Atakuwa kasema haya mwanzoni mwa 2015 not now.Wanaelewa maana ya kiburi tunaomba mtufahamishe
Rais pekee ambae hakupendelea kwao ni ndugu yangu Mwalimu Nyerere ila wengine wote waliofuata walipendelea kwao.He is Rebelious..and selfish, Kujenga Chato despite kelele za watu wa mikoa mingine..inaonyesha ana kiburi..lol
mayala we unga tu mkono hoja hahaha lkn uteuzi sahau (Naunga mkono hoja
P
Mbowe muda wake utaisha lini?!Wanaelewa maana ya kiburi tunaomba mtufahamishe
Nadhani unashindwa kutofautisha kati ya kiburi na kujimwambafy ndio maana imekubidi mpaka uulizeWanaelewa maana ya kiburi tunaomba mtufahamishe
Usiwafananishe watu na.............. NdukiiiiiiiMda ni msemaji mzuri sana...ngoja tumpe mda lakini najiuliza mbona marais waliopita hawajawahi kutoa haya matamko kipindi chao.
Nadhani unashindwa kutofautisha kati ya kiburi na kujimwambafy ndio maana imekubidi mpaka uulize
Nauza utumbo wa dagaa ,KILOMITA kumi . 04pont kumi kwa kua kila mmoja alimtegemea mtiririko wa maongezi yao..nadhani togwa hii ilikua kali kwani baada ya muda mfupi tutazungumza kesho..venezuelaWanaelewa maana ya kiburi tunaomba mtufahamishe
Nauza utumbo wa dagaa ,KILOMITA kumi . 04pont kumi kwa kua kila mmoja alimtegemea mtiririko wa maongezi yao..nadhani togwa hii ilikua kali kwani baada ya muda mfupi tutazungumza kesho..venezuela