Mkuu Sky Eclat, mimi naunga mkono hoja, as days go by, this man is changing for the better, vimisamiati kama "kujimwambafy" vinasaidia saidia, kauli zake za mwanzo na sasa ni tofauti, mwanzo alianza na kauli za kuonyeshea yeye ni alfa na omega, now the man is becoming so humble.
This is good, kuja kufikia 2025, usikute watu tutaandamana nchi nzima kushinikiza tubadili katiba, tuondoe ukomo wa urais, uwe kama uenyekiti wa Chadema.
Pĺ
Yesu akawaambia kuwa hawajui uwezo wa Mungu na wala hawajui maandiko! P. ama maandiko umeyapita kushoto au basi yamekupita kushoto! shetani alitiwa hatiani na kuhukumiwa kutupwa katika ziwa la moto. anasubiri siku ya kuanza kutumikia hukumu. hana cha kutubu tena. Mungu ni mwingi wa rehema na amejaa neema lakini sio kwa shetani. hakuna mapitio(review) kwa kesi yake. finito!Sijui kama unajua kuwa shetani mwanzo alikuwa malaika?. Kilichomfanya ageuke shetani ni uasi, akitubu anarudi kuwa malaika!.
GE2015 - Nani hatari zaidi kati ya malaika aliyegeuka shetani, Au shetani aliyegeuka malaika?!
Wanabodi, Mungu na Shetani Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani。 Leo tena naendelea na zile makala zangu za malaika na shetani. Kwa wasomaji wapya katika kukumbushana tuu, hapo hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika kabla hajawa shetani...www.jamiiforums.com
Malaika akijiunga na mashetani, anageuka shetani? Shetani akijiunga na malaika anageuka malaika?!
Wanabodi, Mungu na Shetani Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani Hili ni swali tuu, inasemekana hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika, akaasi ndipo akageuka shetani, hii maana yake ni kuwa, mtu mwema kabisa, anaweza kuja kubadilika na...www.jamiiforums.com
P
NimekuelewaKundi gani hilo?. Nijuavyo mimi, tuna miezi 9 kabla ya kufanya igizo la uchaguzi. Tuna miaka mingine 5 ya kunyooshwa na tutanyooka kabisa.
P
Wanaoelewa maana ya kiburi tunaomba mtufahamishe
Tulikiwa hatujui. Sasa tumekuelewa Mkuu.Mkuu Sky Eclat, mimi naunga mkono hoja, as days go by, this man is changing for the better, vimisamiati kama "kujimwambafy" vinasaidia saidia, kauli zake za mwanzo na sasa ni tofauti, mwanzo alianza na kauli za kuonyeshea yeye ni alfa na omega, now the man is becoming so humble.
This is good, kuja kufikia 2025, usikute watu tutaandamana nchi nzima kushinikiza tubadili katiba, tuondoe ukomo wa urais, uwe kama uenyekiti wa Chadema.
Pĺ
Mbowe muda wake utaisha lini?!
Uchaguzi tu umekaribia anajua akipigwa chini atakuwa hana pa kukimbilia.Mkuu Sky Eclat, mimi naunga mkono hoja, as days go by, this man is changing for the better, vimisamiati kama "kujimwambafy" vinasaidia saidia, kauli zake za mwanzo na sasa ni tofauti, mwanzo alianza na kauli za kuonyeshea yeye ni alfa na omega, now the man is becoming so humble.
This is good, kuja kufikia 2025, usikute watu tutaandamana nchi nzima kushinikiza tubadili katiba, tuondoe ukomo wa urais, uwe kama uenyekiti wa Chadema.
Pĺ
mtaandamana ili katiba ibadilishwe kwa ukomo wa rais tu?Mkuu Sky Eclat, mimi naunga mkono hoja, as days go by, this man is changing for the better, vimisamiati kama "kujimwambafy" vinasaidia saidia, kauli zake za mwanzo na sasa ni tofauti, mwanzo alianza na kauli za kuonyeshea yeye ni alfa na omega, now the man is becoming so humble.
This is good, kuja kufikia 2025, usikute watu tutaandamana nchi nzima kushinikiza tubadili katiba, tuondoe ukomo wa urais, uwe kama uenyekiti wa Chadema.
Pĺ
Rais wetu ni mcha Mungu
Hatuna wasiwasi na wewe Baba
Unatuchanganya mkuu mara uimbe mapambio ya kusifu na kuabudu mara usimamie ukweliNi mimi
P
Mkuu Sky Eclat, mimi naunga mkono hoja, as days go by, this man is changing for the better, vimisamiati kama "kujimwambafy" vinasaidia saidia, kauli zake za mwanzo na sasa ni tofauti, mwanzo alianza na kauli za kuonyeshea yeye ni alfa na omega, now the man is becoming so humble.
This is good, kuja kufikia 2025, usikute watu tutaandamana nchi nzima kushinikiza tubadili katiba, tuondoe ukomo wa urais, uwe kama uenyekiti wa Chadema.
Pĺ
Ningefafanua, lakini ufafanuzi wangu unaweza ukapinduka na kubatizwa kesi na jamuuriWanaoelewa maana ya kiburi tunaomba mtufahamishe
I always stand with the truth. Magufuli akifanya mazuri nampongeza, akifanya makosa, namkosoa. Tatizo humu ni wapondaji kazi yao ni kuponda tuu, hata Magufuli afanye mazuri vipi, they don't appreciate. Ukimsifu tuu rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano, utanyooshewa kidole cha "praise team".Unatuchanganya mkuu mara uimbe mapambio ya kusifu na kuabudu mara usimamie ukweli
Upande wako wa kweli ni upi
Mzee Mgaya na mbunge JJ Mnyika wametua jijini Mwanza muda mfupi uliopita tayari kwa sherehe za chama Dola za kujipongeza kwa uhuru iliotuletea!Mzee Mgaya na mchungaji Erasto nao wamechukia hili?
Ndio maana Prof Safari kasema wapinzani kwenda Ikulu ni ndoto!I always stand with the truth. Magufuli akifanya mazuri nampongeza, akifanya makosa, namkosoa. Tatizo humu ni wapondaji kazi yao ni kuponda tuu, hata Magufuli afanye mazuri vipi, they don't appreciate. Ukimsifu tuu rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano, utanyooshewa kidole cha "praise team".
Ukisimama na kweli, mazuri utasifia na kuongeza mabaya utakosoa.
P
Mzee Mgaya na mbunge JJ Mnyika wametua jijini Mwanza muda mfupi uliopita tayari kwa sherehe za chama Dola za kujipongeza kwa uhuru iliotuletea!
Huyu wa Tanzania ni Zimwingara uelewe.Sasa kumbadilisha Zimwingara haiwezekani.Sijui kama unajua kuwa shetani mwanzo alikuwa malaika?. Kilichomfanya ageuke shetani ni uasi, akitubu anarudi kuwa malaika!.