John Fedha
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 624
- 717
Piga chini wote hawa, ole wako wewe Mkurugenzi utangaze matokeo tofauti cha moto utakiona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kua na akili ndo kua raisi.au wenye akili wote duniani ni marais.mbona kama umeandika ujinga aise.Huyo mwenye akili kubwa ikawaje akawa sio Rais?
Anajiona Sana huyu . Kiburi kimemjaa Sana ndani yakeHuyu jamaa ana ndimi mbili! hafai kuaminiwa, alafu anasema eti ''nata huyu ashinde'' kana kwamba yeye ni Mungu
Sasa Ndg. Yangu kama tumeshindwa kuelewa lugha ya kuombea kwa kiswahili ambacho ni lugha mama ... Tutaweza kuelewa lugha za kuombe kura kwa kufuatilia nchi za wenzetu huko kwa malugha yao ya darasani kweli ????HIYO NI LUGHA YA KUOMBEA KURA
TATIZO WATU HAWAJUI KUTOFAUTISHA HOTUBA YA KUOMBA KURA NA HOTUBA ZA KAWAIDA ZA KIMKAKATI.
MUWE BASI MNAFUATILIA CHAGUZI ZA NCHI NYINGINE HASA ZILIZO ENDELEA, MTAJIFUNZA MENGI NA KUJUA KUWA, UNATAKIWA UCHAGUE CHA KUPOST KUTOKA KWA YANAYO ONGEWA HUKO KWENYE KAMPENI NA SIO KUPOST KILA KITU......
Mgombea wetu wa Chama chetu aliwahi kusema kuwa hana Mgombea na wala hajawahi kutuma mtu agombee, video hii hapa
Leo kabadilika anasema kwakuwa Mwigulu na Kitila wote ni Wadogo zake basi ameona mmoja abaki Huko na mwingine aende Ubungo na anataka wote washinde. Angalia attachment.
Tusiwe wasahaulifu, kuna maisha baada ya siasa. Tunakumbushana hatujatukana, yule ni Mzazi, Baba, na kiongozi!
Huyu jamaa ana ndimi mbili! hafai kuaminiwa, alafu anasema eti ''nata huyu ashinde'' kana kwamba yeye ni Mungu
Mgombea wetu wa Chama chetu aliwahi kusema kuwa hana Mgombea na wala hajawahi kutuma mtu agombee, video hii hapa
Leo kabadilika anasema kwakuwa Mwigulu na Kitila wote ni Wadogo zake basi ameona mmoja abaki Huko na mwingine aende Ubungo na anataka wote washinde. Angalia attachment.
Tusiwe wasahaulifu, kuna maisha baada ya siasa. Tunakumbushana hatujatukana, yule ni Mzazi, Baba, na kiongozi!
"Mwigulu ninamfahamu na ninampenda sana, lakini Mwigulu ni kama mdogo wangu maana amesoma Chuo Kikuu na mdogo wangu na Prof Mkumbo naye nampenda ndiyo mana nikasema huyu agombee hapa na yule akagombee Ubungo na nataka wote washinde" - Rais Magufuli
Alikuwa anawaambia wajumbe wa ccm sio wapiga kura wengineMgombea wetu wa Chama chetu aliwahi kusema kuwa hana Mgombea na wala hajawahi kutuma mtu agombee, video hii hapa
Leo kabadilika anasema kwakuwa Mwigulu na Kitila wote ni Wadogo zake basi ameona mmoja abaki Huko na mwingine aende Ubungo na anataka wote washinde. Angalia attachment.
Tusiwe wasahaulifu, kuna maisha baada ya siasa. Tunakumbushana hatujatukana, yule ni Mzazi, Baba, na kiongozi!
"Mwigulu ninamfahamu na ninampenda sana, lakini Mwigulu ni kama mdogo wangu maana amesoma Chuo Kikuu na mdogo wangu na Prof Mkumbo naye nampenda ndiyo mana nikasema huyu agombee hapa na yule akagombee Ubungo na nataka wote washinde" - Rais Magufuli
Na tume ya Burundi ina jambo ifikapo 28.10.2020Watanzania tuna jambo letu ifikapo 28.10.2020.
Hata sudan kuna watu walikuwa na ulevi kama wako, lkn leo hii wapo mafichoniNa tume ya Burundi ina jambo ifikapo 28.10.2020
Sudan sio ma keyboard warriors kama nyie makamanda utopolo mnaotegemea wakina vanguard waje wawasaidie huku nyie mkitoa msuli kwenye keyboard tuHata sudan kuna watu walikuwa na ulevi kama wako, lkn leo hii wapo mafichoni
Naona imekuuma sanaSudan sio ma keyboard warriors kama nyie makamanda utopolo mnaotegemea wakina vanguard waje wawasaidie huku nyie mkitoa msuli kwenye keyboard tu
Joe Trippi ama?Naona imekuuma sana