Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

Rais JPM hatimaye amekata mzizi wa fitina akiwa Korogwe leo
Asema ataheshimu miaka ya Urais kulingana na katiba ya Tanzania

Simuamini anaweza akarudi kesho na mengine,ZZK alisema usimuamini mwanasiasa
 
Aibu ya Mzee Mwinyi,Maji Marefu na taka taka zote zilizokuwa zinapigia upatu nyongeza ya muda wa muhula by 2025!
Halafu yule ndezi wa OP ya BAKI MAGUFULI aweke tako lake chini...
2025 tunawaletea jembe lingine!
January baby!!!!
 
kwani tangu awamu ya kwanza ilipoanza,kila awamu ilimaliza yote mazuri waliyoanza,acha kujitoa ufahamu wapo watanzania wengi wenye uwezo zaidi yake,labda kama akiliyako imeganda tu kwake.
Aah wapiiii kama magufuli hakuna huo ndio ukweli
 
Yaani ameshajiapisha tayari kwamba Ni mshindi 2020?? Haoni kwamba Kwa kusema ataondoka baada ya Moana 10 Ni kiburi na kulidhihirishia taifa kwamba uchaguzi sio hoja ya msingi kwake?

Je Magufuli ametumia tathmini gani iliyompa uhakika kwamba 2020 lazima ashinde? Je Ni bomba la mafuta toka Uganda to Tanzania?

Magufuli acha kusigina katiba nani amekuambia tayari Wewe Ni Raisi wa miaka 10? Ujue viburi kama hivi Mungu huvifanya viishie kwenye fedheha....

Hata kusema nitaondoka baada ya miaka 10 Ni usanii kumfunika mtanzania asiyefikiri mbali asijue adhma yako ya moyoni.....Tungeweza kuupasua moyo wako tukaona unachokiwaza physically tungegundua uko nyuma ya haya Mambo yote.....mfano Magufuli baki.
 
Kuna watu wanajiita wanasiasa kumbe viherehere tu vinawasumbu, katiba ipo wazi juu ya ukomo wa Urais...

Wewe mtu mzima unakazana kumuomba Rais aongeze muda wake, hayo mamlaka unataka ayatoe kwenye katiba ipi?

Yaani mimi kama ninhelikuwa Rais, viherehere wote wanaopayuka nivunje katiba ningwasweka ndani...kwani si alishasema asijaribiwe!!!
 
Tuanzie kwenye katiba ya chama chake kwanza,,halaf tuje kuangakia wote waliotangulia na mwisho tuangalie mshindani wake ktk uchaguz wa 2020 atamzidi kwa sera gani.. Tukishanzi hpo utajua kwa nn anaubkika atakaa mpka 2025 kama Mungu hata mchukua,mi nadham ww ndo unakiburi cha kuukataaa ukwel unaouma
 
Yaani ameshajiapisha tayari kwamba Ni mshindi 2020?? Haoni kwamba Kwa kusema ataondoka baada ya Moana 10 Ni kiburi na kulidhihirishia taifa kwamba uchaguzi sio hoja ya msingi kwake?

Je Magufuli ametumia tathmini gani iliyompa uhakika kwamba 2020 lazima ashinde? Je Ni bomba la mafuta toka Uganda to Tanzania?

Magufuli acha kusigina katiba nani amekuambia tayari Wewe Ni Raisi wa miaka 10? Ujue viburi kama hivi Mungu huvifanya viishie kwenye fedheha....

Hata kusema nitaondoka baada ya miaka 10 Ni usanii kumfunika mtanzania asiyefikiri mbali asijue adhma yako ya moyoni.....Tungeweza kuupasua moyo wako tukaona unachokiwaza physically tungegundua uko nyuma ya haya Mambo yote.....mfano Magufuli baki.

Na nyie hebu basi sometimes muwe mnatumia brain kufikiri na siyo makalio hadi mnakurupuka hivi. Rais Dkt. Magufuli kusema kuwa atakaa miaka hiyo 10 Kimantiki au Logically wala hajakosea kwani hapo alikuwa anataka kumaanisha kwamba Kikatiba ndani ya CCM Mwenyekiti wake wa Taifa huwa na Mihula miwili ya Urais hivyo iwe isiwe hata ndani ya Chama chake cha CCM huo mwaka wa 2020 bado atapitishwa kuwa Mgombea wake hivyo kuhitimisha hiyo miaka yake 10 Kamili ambayo ameisema leo.

Kama hili hukulijua nakukumbusha tena moja ya Kauli ambayo Hayati Baba wa Taifa aliitoa wakati akizungumza na Waandishi wa Habari ambapo alisema kuwa namnukuu " kutokana na Vyama vingi vya Upinzani nchini kuonekana bado havijajipanga huenda siku ambayo CCM itamsimamisha Mgombea wake basi ikawa pia ndiyo imemtangaza Rais wa Tanzania " mwisho wa kumnukuu na uzuri ni kwamba Kauli hii ipo katika hiyo Hotuba itafute ujiridhishe mwenyewe.

Moja ya sababu kubwa hadi Platform hii ikaitwa ni Home of Great Thinkers ni pamoja na kuwa na uwezo mkubwa wa kuelewa jambo na kulichanganua kwa umakini mkubwa sana kuliko kuwa Mswahili Mswahili na Mtu wa Kukurupuka hasa kwa mambo mazito na yenye kuhitaji umakini mkubwa kuyakabili. Rais Dkt. Magufuli kwa kuyasema hayo maneno yuko on the right track isipokuwa ni kwa Mpumbavu tu pekee ndiyo atamshangaa na kushindwa kumuelewa.
 
Basi vizuri..maana namba tumeshazisoma mno hadi tumemaliza!
 
Naona kama kaongea kinyume chake muda utatuambia
 
Back
Top Bottom