Tayari kesha jifunza kwa kagame namna ya kuwa treat wapinzani wake ktk siasa.Hii siyo tabia nzuri, Rais wa Tanzania hana lolote la kuinga kutoka Uganda na Rwanda. Tanzania iko juu sana katika mambo mengi mazuri. Hana la kujifunza pale.
Shangilieni tu ila ikitokea katiba imebadilika na kuondoa ukomo wa miaka 10 msije hapa kupiga kelele maana akiendelea atakua ameiheshimu katiba pia. Kumbuka kubadili katiba kunahitajika 2/3 ya kura za wabunge wa bara na 2/3 ya wabunge wa Zanzibar. Baada ya hamahama hii nadhani CCM tuna 2/3 tayari kwa bara. Come 2020 sioni wabunge wa upinzani wakirudi bungeni labda wawili au watatu hivi. Na huko Zanzibar CUF inaelekea machoweo, kwa mweleleo huu 2/3 zinaweza patikana kwa bara na visiwani na inatosha kuondoa ukomo wa urais. Na hapo lazima tukubaliane kuiheshimu katiba kama tunavyoiheshimu ya sasa.Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.
Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.
Hao watu wana lalamikia wapi? Mbona wenzio hatuwaoni au ndio hawa wa mitandaoni wanao tumiwa na chadema?watu wanalalamika maisha magumu biashara zimekufa
Imekufa yako tu, usiwasemee wengine jinga wewe.watu wanalalamika maisha magumu biashara zimekufa
Kichwa chako cha chini kina akili kuliko hiki cha juu ulichotumia hapa.Imekufa yako tu, usiwasemee wengine jinga wewe.
Hujui kuandika [emoji107] na ndiyo maana unasifu na kuabudu !!Hakujawahi tokea serikali yenye kujali manendeleo kama hii ya tano tukiachana na baba wa taifa
Rais wa sasa kaiwezea tanzania kila unapo safiri ndani ya tanzania lazima kuna mradi mkubwa wa maendeleo una tekelezwa
Na hiki ndicho watanzania tunataka sio kukaa kwenye mitandao huku umejifungia chumban unalalamika lalamika .
Tembea uone namna nchi inavyo shambuliwa na maendeleo pamoja na ujenzi wa miundo mbinu mbali mbali.
Huyo ni mkereketwa mwenzio. Wala msipapuraneImekufa yako tu, usiwasemee wengine jinga wewe.
Nyie ni akina nani?Hao watu wana lalamikia wapi? Mbona wenzio hatuwaoni au ndio hawa wa mitandaoni wanao tumiwa na chadema?