wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,597
- 29,527
Ukisikia unafiki na ramli chonganishi ndio kama hivyo. Yani badala ya kumpa kongole kwa kupata 2 children wao wanamuombea kazi kiunafiki
Ukisikia unafiki na ramli chonganishi ndio kama hivyo. Yani badala ya kumpa kongole kwa kupata 2 children wao wanamuombea kazi kiunafiki
Haingii akilini yaani vijana wakae chini waandike barua ya kuomba msamaha kwa ajili ya mtu mmoja ambaye hana kosa kabisa. Alikuwa huru kufanya alichofanya bila ya kulazimishwa. Yeye mwenyewe alieleza wazi kabisa ni mmoja kati ya watu waliokuwa wanakula bata ya uhakika na alijua pasipo shaka kwamba atashinda tu.Aisee mshaurini Makonda atulie. Hizi style anazotumia ni za miaka ya 1800!
hapo wamemblack mail dab, maana jiwe hapangiwi.Halafu kuna mstari wamemblackmail jiwe kuwa asipompa cheo hawatampigia kura.
Bashite is a true thug.
Binafsi Namkubali Sana uyu mtu kiutendaji wake,Japo kunamengne alkua akfanya kwasifa ila ilo kwangu halikua tatzo maana sifa zake zlisaidia...ila sijapenda hawa waliojitokeza kuomba msamaha,,,,maana hata wao ukiwauliza alkosea nn hawana Jibu, kilcho nshangaza Zaid nihawa waomba msamaha kwamaneno ya ukimsamehe tutakupa Kura nyingi,wanamaansha pia asipo samehewa Kura zao hawatozipata.Mhe Rais wetu, na viongozi wote wa serikali yako, sisi kama vijana tunayemtazama. Paul Makonda kama chachu ya uongozi katika mioyo ya vijana, tunakuja mbele yako kwa unyeyekevu mkubwa kuomba msamaha wa yale yote aliyoyafanya kinyume na matakwa yako na serikali yako kwa ujumla...
This is a set ,Paul and jiwe are one, yanayoendelea ni maigizo tuMhe Rais wetu, na viongozi wote wa serikali yako, sisi kama vijana tunayemtazama. Paul Makonda kama chachu ya uongozi katika mioyo ya vijana, tunakuja mbele yako kwa unyeyekevu mkubwa kuomba msamaha wa yale yote aliyoyafanya kinyume na matakwa yako na serikali yako kwa ujumla....
Mganga hajigangi,, bado tunasafari ndefu🏃🏃🏃🏃Mhe Rais wetu, na viongozi wote wa serikali yako, sisi kama vijana tunayemtazama. Paul Makonda kama chachu ya uongozi katika mioyo ya vijana, tunakuja mbele yako kwa unyeyekevu mkubwa kuomba msamaha wa yale yote aliyoyafanya kinyume na matakwa yako na serikali yako kwa ujumla....
Makonda hafai katika uongozi hapa nchini na kama Magufuli atamrudisha katika nafasi nyingine tena hapa itadhihilika kuwa kuna waganga wanaomdanganya kuwa hawezi kutawala bila Kuwa na Makonda!!
Amefanya mambo mengi ambayo yamemdhalilisha Jiwe likiwemo la kutaka kuingiza makontena kinyemela na kuwalazimisha wafanya biashara kumpa fedha kwa nguvu kwa kutumia cheo chake! In short Makonda is a criminal who should be shied away. Hizo mbinu za kuomba uteuzi kwa kutumia media ni za kitoto ambazo mtu yoyote mwenye busara hawezi kuzitumia.
Mhe Rais wetu, na viongozi wote wa serikali yako, sisi kama vijana tunayemtazama. Paul Makonda kama chachu ya uongozi katika mioyo ya vijana, tunakuja mbele yako kwa unyeyekevu mkubwa kuomba msamaha wa yale yote aliyoyafanya kinyume na matakwa yako na serikali yako kwa ujumla.
Tunaamini yapo mapungufu mengi aliyonayo na yapo makosa mengi aliyoyafanya hata ambayo sisi tunaweza tusijue, ila tunakujua wewe Mh. Rais kama Baba mwenye upendo, mwenye huruma, kipenzi cha vijana wa taifa hili, mwenye moyo wa kusamehesaba mara sabini maana tumekushuhudia ukitusamehe vijana wa taifa hili. Tunakuomba sana baba msamehe Makonda mpe nafasi nyingine itakayokupendeza ili aendelee kuwatumikia watanzania.
Tunaamini bado anayo akili, utashi, ujasiri na upendo kwa nchi yake. Bado ana vitu vingi sana vya kuwafanyia wanyonge wa nchi hii. Bado tunaamini anayo nguvu ya kuendelea kusimamia utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi ambayo kwa 2020-2025 imesheheni mipango mingi na mizuri sana kwa kijana wa nchi hii.
Baba msamehe Makonda mpe nafasi katika serikali yako.Tunakuahidi kukupigia kura nyingi za kishindo, zitakazoonyesha shukrani yetu kwa kazi uliyoifanya kwa nchi hii.Kwa yeyote anayeweza kumfikia Mh. Rais, tunakuomba umwambie tunampenda, tunamuomba amsamehe Makonda, yatima, wajane, maskini, wanyonge na vijana wanchi hii tunamkumbuka na kumuombea msamaha.
Lakini pia tunamuomba Askofu Gwajima amsamehe na kumuondolea laana aliyoitamka madhabahuni kwake ya kumfuta katika siasa za nchi hii juu yake. Bado ni kijana mdogo anayehitaji kusamehewa na kufundishwa. Taifa hili bado linahitaji mchango wake.Mungu awabariki sana.Kwa niaba ya tunaomkumbuka Makonda.
[email protected].View attachment 1556427View attachment 1556428
NOTE: MLETA MAADA HANA MASLAHI WALA HUUSIANO NA UJUMBE HUSIKA, HIVYO HASIUSISHWE MOJA KWA MOJA NA MADA, YEYE NI MLETA TAARIFA TUU.
Hata sijaona kosa lake. Mbona mleta mada haongelei wote walioacha majukumu yao wakati Nia kwamba wasamehewe?Kafanya kosa gani kwani? Kuna adhabu gani aliyopewa kwani kwa hilo kosa?
Hata waendesha bajaj wa dodoma pia walikuwepo dodoma siku hiyoHii title "mkuu wa mkoa mstaafu" ina ukakasi wa kutosha.
Alikuwa Dodoma siku Lissu akishambuliwa. Kwenye wasifu imo?
Jamani uandishi gani huu??Makonda alitakiwa atulie hakae mbali na media kama wenzake kina mwiguku nape na january walikaa mbali hila hizi mbinu hizi ninza kishamba sana