Rais Magufuli ni lazima atetewe kwa nguvu zote dhidi ya udhalimu wowote

Kwanza kaa kimya usituambie upuuzi watu wanapigwa risasi kama lissu, wewe utakuwa kichwa kibovu sio bure

Mkuu bado sijajua Kati yangu mimi na ww n nani mwenye kichwa kibovu ila tutamjua tuu. Tuvute subira ila wakati tunaendelea kusubiri unaweza kuniambia kuna uhusiano gani kati ya maendeleo yanayoonekana kwa macho na mtu kupigwa risasi

Kaa kwenye mada
 
Nakwenda Rasmi kumpigia kura Rais Magufuli kura ya urais ila udiwani na ubunge nitapigia upinzani.
Viva Rais Magufuli.
 
Familia ya lisu na ben sanane wakisoma huu utopolo wanakulaani mbele za Mungu.
 
Mkuu bado sijajua Kati yangu mimi na ww n nani mwenye kichwa kibovu ila tutamjua tuu. Tuvute subira ila wakati tunaendelea kusubiri unaweza kuniambia kuna uhusiano gani kati ya maendeleo yanayoonekana kwa macho na mtu kupigwa risasi

Kaa kwenye mada



Unaandika ujinga mkuu muogope Mungu.
 
Hata kwa kuwezesha wewe kumiliki simu janja, kuweka vocha na kutuma ujumbe.
Ashukuruwe kwa amani na utulivu wa nchi yetu.
Ashukuruwe kwa kushughulikia vizuri janga la korona
Ashukuruwe kwa mikopo ya elimu ya juu kwa dada na Kaka zetu

Ebo! hebu tujiheshimu jombii
Atetewe kwa lipi aise embu jiheshimu ebo!!!
 
Familia ya lisu na ben sanane wakisoma huu utopolo wanakulaani mbele za Mungu.
Imeandikwa, usilaani. Hata hivyo hawaana cha kuwafanya wanilaani.
Tatizo hutaki kusikia usichokipenda. Huo ni ugonjwa na tiba yake ni kuupenda ukweli tuu
 
Hivi unajua mamlaka ya Rais?Unamtetea kwa nani na kwa jeshi la Nani?Yaani wewe umtetee anayepaswa kututetea sisi kwa mujibu wa katiba?Acha kumpangia
 
Unachokiandika kinaakisi akili, imani na uelewa wako. Hakuna hata mtu mmoja amejibu hoja zaidi ya matusi na kutoka nje ya mada.

Ila ulichosoma kwangu ndio ukweli wenyewe ni kuamua vyovyote ila ukweli utabaki kuwa juu, juu kileleni
Nenda kapimwe akili taira we ulie toroka merembe et tumuunge tumuunge muuwaji na mbaguzi mavi yako ww tako
 
Dhidi ya maadui wote, wa ndani na nje
Hivi unajua mamlaka ya Rais?Unamtetea kwa nani na kwa jeshi la Nani?Yaani wewe umtetee anayepaswa kututetea sisi kwa mujibu wa katiba?Acha kumpangia
 
Rais Magufuli, tumtie moyo na kumuombea sana. Huyu ni lulu
Kama huyu ni lulu, basi lulu imepoteza thamani Sana.
Nabii mara nyingi hapati heshima kwao,
Ni matusi makubwa na kufuru isiyo na kifani kumfananisha nabii na baladhuli.

Hata kwa CCM, Kuna wakati ulikuwa hukatizi mitaani ukiwa na sare za chama. Binafsi ni muhanga wa kuzomewa na watu pale Arusha mjini mwaka 2013. Leo hii tunaona ufahari kuwa wanaCCM.
Acha ubinafsi wewe. Vipi wa upande wa pili na wakosoaji wanaotekwa, kuuawa na kujeruhiwa kwa risasi?
 
Kwanini atetewe? Sijaelewa
Atadhali wewe

Haya twende taratibu

Kuna watu umewasoma hapa wanaongea mambo mabaya dhidi ya Rais huku hawana ushahidi wowote. Hawa lazima wapingwe hadharani. Kuwapinga kwa hoja ni uteteze kwa Rais na serikali

Kuna wale wanasema hakuna kilichofanyika. Kusema na kuonesha yaliyofanyika ni kumtetea Rais na serikali yake.

Je, una swali?
 
Ur name tag says it ol. It's a perfect match
Kama huyu ni lulu, basi lulu imepoteza thamani Sana.

Ni matusi makubwa na kufuru isiyo na kifani kumfananisha nabii na baladhuli.


Acha ubinafsi wewe. Vipi wa upande wa pili na wakosoaji wanaotekwa, kuuawa na kujeruhiwa kwa risasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…