Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Nataka Mwigulu ashinde hapa na Kitila Mkumbo ashinde Ubungo. Wote nawapenda

You nailed it!
 
🤣🤣🤣🤣Mkuu umeteleza au jbu liko sawa,Lugha yakuombea Kura ndio iwe langi yakinyonga au nilugha yakuombea Kura?maana mbali nakua mgombea yeye Bado niRais watz,ivyo kama atakuwa hawez simamia maneno yake inamaana uyu hatufai tena kutuongoza.tuspo kuwa makn atakuja atuambie ata zle pesa zetu tulzo wachangia watu wabukoba akasema zjenge shule atakata hakusema ivo
 
Ahsante sana binti kiziwi kwa kuliona hili. Kajisemea Baba Askofu Bagonza tulipokuwa na Chuo Kikuu kimoja hatukuwa na wajinga wengi kama leo hii tuna vyuo vikuu vingi.

Naona Nchini kwetu kuongezeka kwa idadi ya vyuo vikuu kumekuwa na negative impact kwenye ujinga na maccm yanautumia huo ujinga uliotamalaki vizuri sana ili kung’ang’ania madarakani.

Nadhan mwenye matatizo makubwa kabisa ni wewe kuamini..kila anachoongea na hasa kama ni siasa

Aibu pia ku quote ili aonekane mwongo

Ni siasa, ebu jaribu kuwa na akili timamu ya kuelewa siasa jamani
 
Tofauti ya Magufuli na Lissu katika kampeni ni akili. Magu akili hazimtoshi. Anaropoka tu bila kufikiri wala kukumbuka alichosema awali. Ni kituko.

Huyo mwenye akili kubwa ikawaje akawa sio Rais?
 
Tutumie lugha nzuri tu tuwakumbushe
Nadhan mwenye matatizo makubwa kabisa ni wewe kuamini..kila anachoongea na hasa kama ni siasa

Aibu pia ku quote ili aonekane mwongo

Ni siasa, ebu jaribu kuwa na akili timamu ya kuelewa siasa jamani
Asante, shukrani, nashukuru sana
 
Reactions: BAK

Hahaha mkuu BAK nimeipenda nukuu ya Askofu Bagonza. Kuna mambo yanatatiza sana kwa wakati huu.
 
Ujifunze tena uko kwa mabeberu.....maana wanaosema ukwelii mnasema wametumwa na mabeberu saiv mnasema wajifunzeee...

Mwakaa huu mtakuwa machizii....tena nawapa week tatu kuanzia leo lazima watu wataaibikaa na wengine kudata kabisaa
 
Nadhan mwenye matatizo makubwa kabisa ni wewe kuamini..kila anachoongea na hasa kama ni siasa

Aibu pia ku quote ili aonekane mwongo

Ni siasa, ebu jaribu kuwa na akili timamu ya kuelewa siasa jamani
Ulisikia wap kiongozi anajigonga gonga kwenye maneno.... ajifunze kwa JK kidogo anakudanganya mpaka unakubali unaona ni kweliii lakini kiji toooooooooo...
.
 
Nadhan mwenye matatizo makubwa kabisa ni wewe kuamini..kila anachoongea na hasa kama ni siasa

Aibu pia ku quote ili aonekane mwongo

Ni siasa, ebu jaribu kuwa na akili timamu ya kuelewa siasa jamani
Siasa ni uongo?
Siasa ni ndimi mbili?
Siasa ni utapeli?
Siasa ni ulaghai?
Hiyo itakuwa siasa ya CCM kwa mujibu wa CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…