Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,833
- 979
- Thread starter
-
- #121
Nini maana ya upinzani? Kazi ya upinzani kwa Tanzania hasa Tanganyika lazima wapinzani wapinge kila kitu kwa sababu hakuna kinachofanywa na CCM kikakosa kasoro, vyote vya CCM vina mapungufu mengi ikiwemo ufisadi 10%kwenye miradi yote mikubwa.
Nimeshapata nlichohitaji[emoji16][emoji16] Bella Ciaó!Hivi ndio vitu sipendi. Kwani watanzania tunakwamia wapi? Kwanini usijadili mada kwa kutoa hoja?
Mbona haujamtaja chacha wangwe?Unakereka watu wakiwakumbuka akina Ben Saanane, Azory Gwanda, Kanguye na kiongozi wa Chadema wa kata ya Hananasif?
Hoja kuu hakuna demokrasia hakuna uhuru wa kufanya siasa, wapinzani kubambikiwa kesi kupigwa risasi, wenye maduka ya kubadili pesa za kigeni kuporwa pesa zao, kununua Ndege kwa cash bei kubwa wajanja wachache wakala 10%Ndugu Bila Bila kwa mara nyingine tena unatoka bila bila.
Amin, Bokassa, Mobutu na Al Bashir hawa wote hawana sifa hata moja ya kuwalinganisha na Magufuli. Tafuta mfano mwingine. Hii ni mada ambayo ukitaka tunaweza kuichambua siku nyingine. Toa shaka mimi ni mwanahistoria mzuri.
Jenga hoja yako? Nini sio sahihi katika hili bandiko langu? Ungana nasi kumtetea Rais na serikali yake. Hii sio kwa manufaa yako binafsi. Fanya kama unafanya kwa nchi yako.
Karibu kwetu, sisi ni kundi kubwa, kundi la ushindi
Ubaguzi majimbo ya wapinzani kama alivyofanya juzi jimboni Rufiji kwa mh bwegeWewe wasema
Minyoo, superb name hopefully imeishia tumboni haijapanda kwa kichwa.CIA na FBI waliopo ubalozi wa marekani hapo Dsm wanalo file lote juu ya Tukio la shambulio la Tundu lisu endelea kusubiria utapewa taarifa zote.
Subiri matusi sasa kutoka kwa waropokaji na wengi wao ambao kisomo chao kilikuwa cha kudandia dandia tu. Umahiri wao upo kwenye majungu na propaganda. Wanaona mafanikio lakini wamefumba macho. Wanakula na kusaza lakini wanalia njaa. Wanapeleka watoto wao kwenye shule za ghali lakini wanalialia kama kasuku. Wanategemea ruzuku kutoka kwa walipa kodi lakini kila uchwao wanawatukana walipa kodi ati hawakusoma kama wao. Watanzania badilikeni mpeni Kaizari yaliyo yake na mpeni Mungu utukufu wake. Jumapili njema.Ninawasalimu ndugu zangu,
Uzalendo ni kuipenda nchi yako kwa dhati na kuwa tayari hata kufa ukiitetea. Nchi na serikali ni pande mbili za shilingi ileile/moja. Serikali iliyopo madarakani ndio inaongoza, kusimamia na kuratibu shughuli zote za kiuchumi, utamaduni na kijamii za nchi husika. Rais ndie taswira ya nchi. Mwalimu Nyerere alipata kusema " ukimtikisa Rais wa nchi, umeitikisa nchi".
Rais Magufuli amefanya mambo makubwa sana katika kipindi hiki kifupi cha miaka mitano. Pamoja na ukweli kuwa watangulizi wake walifanya kwa kadiri ya uwezo wao, Rais Magufuli ninaweza kusema amefanya na ziada. Mungu ampe maisha marefu yenye mafanikio kiongozi wetu huyu.
Marehemu mzee Mengi alikuwa akisema kuwa moja ya changamoto kubwa inayowakabili watu wanaotaka kufanya biashara ni uthubutu. Uthubuti sio kwenye biashara tuu, ni kwenye kila jambo. Rais Magufuli anayo sifa hii adimu. Amethibitisha pasipo kuwa na hata chembe ya shaka kuwa yeye ni zawadi kwa watanzania.
Mzee huyu ni hodari, jasiri, msema kweli, mchapakazi, mfuatiliaji na zaidi sana, ni mzalendo kwelikweli.
Sekta zote za uchumi, kijamii na kiutamaduni amegusa. Angalia miundombinu, kilimo, afya, madini, elimu, utalii, uvuvi n.k. Mambo yameanza kukaa sawa. Tunahiy kumpa mzee wetu miaka mingine mitano ili atuvushe na kuendelea kutuheshimisha.
Hata kwa CCM, Kuna wakati ulikuwa hukatizi mitaani ukiwa na sare za chama. Binafsi ni muhanga wa kuzomewa na watu pale Arusha mjini mwaka 2013. Leo hii tunaona ufahari kuwa wanaCCM. Ukisafiroli nje ya Tanzania, watu wanatuambia nyie mnabahati sana kumpata Magufuli. Tunaheshimiwa sana huko nje. Pamoja na ukweli kuwa hafanyi haya yeye peke yake lakini yeye Kama kiongozi ndie mbeba maoni na dereva wetu. Mafanikio yanaakisi ndoto yake kwa nchi yake na maono yake.
Ninawaomba watanzania wore wazalendo bila kujali itikadi za vyama, dini au kabila, tumuunge mkono Rais Magufuli, tumtie moyo na kumuombea sana. Huyu ni lulu kwetu. Mimi binafsi, nitasimama na kumtetea Rais bila uoga wala aibu.
Ninawapongeza viongozi wa chama na serikali kwa kumsaidia Rais kuifikisha Tanzania hapa ilipo. Viongozi wa dini zote nao ninawashukuru kwa kusimama na Rais bila kujali matusi na dharau kutoka kwa waumini wao. Wamechagua fungu lililo jema. Tusiache kumuombea Rais ili tiendelee kuwa salama.
Nabii mara nyingi hapati heshima kwao, lakini tubadilike, tusisubiri mtu afe halafu ndio tuseme sifa zake nzuri. Haisaidii sana maana hasikii. Tuseme sasa, wakati ni sasa.
Hilo wasema wewe ila sijaona kosa Rais kuwaambia Raia wake ukweli kuwa walikosea kuchagua, walichagua Bwege.Ubaguzi majimbo ya wapinzani kama alivyofanya juzi jimboni Rufiji kwa mh bwege
Wewe mbweha uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Minyoo nipo tumboni mwako nimekutia njaa umejitoa fahamu zote na kumuona mtukufu ni mungu hana doa wala dhambi, kwa ufala wako unaona maendeleo yapo utazani ni pesa zako na zake toka mfukoni, Tambua maendeleo siyo Hisani za CCM, maendeleo ni pesa za walipa kodi na pesa nyingi inatumika kwa mambo ya hovyo hovyo kudidimiza demokrasia, kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani badala ya maendeleo, pesa ilyopotelea huo ingekuwa imeingizwa kwenye maendeleo mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko South Africa, German , China na America kutokana na kumiliki rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani.Minyoo, superb name hopefully imeishia tumboni haijapanda kwa kichwa.
Nyuzi za shambulio la mh. Lissu zipo, huu Ni uzi wa kueleza mazuri ya Rais Magufuli na serikali yake. Ni uzi wa kumtetea yeye na serikali yake dhidi ya udhalimu, uongo, uzindaki na siasa maandazi. Kama unapinga, pinga kwa hoja
Baki kwenye mada, baki njia kuu
Huwezi kuwapangia wananchi wa kumchagua kisa unaminya maendeleo makusudi kwa kuwakomoa wananchi huo ni Ubaguzi na dharau kubwa kwa wapiga kura.Hilo wasema wewe ila sijaona kosa Rais kuwaambia Raia wake ukweli kuwa walikosea kuchagua, walichagua Bwege.
Rais aliwaambia kuwa ziko fedha za mfuko wa jimbo na ile changamoto yao ilikuwa ndani ya uwezo aliyekuwa mbunge wao. Sasa kusema ukweli kunakuwaje ubaguzi?
Swali la msingi ni hilo: NCHI NI NINI?!Angalau sasa hoja zinaanza. Nimefurahi kuona uelewa wako mzuri kwenye mada hi ila mwisho umehitimisha kwa kunilisha maneno.
Ni kweli na nilisema hapo awali, mzalendo wa kweli ni yule ambaye yupo tayari kufa kwaajili ya nchi yake. Ila ni vyema kujiuliza, nchi ni nini hasa? Ni Rais?, ni mimi na wewe? Ni utamduni wetu? N nn hasa? Tafuta jibu.
Rais ndie kiongozi mkuu na taswira ya nchi. Yeye kiitifaki anaitwa raia namba moja. Yeye amebeba maono na ndoto za nchi, akitikisika, nchi imetikisika. Rais anapokuwa anatenda mambo ya maendeleo basil sisi raia was kawaida kumuunga mkono sio kujipendekeza, kumuunga mkono ni uzalendo.
Ninaomba utambue kuwa Rais Magufuli sio malaika na hajawa mtakatifu, anayo madhaifu na huo ndio ubinadamu. Nimeweka orodha ya mambo mazuri anayoifanyia Tanzania. Ungesema lipi ni la uongo?
Dhana ya kutetea inatokana na kundi la watu kuibuka na kupotosha ukweli wa mambo
Kwahiyo, Rais kama sehemu ya serikali ni member of a State (not state), na mimi kama shemu ya population, am also a member of State!The state as a person of international law should possess the following qualifications: (a) a permanent population; (b) a defined territory; (c) government; and (d) capacity to enter into relations with the other states.
Kwahiyo, kutokana na JPM kufanya mambo makubwa sana kuzidi hata wenzake, basi LAZIMA ATETEWE KWA NGUVU ZOTE!!Rais Magufuli amefanya mambo makubwa sana katika kipindi hiki kifupi cha miaka mitano. Pamoja na ukweli kuwa watangulizi wake walifanya kwa kadiri ya uwezo wao, Rais Magufuli ninaweza kusema amefanya na ziada. Mungu ampe maisha marefu yenye mafanikio kiongozi wetu huyu.
Viongozi wa kitaifa wenye tungo tata hujikaanga wenyeweNinawasalimu ndugu zangu,
Uzalendo ni kuipenda nchi yako kwa dhati na kuwa tayari hata kufa ukiitetea. Nchi na serikali ni pande mbili za shilingi ileile/moja. Serikali iliyopo madarakani ndio inaongoza, kusimamia na kuratibu shughuli zote za kiuchumi, utamaduni na kijamii za nchi husika. Rais ndie taswira ya nchi. Mwalimu Nyerere alipata kusema " ukimtikisa Rais wa nchi, umeitikisa nchi".
Rais Magufuli amefanya mambo makubwa sana katika kipindi hiki kifupi cha miaka mitano. Pamoja na ukweli kuwa watangulizi wake walifanya kwa kadiri ya uwezo wao, Rais Magufuli ninaweza kusema amefanya na ziada. Mungu ampe maisha marefu yenye mafanikio kiongozi wetu huyu.
Marehemu mzee Mengi alikuwa akisema kuwa moja ya changamoto kubwa inayowakabili watu wanaotaka kufanya biashara ni uthubutu. Uthubuti sio kwenye biashara tuu, ni kwenye kila jambo. Rais Magufuli anayo sifa hii adimu. Amethibitisha pasipo kuwa na hata chembe ya shaka kuwa yeye ni zawadi kwa watanzania.
Mzee huyu ni hodari, jasiri, msema kweli, mchapakazi, mfuatiliaji na zaidi sana, ni mzalendo kwelikweli.
Sekta zote za uchumi, kijamii na kiutamaduni amegusa. Angalia miundombinu, kilimo, afya, madini, elimu, utalii, uvuvi n.k. Mambo yameanza kukaa sawa. Tunahiy kumpa mzee wetu miaka mingine mitano ili atuvushe na kuendelea kutuheshimisha.
Hata kwa CCM, Kuna wakati ulikuwa hukatizi mitaani ukiwa na sare za chama. Binafsi ni muhanga wa kuzomewa na watu pale Arusha mjini mwaka 2013. Leo hii tunaona ufahari kuwa wanaCCM. Ukisafiroli nje ya Tanzania, watu wanatuambia nyie mnabahati sana kumpata Magufuli. Tunaheshimiwa sana huko nje. Pamoja na ukweli kuwa hafanyi haya yeye peke yake lakini yeye Kama kiongozi ndie mbeba maoni na dereva wetu. Mafanikio yanaakisi ndoto yake kwa nchi yake na maono yake.
Ninawaomba watanzania wore wazalendo bila kujali itikadi za vyama, dini au kabila, tumuunge mkono Rais Magufuli, tumtie moyo na kumuombea sana. Huyu ni lulu kwetu. Mimi binafsi, nitasimama na kumtetea Rais bila uoga wala aibu.
Ninawapongeza viongozi wa chama na serikali kwa kumsaidia Rais kuifikisha Tanzania hapa ilipo. Viongozi wa dini zote nao ninawashukuru kwa kusimama na Rais bila kujali matusi na dharau kutoka kwa waumini wao. Wamechagua fungu lililo jema. Tusiache kumuombea Rais ili tiendelee kuwa salama.
Nabii mara nyingi hapati heshima kwao, lakini tubadilike, tusisubiri mtu afe halafu ndio tuseme sifa zake nzuri. Haisaidii sana maana hasikii. Tuseme sasa, wakati ni sasa.
Hivi unafikiri tumefikaje uchumi wa kati?Hoja kuu hakuna demokrasia hakuna uhuru wa kufanya siasa, wapinzani kubambikiwa kesi kupigwa risasi, wenye maduka ya kubadili pesa za kigeni kuporwa pesa zao, kununua Ndege kwa cash bei kubwa wajanja wachache wakala 10%
A Country is not a companyNi nani atamtetea Rais anayewatesa raia anaowaongoza?
*Huduma za afya gharama zake ziko juu.
*Watumishi wa umma hawajaongezwa mshahara kwa miaka mitano.
*Watu wanauawa, kutekwa na kupotezwa kila uchao.
*Wakulima wananyang'anywa korosho utadhani wanaishi uhamishoni wakati wako kwenye nchi waliyozaliwa.
*Na kadhalika, na kadhalika.
Uchumi wa kati umefikiwa kwa nguvu za mkapa na kikwete huyo mtukufu kakutia muendelezo tu wa yale waliyoyaandaa vizuri.Hivi unafikiri tumefikaje uchumi wa kati?
Kuna muda wa kila jambo. Siasa hazikuzuiwa ila siasa uchwara na zile za kupotezea watanzania muda wao wa kazi, hizo hapana.
Tunataka maendeleo zaidi na sio maneno zaidi
Sijajua bei ndogo unayoiongelea wewe Ni ipi? Kwani zilitakiwa zinunuliwe kwa bei gani?
Kuhusu maduka ya kubadili fedha za kigeni jua kuwa hatua iliyochukuliwa ilikuwa ya muhimu sana kwa usalama wa nchi linapokuja suala la fedha za kigeni. Wahujumu uchumi walikuwa wanatumia eneo hilo kama kichaka. Fika benki yoyote sasa itabadili fedha bila shida yoyote.
Huwezi kufanya biashara kwenye mazingira yaliyopo kwasasa jiulize kwanini 'you can not plan business growth with uncertainty policy' huwezi kukuza biashara kwa sera za majukwaaniNinawasalimu ndugu zangu,
Uzalendo ni kuipenda nchi yako kwa dhati na kuwa tayari hata kufa ukiitetea. Nchi na serikali ni pande mbili za shilingi ileile/moja. Serikali iliyopo madarakani ndio inaongoza, kusimamia na kuratibu shughuli zote za kiuchumi, utamaduni na kijamii za nchi husika. Rais ndie taswira ya nchi. Mwalimu Nyerere alipata kusema " ukimtikisa Rais wa nchi, umeitikisa nchi".
Rais Magufuli amefanya mambo makubwa sana katika kipindi hiki kifupi cha miaka mitano. Pamoja na ukweli kuwa watangulizi wake walifanya kwa kadiri ya uwezo wao, Rais Magufuli ninaweza kusema amefanya na ziada. Mungu ampe maisha marefu yenye mafanikio kiongozi wetu huyu.
Marehemu mzee Mengi alikuwa akisema kuwa moja ya changamoto kubwa inayowakabili watu wanaotaka kufanya biashara ni uthubutu. Uthubuti sio kwenye biashara tuu, ni kwenye kila jambo. Rais Magufuli anayo sifa hii adimu. Amethibitisha pasipo kuwa na hata chembe ya shaka kuwa yeye ni zawadi kwa watanzania.
Mzee huyu ni hodari, jasiri, msema kweli, mchapakazi, mfuatiliaji na zaidi sana, ni mzalendo kwelikweli.
Sekta zote za uchumi, kijamii na kiutamaduni amegusa. Angalia miundombinu, kilimo, afya, madini, elimu, utalii, uvuvi n.k. Mambo yameanza kukaa sawa. Tunahiy kumpa mzee wetu miaka mingine mitano ili atuvushe na kuendelea kutuheshimisha.
Hata kwa CCM, Kuna wakati ulikuwa hukatizi mitaani ukiwa na sare za chama. Binafsi ni muhanga wa kuzomewa na watu pale Arusha mjini mwaka 2013. Leo hii tunaona ufahari kuwa wanaCCM. Ukisafiroli nje ya Tanzania, watu wanatuambia nyie mnabahati sana kumpata Magufuli. Tunaheshimiwa sana huko nje. Pamoja na ukweli kuwa hafanyi haya yeye peke yake lakini yeye Kama kiongozi ndie mbeba maoni na dereva wetu. Mafanikio yanaakisi ndoto yake kwa nchi yake na maono yake.
Ninawaomba watanzania wore wazalendo bila kujali itikadi za vyama, dini au kabila, tumuunge mkono Rais Magufuli, tumtie moyo na kumuombea sana. Huyu ni lulu kwetu. Mimi binafsi, nitasimama na kumtetea Rais bila uoga wala aibu.
Ninawapongeza viongozi wa chama na serikali kwa kumsaidia Rais kuifikisha Tanzania hapa ilipo. Viongozi wa dini zote nao ninawashukuru kwa kusimama na Rais bila kujali matusi na dharau kutoka kwa waumini wao. Wamechagua fungu lililo jema. Tusiache kumuombea Rais ili tiendelee kuwa salama.
Nabii mara nyingi hapati heshima kwao, lakini tubadilike, tusisubiri mtu afe halafu ndio tuseme sifa zake nzuri. Haisaidii sana maana hasikii. Tuseme sasa, wakati ni sasa.
Pesa za viwanda zote zinatumika kudhoofisha kuihujumu chademaHilo lipo wazi kabisa wala halina mjadala
Wawekezaji huwekeza sehemu yenye demokrasia kusiko na vigeugeu tumbua tumbua fukuza fukuza kwenye mfumo bora wa biashara hawataki kuwekeza kusiko na uhuru wa kutoa dukuduku zao.Huwezi kufanya biashara kwenye mazingira yaliyopo kwasasa jiulize kwanini 'you can not plan business growth with uncertainty policy' huwezi kukuza biashara kwa sera za majukwaani