Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Nataka Mwigulu ashinde hapa na Kitila Mkumbo ashinde Ubungo. Wote nawapenda

HEBU IFIKE MAHALI NA SISI WATANZANIA TUACHE KUPANGIWA NA MTU ( Wajumbe mnaona jiwe alivyowapindulia matakwa yenu) please tanzania itabaki kuwa tanzania hata msipompia magufuli kura kama leo anawachagulia viongozi kimabavu mkimpa kura kesho atawapangia mlaleje na wake au waume zenu WATANZANIA ONENI HATARI HII KABLA YA HATARI MTAKUJA KUJUTA
 
Sasa Ndg. Yangu kama tumeshindwa kuelewa lugha ya kuombea kwa kiswahili ambacho ni lugha mama ... Tutaweza kuelewa lugha za kuombe kura kwa kufuatilia nchi za wenzetu huko kwa malugha yao ya darasani kweli ????

Hebu kuw serious banaaaaa mzee ni kigeugeu na kawatuma wengi tu huo ni mfano tu
 
Unahitaji moyo wa chuma kumuamini mwanaccm hasa maneno na ahadi zao.
 
Huyu jamaa ana ndimi mbili! hafai kuaminiwa, alafu anasema eti ''nata huyu ashinde'' kana kwamba yeye ni Mungu

Hilo ndio tatizo lake. Anataka atachoamua yeye ndio kiwe. Huyu ataweza kuhimili kweli maisha nje ya Urais? Akifikiria maisha ya kutokuwa na amri, atayakubali kweli? Mbona anatoa picha mbaya kwenye kukubali kung’atuka / ukomo wa Urais?

Na kwenye uchaguzi huu alitamani Watanzania wakomae hawataki uchaguzi, wanamtaka aendelee tu. Sasa anapoona kuna mgombea dhidi yake na anakubalika, nahisi anakuwa anateseka sana. Kwa sababu hulka yake ni kupenda anachotaka yeye ndio kiwe (kusiwe na ushindani, wala hustle yoyote).. kikiwa vinginevyo anateseka sana.
 
Ana majina mengi jamaa

1.Yesu
2.Mungu mtu
3.Jiwe
4.Baba jesca
5. Baba bashite(PAULO)

Daaah alafu saiv anaturubuni yeye na bashite they are not in good terms, anapiga changa la macho ili ashinde urais na akishashinda bashite anarud tena kututukana hii nchi ya kifalasi sana..
 
JPM amesikika akisema hayo. Je, hii haitoshi kuthibitisha kuwa Tume ya Uchaguzi Mkuu ilitumika kumuengua Bw. Jacob (CHADEMA) kuwania ubunge Ubungo kwa pingamizi la kipumbavu eti wakili kaandika DSM kwenye fomu yake badala ya Dar es Salaam?
 
yeye ndo atapiga kura mpaka atuchagulie, kama anawapenda wateue kuwa RC& DC
 
 
Alikuwa anawaambia wajumbe wa ccm sio wapiga kura wengine
 
Serikali dhalimu inakwenda kufika ukingoni 28 oct raia watapiga kura kuiondoa wingu zito lililotanda kwa miaka mitano.
 
Hata sudan kuna watu walikuwa na ulevi kama wako, lkn leo hii wapo mafichoni
Sudan sio ma keyboard warriors kama nyie makamanda utopolo mnaotegemea wakina vanguard waje wawasaidie huku nyie mkitoa msuli kwenye keyboard tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…