Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Nataka Mwigulu ashinde hapa na Kitila Mkumbo ashinde Ubungo. Wote nawapenda

Acha weweee, umeona wapi na nchi gani wakati unaishi madongo poromoka huko!!!
Eti nataka washinde, kwani yeye ndiye anayewapigia kura peke yake au kashaanza kuteilua na wabunge!? Shame
 
Anayeamini maneno ya magufuli naamini anapaswa sio tu apimwe akili ila akalazwe milembe moja kwa moja
 
Kipenga cha kugombea kilipopigwa na dirisha kufunguliwa kila chama kiliwatuma wanachama wake kwenda kugombea. Mwenyekiti alichokataa ni wanachama kuwahadaa wajumbe kuwa yeye ndio ametoa tamko kwamba lazima wachaguliwe ati sababu wametumwa na mwenyekiti au makamu mwenyekiti au kiongozi yoyote.
Kila mwanachama aliyeenda kuomba kuteuliwa jimboni alitumwa na chama chake, na alikua na baraka za mwenyekiti ndio maana watu kama membe hawakuweza kugombea🤣🤣🤣🤣

Mbona hata kwa kuangalia matokeo kura za maoni na maoni ya kamati kuu ni rahisi kuelewa
 
Hahahha.. Bavicha wanafuatilia mikutano ya Magu kuliko ya Lisu
 
Zisi izi politiksi,sioni cha ajabu mwanasiasa kula matapishi yake cos alwezi anaangalia upepo wa eneo alipo.......kumbukeni ni mgombea na mwenyekiti wa sisiemu,inawezekana alishawishi kwenye KK
 
Huyu hajui sheria anatuvuruga hivi, huyo anayeijua ndio tutakoma.

Mwana-Si hasa sio wa kuamini kwa asilimia nyingi...zikizidi sana 20% zinatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…