Rais Magufuli: Ninaomba Mungu anisaidie misidentify kuwa na kiburi

Hajasema hatakuwa na kiburi,bali atamuomba mungu asimpe kiburi. Sasa unapo omba mungu kuna mawili, mungu kutenda kwa ajili ya maombi yako au mungu kupotezea maombi yako.
 
Uoga na dharau sio sababu za misingi sana.Nadhani hapa ni kwa sababu kanda ya ziwa ina makabila ya watu wenye nguvu, urefu na maumbile ya kumudu hali yoyote ya hatari.
 
Haya wasomi wa Chadema hicho kichwa cha habari vipi?
 
Uncle umenifanya nicheke saana .... Eti mwenyekit wa chadema
 

Hata Kimei akiulizwa kwanini kulikuwa na Wachaga wengi CRDB atasema makabila mengine yalikuwa hayapendi kazi za Bank
 
Halafu kiongozi raia mavazi ya jeshi kuganda mwilini muda wote yanini hebu rudi kwa Mwinyi,Mkapa na hata Kikwete mara moja moja sanaa huyu hofu inakuwa imemjaa.
 
Mkuu Pascal Mayalla
Unapaswa kuelewa wakati anaoutoa mtoa hoja ........tunaelekea kwenye tukio Gani....uchaguzi
Unapaswa uelewe pia msukumo wake ni upi kuonewa huruma na kupiga kura kwa hisani.
 
Hata Kimei akiulizwa kwanini kulikuwa na Wachaga wengi CRDB atasema makabila mengine yalikuwa hayapendi kazi za Bank
Sio kweli, enzi za kimei na za mwalimu ni tofauti. Kimei kafanya ukabila wa wazi zama hizi zaa technolojia. Kimei kapandikiza ukabila crdb, mwalimu hakupandikiza ukurya jeshini.
 
Nauza utumbo wa dagaa ,KILOMITA kumi . 04pont kumi kwa kua kila mmoja alimtegemea mtiririko wa maongezi yao..nadhani togwa hii ilikua kali kwani baada ya muda mfupi tutazungumza kesho..venezuela
Sijaelewa hapa
 
Nilikuona na Balile
 
Majinga mengi humu hayajui historia. Makabila yaliyokuwa warlike yalijiunga sana na jeshi enzi za KAR na baadae JWTZ, na hawa ni Wakurya, Wayao na wengine. Walipenda wenyewe and Nyerere had nothing to do with it. Ndio maana tulikuwa na majenerali kama Mwita, Twalipo na wengine wengi kutoka makabila hayo.
 
Akiwa kama Uhuru Kenyatta hata nitaamini ila huyu wa kuelekea uchaguzi bado sana atakuwa anazuga kama wakati ule 2015 speech ya mwisho
 
Uoga na dharau sio sababu za misingi sana.Nadhani hapa ni kwa sababu kanda ya ziwa ina makabila ya watu wenye nguvu, urefu na maumbile ya kumudu hali yoyote ya hatari.
Si kweli! Wabantu ni hao hao kokote walipo, wabantu wa Mara hawana tofauti yoyote kimaumbile na wabantu wa Mbeya! Someni historia vizuri.
 
Pole nawe kwa kujifanya hutofautishi embe na carrot. Kwenye ulumumba wenu mpeni hata uenyekiti wa milele. Chama kwa chama.
 
Uhalifu anaofanya haoni kama ni Kiburi, huu mzigo sijui uliokotwa wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…