Rais Magufuli: Ninaomba Mungu anisaidie misidentify kuwa na kiburi

Khaa 🙄🙄🙄🙄 ,nouma sana wew Mtu.
Zipo nchi zenye baridi kwa mwaka mzima,kwa kuwarushia punje sita au saba za mtama,sikumbuki kama mimi ndiye nilitakiwa kukamua ama ni juma aliyechelewa kukunja miguu wakati kaniki ilikua ni fupi, lakini sio siri kufundisha magaziguto kijijini ni kuwakomoa wakulima kwa kua bei ya mkaa sasa hivi ipo juu
 
Kundi gani hilo?. Nijuavyo mimi, tuna miezi 9 kabla ya kufanya igizo la uchaguzi. Tuna miaka mingine 5 ya kunyooshwa na tutanyooka kabisa.
P
Mkuu si kwa ukweli huo,kudos.Mimi sina tatizo afanye yote ila awaheshimu Watanzania kwa kuacha ubaguzi na chuki za kisiasa zinaharibu umoja wa taifa letu.
 
"Demokrasi ni pamoja na kujitoa.Ukisha ona unashindana na mwenye Ngivu ni Haki yako kujitoa"

Mh Rais 27/1122019.Nzega Tabora.
 
Actually hii pia ni fairness, kwa sababu anawapelekea wale ambao hawakua na kitu kabisa, wale walikua wamesahaulika kabisa. Hakuna fair ya kua na nguo mbili unatakiwa uwagawie watoto 2 ila mmoja tayar ana nguo 3 alafu ukamuongezea moja na mwingine hana hata moja ukampa pia moja.
 
Komea hapo hapo huwezi kumbadili shetani kuwa malaika hata siku moja.
 
Mzee Ruksa alipendelea kwao? Kwanza kwao ni wapi? Hata Nkapa na Mkwere sio kihivyo kama upendekeo unaofanywa na Jiwe kule atokako!
 
Komea hapo hapo huwezi kumbadili shetani kuwa malaika hata siku moja.
Sijui kama unajua kuwa shetani mwanzo alikuwa malaika?. Kilichomfanya ageuke shetani ni uasi, akitubu anarudi kuwa malaika!.



P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…