia Magufuli naye aliuawa kwa maslahi mapana ya taifa
Hii nchi nyepesi sana kuishiMagufuli ataondoka Ikulu kwa bunduki au kifo tu.
Yeah. Alisema mke wake akimpenda inatosha! Sijui kama kweli hata huyo alimpenda?"Amefwariki" kizembe sana...hakutaka kuishi ndan ya mioyo ya watu...
Lini hali tunataka tumuongezee mda atake asitake.Tayari kafa
Naomba ushauri mkuuNina uwezo wa ajabu sio vingine. Naukifuwata ninacho shauri huwezi juta.
Alimpenda tena sana, ulitaka asimpende [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]?Yeah. Alisema mke wake akimpenda inatosha! Sijui kama kweli hata huyo alimpenda?
Hawa watu wamesahau hata kigogo na lema walikua wanasema mara kwa mara,,,Kama kweli kauli huumba, hii nchi ingekuwa kama Ulaya[emoji205]