Rais Magufuli: Ninaomba Mungu anisaidie misidentify kuwa na kiburi


Millard Ayo kafanya kazi pendwa kutoa neno kolaga utolwe, yaani uende ukaolewe, rais asiye na kiburi huyo.
 
Mbowe hana kibali cha mahakama cha kusafiri nje ya Dsm........alishawahi kuruka dhamana yule tarehe kama hizi last year!

Basi mchungaji Erasto aende na mchungaji Msigwa, wakifika huko ni mistari ya Bible tu.
 
Hakuna shule inafundisha ukuu wa nchi. Kiongozi mkuu awe amechaguliwa kwa kupigiwa KURA zitokanazo na kukubalika kwa SERA zinazonadiwa na chama chake. Naye awe ni yule mgombea halali wa chama chake. Tofauti na hayo ni muendelezo tu wa kula ndizi ndani ya banana republic. Uongo, usanii, ukatili, ufisadi na kila aina ya uozo katika kuendeleza umaskini, ujinga na maradhi kama kawaida inayojulikana
 

Kaongee na viongozi wa Mkoa wako watende hayo.
 
Naona saiv anapuliza.... Siku akija kung'ata anaondoka na kichwa cha mtu...
 
Namkubali sana magufuli, ukweli mchungu kwenu mnaopinga, sikubalini na mambo kadhaa yanayoendelea kwa wateuliwa wake na sikubalinia na namna ambavyo anayamezea haya mambo
 
Unatuchanganya mkuu mara uimbe mapambio ya kusifu na kuabudu mara usimamie ukweli

Upande wako wa kweli ni upi
Anabalance kwa sababu ya tasnia yake ya uandishi ila kuna kupindi anaigamia upande ili angalao teuzi zijazo aambulie hata manyoya.
 
Jwtz wakati gani ilikuwa kama Jeshi la Wakurya?

, Masasi, Mkuranga na walipendelewa?
 
hii post yako kuna siku utaikana...
 
mimi hii aya yako ya mwisho ndio nimeielewa......
 
Tutajie vitu ambavyo mkapa alijenga ndanda... vitu ambavyo kikwete alijenga bagamoyo pia vitu ambavyo magu kajenga Chato ili tulinganishe...
 
Point....
 
Who says about year 2025? Pascal huo mwaka waweza kuutaja pengine tukifika 2021, vinginevyo na Wewe unadanganyika na nyimbo za TOT au viongozi wachumia nao wanaku vunga kuwa hali ni shwari?
Uwanja sawa wa uchaguzi utashangaa! Hadithi za ndege, reli, umeme nk hakika ni story tuu kwa mamilioni ya watu mtaani na maofisini.
 
Jwtz wakati gani ilikuwa kama Jeshi la Wakurya?
, Masasi, Mkuranga na walipendelewa?
Jwtz enzi za nyerere ilikua na wakurywa wengi sio kwa sababu mwalimu alikua anawapendelea bali makabila mengine walikua wanadharau kazi ya jeshi, walikua waoga, watu pekee walikua jasiri kujiunga na jeshi na kua tayari kufa ni wakurya, hivyo ilikua ikitangazwa recruitment ya wanajeshi makabila mengine walikua wanakwepa, wakurywa wanajitokeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…