kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wapumbavu. Tukubali na tukili kuwa Afrika haita pata Marais kama hawa Thomas Sankara, Gerry Rolling na Magufuli tena. Hawa wanasifa ambazo ziko sawa: uzalendo, kupenda wananchi wenzao na tatu sio corrupt.Safi sana. Amewaumbua wapumb*&$# wengi waliojaa nchini!
Bado tu una imani na Lowasa?Yaani ameshajiapisha tayari kwamba Ni mshindi 2020?? Haoni kwamba Kwa kusema ataondoka baada ya Moana 10 Ni kiburi na kulidhihirishia taifa kwamba uchaguzi sio hoja ya msingi kwake?
Je Magufuli ametumia tathmini gani iliyompa uhakika kwamba 2020 lazima ashinde? Je Ni bomba la mafuta toka Uganda to Tanzania?
Magufuli acha kusigina katiba nani amekuambia tayari Wewe Ni Raisi wa miaka 10? Ujue viburi kama hivi Mungu huvifanya viishie kwenye fedheha....
Hata kusema nitaondoka baada ya miaka 10 Ni usanii kumfunika mtanzania asiyefikiri mbali asijue adhma yako ya moyoni.....Tungeweza kuupasua moyo wako tukaona unachokiwaza physically tungegundua uko nyuma ya haya Mambo yote.....mfano Magufuli baki.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Tuna Subiri Utekelezaji Wa Kauli.
Maana Huyu Mtu Si Wakumuamini
Hata Kidogo. Alisema Hatochagua
Wapinzani Katika Utawala Wake.
Lakini Hakumbuki Kauli Yake Sasa
Anateua Na Kuita Wengine Vilaza.
Naomba Post Hii Iwekwe Kwenye
Kumbukumbui Za JF.
Just A Matter Of Time.
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.
Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.
Shangilia!!!!!Amesema yeye ni Rais aliye apa kulinda na kutumikia katiba.
Hata Mtani wake Ngonyani aliposema aongezewe miaka 20 amemuelewa kuwa ana maanisha aongezewe miaka 20 ya kuishi...
Kwa hiyo yeye ataendelea kuheshimu na kulinda katiba.
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.
Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.
Unategemea nin kama raia wanapakiwa kwenye malori wahudhurie hio mikutano yakeWATANZANIA WENGI BADO NI MABWEGE NDO WALIOKO HUKO SAAHIZI WANAMPIGIA MAKOFI WAKATI MUDA MWINGI HUWA ANAWAAMBIA MANENO YA KEJELI IFIKE MAHALI AKIENDA MAHALI WATU WAWE WANACHAPA KAZI HUKO MASHAMBANI EBOOOOOOOOOOOOOOOOOH
Hii ID yako inasadifu kilichomo kwenye huo ubongo wakoHiyo rekodi anayo mbowe tu yaani kukalia uwebyekiti wa chama kwa miaka 20
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.
Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.
Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.
Naona ujitambui who is magu by the way watu tulishamchoka kitambo kama Wewe ni kibaraka basi tuonee huruma wengine wavuja jasho.Watz kama waisrael tuu Kuna mda walimwambia Musa bora uturudishe utumwani... Magu ni wa kukaa miaka hata 20 sababu hakuna mwingne mwenye hulka yake tz kwa Muda huu
Sent using Jamii Forums mobile app