Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Nataka Mwigulu ashinde hapa na Kitila Mkumbo ashinde Ubungo. Wote nawapenda

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Nataka Mwigulu ashinde hapa na Kitila Mkumbo ashinde Ubungo. Wote nawapenda

HIYO NI LUGHA YA KUOMBEA KURA
TATIZO WATU HAWAJUI KUTOFAUTISHA HOTUBA YA KUOMBA KURA NA HOTUBA ZA KAWAIDA ZA KIMKAKATI.
MUWE BASI MNAFUATILIA CHAGUZI ZA NCHI NYINGINE HASA ZILIZO ENDELEA, MTAJIFUNZA MENGI NA KUACHA KUPOST YANAYO ONGEWA HUKO KILA DAKIKA...
Acha weweee, umeona wapi na nchi gani wakati unaishi madongo poromoka huko!!!
Eti nataka washinde, kwani yeye ndiye anayewapigia kura peke yake au kashaanza kuteilua na wabunge!? Shame
 
Naomba ibaki alone msiunganishe maana inazungumzia events za nyakati mbili tofauti.

Mgombea wetu wa Chama chetu aliwahi kusema kuwa hana Mgombea na wala hajawahi kutuma mtu agombee, video hii hapa


Leo kabadilika anasema kwakua Mwigulu na Kitila wote ni Wadogo zake basi ameona mmoja abaki Huko na mwingine aende Ubungo na anataka wote washinde. Angalia attachment.

Tusiwe wasahaulifu, kuna maisha baada ya siasa. Tunakumbushana hatujatukana, yule ni Mzazi, Baba, na kiongozi!

Anayeamini maneno ya magufuli naamini anapaswa sio tu apimwe akili ila akalazwe milembe moja kwa moja
 
Kipenga cha kugombea kilipopigwa na dirisha kufunguliwa kila chama kiliwatuma wanachama wake kwenda kugombea. Mwenyekiti alichokataa ni wanachama kuwahadaa wajumbe kuwa yeye ndio ametoa tamko kwamba lazima wachaguliwe ati sababu wametumwa na mwenyekiti au makamu mwenyekiti au kiongozi yoyote.
Kila mwanachama aliyeenda kuomba kuteuliwa jimboni alitumwa na chama chake, na alikua na baraka za mwenyekiti ndio maana watu kama membe hawakuweza kugombea🤣🤣🤣🤣

Mbona hata kwa kuangalia matokeo kura za maoni na maoni ya kamati kuu ni rahisi kuelewa
 
Hahahha.. Bavicha wanafuatilia mikutano ya Magu kuliko ya Lisu
 
Zisi izi politiksi,sioni cha ajabu mwanasiasa kula matapishi yake cos alwezi anaangalia upepo wa eneo alipo.......kumbukeni ni mgombea na mwenyekiti wa sisiemu,inawezekana alishawishi kwenye KK
 
Huyu hajui sheria anatuvuruga hivi, huyo anayeijua ndio tutakoma.

Mwana-Si hasa sio wa kuamini kwa asilimia nyingi...zikizidi sana 20% zinatosha.
 
Back
Top Bottom