Rais Magufuli, namuombea msamaha Paul Makonda. Msamehe

Aisee mshaurini Makonda atulie. Hizi style anazotumia ni za miaka ya 1800!
Haingii akilini yaani vijana wakae chini waandike barua ya kuomba msamaha kwa ajili ya mtu mmoja ambaye hana kosa kabisa. Alikuwa huru kufanya alichofanya bila ya kulazimishwa. Yeye mwenyewe alieleza wazi kabisa ni mmoja kati ya watu waliokuwa wanakula bata ya uhakika na alijua pasipo shaka kwamba atashinda tu.
 
Kama aliyekutuma ni bashite basi Sawa, ila kama umetumwa na wengine nasema hivi waliokutuma na wewe uliyetumwa nyie wote ni walemavu wa akili, mngeweza kujiombea kazi nyie wenyewe lkn kwa sababu nyie ni walemavu wa akili ndo maana mnamwombea kazi bashite!
 
Kwani kuwatumikia watz ni lazima si aje tu tulime?
 
Bi Binafsi Namkubali Sana uyu mtu kiutendaji wake,Japo kunamengne alkua akfanya kwasifa ila ilo kwangu halikua tatzo maana sifa zake zlisaidia...ila sijapenda hawa waliojitokeza kuomba msamaha,,,,maana hata wao ukiwauliza alkosea nn hawana Jibu, kilcho nshangaza Zaid nihawa waomba msamaha kwamaneno ya ukimsamehe tutakupa Kura nyingi,wanamaansha pia asipo samehewa Kura zao hawatozipata.

kama mzee baba amesoma barua hiyo nataman Sana angeanza nahawa mapema Sana,,,maana wamejionesha dhahl wanaweza msalit mbeleni;Unamuombeaje msamaha mtu ambae anakosa?kwani kugombea nikosa?mbona wakina katambi wamegombea au makonda pekee ndio alkua atakiw kugombea?.Hawa ni wachochez wanatakiwa kukamatwa kabsa
 
This is a set ,Paul and jiwe are one, yanayoendelea ni maigizo tu
 
Mganga hajigangi,, bado tunasafari ndefu🏃🏃🏃🏃
 
Mtaji unao Mr. Makonda, unaweza kufungua biashara yoyote kwasasa. Hilo jina lako litakupa promo tosha.
Hata ukifa leo Tanzania itasonga, si lazima uwe kiongozi wa umma
 
Makonda this makonda that.................... ajue kwamba sasa ni serious yuko nje ya ulingo................. sijui bado anakula bata kuliko watu wote hapa DAr ama laaaa

Nimshauri akae amsaidie mkewe kulea hao injection babies hapo.
 
Acha avunde tu kimba hii

Kutupangia muda wa kunywa bia na baa kufunguliwa muda anaotaka yeye ni sahihi?

Kufunga biashara za watu tangu asubuhi mpaka saa nne kila jmos ya mwisho wa mwezi na waliofungua kuambulia vipigo vizito ilikuwa sawa!?

Kumlostisha Mama Tema wa DDC ndani kwa miaka kadhaa sababu ya maslahi yake alikuwa sahihi!?

Kumdhalilisha mzee Lowasa kuwa alimtelekeza mwanaye mmama wa zaidi ya miaka 28 na mbaya zaidi familia ya Lowasa ni moja kati ya familia alizowahi kulelewa mpumbavu yule, ni Sahihi!?

Kumdhalilisha mzee Sitta ilihali aliwahi kulelewa hapo, alikuwa Sahihi!?

Kumdhalilisha Ridhwan kwa sababu tu baba yake ni mstaafu alikuwa Sahihi ilihali wao ndio waliomuonesha ramani ya siasa!?

Nimechoka kuandika.
 
HAKIKA UMENENA
 

Sawa mke mdogo wa bashite Umeelewekaaa
 
Bashite ndo mtanzania wa kwanza kuwekewa vikwazo na marekani, inaonesha ni jinsi gani alivyokatili hili jitu la kibashite
 
NOTE: MLETA MAADA HANA MASLAHI WALA HUUSIANO NA UJUMBE HUSIKA, HIVYO HASIUSISHWE MOJA KWA MOJA NA MADA, YEYE NI MLETA TAARIFA TUU.[/QUOTE]

Hasiusishwe
Huusiano

Hiki kiswahili Cha raia wa nchi gani?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ukisikia ujinga na upumbavu ndio huu. Mtu kaacha kazi mwenyewe kwenda kutafuta kazi nyingine huko alikoenda akaikosa. Lakini kabla ya hapo mkuu wake wa kazi aliyo iacha alitoa tahadhali kuwa atosheke na alicho nacho. Sasa kapoteza vyote anaombewa msamaha kwa adhabu gani aliyo pewa na mkuu wake. Na "akimsamehe" ampe kazi gani wakati ile aliyo iacha kesha pewa mwingine? Na je Makonda mwenyewe amesema anahitaji kusamehewa? Kwa lipi? Acheni kutuletea mambo ya kijinga hapa. Wewe una mwombea msamaha ndio ulikuwa unakula makombo yake?!
 
Hii title "mkuu wa mkoa mstaafu" ina ukakasi wa kutosha.

Alikuwa Dodoma siku Lissu akishambuliwa. Kwenye wasifu imo?
Hata waendesha bajaj wa dodoma pia walikuwepo dodoma siku hiyo

Dont beat about around the bush, funguka yote kwa ushahidi usiotia shaka

Pungufu ya hapo ni umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…